All races were created were belong to, we were never all black Africans

Masi Lambo

JF-Expert Member
Apr 8, 2020
526
500
Nimejaribu kusoma bango hili likiwa katika lugha ya Kiingereza kwa umakini sana, lakini SIKUMUELEWA mleta bango kutokana na lugha ilivyo changanywa! Admittedly, nakiri kutokuelewa kinachokusudiwa ingawa naifahamu fluentlly lugha hii ya Queen! I am sorry for this!
You must speak your own English, reason to call it the queen language :D:D:D, but those who know English understood like my English wife.
 

careenjibebe

JF-Expert Member
May 28, 2020
588
1,000
Unaweza kunijibu kirahisi: taja mwanasayansi mmoja anayesema "dunia iliumbwa", au spishi iliumbwa" (quote a scientist world or any living being was "created"). tafadhali nukuu safi, pamoja na jina, tarehe, na mahali ulipoikuta!

Menginevyo: kuhusu historia ya lugha kuna bado nafasi ya kujifunza. "English was made before Whites knew religion" - taja mwaka au karne!
Nina kuambia si kweli. Kiingereza kilianza baada ya mwaka 1200 hivi, wakati Uingereza tayari nchi ya Ukristo.
Hapakuwa na Kiingereza kabla. Hadi 19066 watu pale Welisi na Uskoti walisema Kikelti, wengi Uingereza penyewe walisema Kianglo-Saksoni, watu kadhaa upande wa mashariki wa kisiwa walisema Kidenmark...
1066 Wanormandi walivamia, na kuleta namna yao ya kifaransa. Kutokana na mchanganyiko wa Kianglo-Saksoni na Kifaransa, lugha ya Kiingereza kilizaliwa. Hujajua?
Umefanya la maana sana kuandika kiswahil maana dah! Wengine siye luga gongana tu.
 

mukaruka mzee

JF-Expert Member
Jan 22, 2020
915
500
Tunapenda kiingereza lakini hakitupendi kabisa wengi wetu tunalazimisha tu.Hapo maneno yameunganishwa tu na gundi ukimpa mzungu atashindwa kuelewa ulikuwa unataka kusema nini?
Nimemwambia lakini akasema kuwa hicho Kiingereza MKEWE anakielewa! Sasa kwa nini kakiandika humu? Hata hivyo hatuna budi kuchukuliana naye!
 

Mwanitu

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
937
1,000
Just like German and Russian historians, I totally disagree all humans were blacks and from Africa, it is a pure lie without base, by so called scientists but are psychotics searching for fame and money. The same scientists now claim Pharaohs leaders were aliens just to discredit Africans, but the fact is were black Africans who were chased to south Sudan of today.

The world gets more away from reality and live in lies since the death of Christ, people who are psychotics make up lies knowing it is a lie, and repeat it to many people until they totally believe it is true and fact even themselves.

They say Egyptians leaders were Aliens because they had pointing up heads, I say it is just the cover they wore, but some say their skulls found had the same shape, I say it is because they wore those heavy tight head raps since were toddlers. Like Masai women, their necks get longer and stiff because of the rings they wear since are kids.

Every race was created were it belongs, reason all races cope with the weather and environment where they are originated, more than anywhere else they move to, reason why whites can't cope with hot sun without cream, reason why blacks suffer more in the freezing winter.

The questions are,- what were these African doing in frozen Europe without food when they immigrated where can find food easily and feed their animals and plant African food?

How comes these Africans who moved to Europe totally forgot about where they are from until after the Romans showed them?

Why they forgot African culture totally even that there are Africans in Africa, to be surprised to see them, study them and put them in the cages in their zoos?

How comes far east people are totally different from al races by appearance and physical built?

How comes Arabs are white skin when they have hotter sun rays than Africa?

