All men stop spending money on women please, this is impunity.....

Waziri wa Kaskazini

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
6,968
14,714
51900607_363228134262785_3605555011255271424_n.jpg
 
Tatizo sio kuhonga bali baadhi ya wanaume wanazidishaaa nafkiri ni ile dhana ya kudhani mwanamke utammiliki kupitia fedha wakati hata kipaji chako tu ni silaha tosha ya kumiliki mrembo wa mkoa
Unazungumzia kipaji kipi boss.
Wanawake wanaangalia na aina ya kipaji mkuu, kipaji kama cha huyo jamaa amepiga kazi amechoka had usingizi hapo sizan wanawake wa chache sana wa kumwelewa jamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom