- Thread starter
- #101
aminaMungu mwenyewe, aliyempigania Daniel kwenye shimo la Simba akupatie hitaji la moyo wako.
Amen.
aminaMungu mwenyewe, aliyempigania Daniel kwenye shimo la Simba akupatie hitaji la moyo wako.
Amen.
Yaani humuogopi Mungu ila mama.. Mmh.sijaingia mahusiano nae. siwezi fanya kitu ambacho najua mama yanu hapendi. nimelelewa kwenye ndoa so bado nafata neon la mama
Tumaini la kwanza ni kwa Mungu ambaye ndiye aliyeweka agano takatifu la ndoa. Kutamani ndoa ni Kutamani jambo takatifu sana.. Na umwambie Mungu hivyo kuwa natamani na nahitaji kutimiza agano lako.amina
woteYaani humuogopi Mungu ila mama.. Mmh.
Ah wapi watu senior bachelors wa 40 wapo mbonaMwanaume above 37 ambaye hajaoa labda aliyefiwa na mke. Naweza kukupa connections za wanaume ninaowafahamu waliofiwa na wake zao. uko tayari?
Sasa Dada mume hujapata hata huyo nae hutakimimi staki kufichwa kama ARVs , afu mimi sijaingia nae mahusiano. yeye tu anasema nikikubali ataenda nyumbani .inshort staki hili jambo litokee
Acha kuharibia wenzio dogo.Huyo mwanaume 35+ utapata wachovu tuu
ah wapi bado choice ninazo nyingi tu.Sasa Dada mume hujapata hata huyo nae hutaki
Ujue unaweza kosa vyote?
Chukua kilichopo bfr 40!,
Sio kiasi hichoah wapi bado choice ninazo nyingi tu.
Basi Subiri Mumeo umzae mwenye akili nyingi kama zako...la sivyo utajdinywa sana huku ukisaka mume huku mitandaoni na usimpate kamwe....Una akili ndogo sana.
Kuwa na wake 30 hakukuzuii kuwa na michepuko kama ana tamaa.
Selemani alikuwa na wanawake 700 lakini hakuridhika, bado akawa na michepuko 300.
Kuoa wake wengi haijawahi kuwa tiba ya michepuko.
Unaongea na mimi au umekosea ku-quote?Basi Subiri Mumeo umzae mwenye akili nyingi kama zako...la sivyo utajdinywa sana huku ukisaka mume huku mitandaoni na usimpate kamwe....
Mungu akujaaliesalaam.
Ama kweli wanaume smart wanao jitambua wanaojua thamani ya mwanamke, wote wameoa inasikitisha sana.
Hivi inawezekana vipi kila mwanaume anae onesha interest kwangu nikamuelewa nikija kumcheki kidoleni nakutana na pete? Hivi ni mimi tu au na wanawake wengine wanakutana na changamoto hii?
Wakuu, sio kwamba wanaume waoaji hawapo, wapo tena wengi sana tatizo ni je huyo anaekuja moyo umempenda? mtu wa kuishi nae lazima moyo umpende.
Je ina maana wakaka ambao hamjaoa ni kweli kwamba hamna sifa kama za hawa married men? kweli hampo?
Nimekuja hapa kusema la moyoni na si kwamba huku ninapoishi hakuna wanaume, wanaume wapo ila wengi wao wameoa, amHbao hawajaoa unakuta moyo haujampenda.
Umri umeenda ninahitaji kuwa na familiya ambayo nitakuwa huru nayo bila lawama. Niwe wazi kuna mtu yupo tiyari kwenda kwetu hata leo tatizo ni mme wa mtu. ana kila sifa ya mwanaume ninaemtaka lakini tatizo ndo hilo. Sijaingia mahusiano nae kwa sababu zifuatazo:,
1: Nitamwambia nini mama?
2: Namuogopa Mungu,
3: Familiya yake wakijua nitafanyaje mimi?
4: Nitakosa raha ya kuwa nae huru, nitakosa raha ya kuwa karibu na ukweni ( mbaya sana)
5: Nitalaumiwa na jamii etc
Hivyo basi nikaona siwezi hiki kiwanja chenye mgogoro, I deserve to have my own family:
Wewe mwanaume,
1) umri 37-45
2) mkristo mcha Mungu ukiwa RC itapendeza
3) Mchapa kazi haswaaa, mtafutaji kama mimi ( staki mwanaume anaelialia yeye kila siku hana hela lawama haziishi huyu hapana)
4) Anajipenda na anapenda kuishi maisha safi
5) mrefu
6)caring person, etc
Kama una hizo sifa njoo pm.
hakuna mtu asiependa vitu vizuri, hakuna asiependa mafanikio, ndo maana nimekuja hapa maybe nikakutana na mtu ambae tunaendana.
Kuhusu mimi,
1: age 35 ndo maana natafuta mzee mwenzangu.
2) sina mtoto, sijawahi kuolewa ila mwanaume huyo akiwa na mtoto mmoja na hana mgogoro na mzazi mwenzie mtamlea coz I like kids.
3) Elimu chuo kikuu
4) Kazi ninayo
5) kinywaji situmii
6) Rangi , rangi safi ya kati situmii mikorogo
7) Dini RC
8) mchapa kazi haswaa with brain.
Mume wangu nimechoka kukusubiri, nimekufuata huku nisije angukie mikononi mwa mme wa mtu. tho ana kila kitu ninachokitaka lakini nikikumbuka mme wa mtu sumu nalia, usichelewe plz nina muda mchache wa kufanya maamuzi.
GOD BE WITH YOU.
Seriously need your number otherwise Good Morningsalaam.

no simaanishi sitoishi vizuri, kwa nini nisiishi vizuri wakati ana maisha safi? naogopa kelele za familiya yake, na kutokua nae free. thats all.Sio kiasi hicho
Smtimes maisha ni kuangalia options zilizopo
who said ukiwa mke wa pili hutaishi vizuri?.
labda kama hujampenda huyo mtu
kelele kutoka wapi na ameridhia mwenyewe?kutokua nae free kivipi na kila mke ana mji wake?no simaanishi sitoishi vizuri, kwa nini nisiishi vizuri wakati ana maisha safi? naogopa kelele za familiya yake, na kutokua nae free. thats all.
hakuna mwanamke mwenye ubavu wa kumkataa hyu mwanaume. wanawake tuna tamaa za vitu vizuri na kila kitu kizuri anacho. yeye mwenye yuko fit appearance.kelele kutoka wapi na ameridhia mwenyewe?kutokua nae free kivipi na kila mke ana mji wake?
we sema tu huyo bwana hujampenda...