Why we are so different physically not just the skin, to have different abilities of our bodies? How comes these Africans who turned white can't move African moves easily? What changed the hair texture, colour and length? What changed their eyes, why do they have different colour of eyes and hair?
Arabs are originally Africans mixed with Romans and Greeks. Ishmael was the elder son of Abraham even their physical feature confirms this.
 

Mwanamkiwi

JF-Expert Member
Mar 7, 2019
208
250
Arabs are originally Africans mixed with Romans and Greeks.Ishmael was the elder son of Abraham even their physical feature confirms this
Haiwezekani, Waroma walipofika mashariki waliwakuta Waarabu tayari. Hawakukuta pale Waafrika ili waanze kuzaa.

Pia hujui kitu chochote kuhusu physical features za Abraham au Ishmael.
 

Mwanitu

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
937
1,000
Arabs are originally Africans mixed with Romans and Greeks.Ishmael was the elder son of Abraham even their physical feature confirms

Haiwezekani, Waroma walipofika mashariki waliwakuta Waarabu tayari. Hawakukuta pale Waafrika ili waanze kuzaa.
Pia hujui kitu chochote kuhusu physical features za Abraham au Ishmael.
Mama yake Ishmael alikuwa Mmisri.labda Kama wewe bado huamini kuwa Wamisri walikuwa waafrika.Weupe wameupatia kwa Waroma na Wagiriki.Angalia Wamisri wa Sasa walivyo,Wana weusi bado.hawakuchanganyika sana.au wasudani kaskazini
 

Mwanitu

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
937
1,000
I said every race was created where it belongs because I know is God created us all as individual races just like animals species, there are all sorts of dogs, their physical appearances suit their habitat, we have African and European dogs, they are different, America and Africa lions, are different.

Scientist don't believe in God, but they use the word create, even English government use the word saying it is creating jobs, get that in your thick skull.
English didn't start then but was introduced to England by then, it is one of the oldest languages before Christ, before whites knew there is God.
History of English - Wikipedia
English is a West Germanic language that originated from Anglo-Frisian dialects brought to England around the year 449. English are from Germany majority of them, mixed with French and Scandinavians, waskoti ni mix ya Welis na Scandinavians ambao sio wajerumani walioongea kiingereza, na idadi yao ni chache zaidi UK hata ukijumlisha waskoti na welisi wote.
Ninachokijua Mimi wengi wenye mtizamo wako,Ni wake wanaoamini katika ubora wa jamii flani flani na Mwafrika akiwa chini kabisa.yaani sisi Yuko karibu zaidi na nyani kuliko jamii nyingine.ujue nature does not strike twice.
 

Giningi01

Member
Nov 19, 2020
17
45
Unaweza kunijibu kirahisi: taja mwanasayansi mmoja anayesema "dunia iliumbwa", au spishi iliumbwa" (quote a scientist world or any living being was "created"). tafadhali nukuu safi, pamoja na jina, tarehe, na mahali ulipoikuta!

Menginevyo: kuhusu historia ya lugha kuna bado nafasi ya kujifunza. "English was made before Whites knew religion" - taja mwaka au karne!
Nina kuambia si kweli. Kiingereza kilianza baada ya mwaka 1200 hivi, wakati Uingereza tayari nchi ya Ukristo.
Hapakuwa na Kiingereza kabla. Hadi 19066 watu pale Welisi na Uskoti walisema Kikelti, wengi Uingereza penyewe walisema Kianglo-Saksoni, watu kadhaa upande wa mashariki wa kisiwa walisema Kidenmark...
1066 Wanormandi walivamia, na kuleta namna yao ya kifaransa. Kutokana na mchanganyiko wa Kianglo-Saksoni na Kifaransa, lugha ya Kiingereza kilizaliwa. Hujajua?
Unajisumbua bure,madini unayo halafu mtoa mada mwepesi! anabisha ili umwagie madini zaidi amalizie assignment aliyopewa huko darasani kwake UK
 

Kiranga

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
54,687
2,000
The concept of race is a social construct.

There are no scientifically established demarcation of where on so called race ends, and another begins.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom