All good men are married, so sad

sherina

Member
Jul 16, 2021
32
71
salaam.

Ama kweli wanaume smart wanao jitambua wanaojua thamani ya mwanamke, wote wameoa inasikitisha sana.

Hivi inawezekana vipi kila mwanaume anae onesha interest kwangu nikamuelewa nikija kumcheki kidoleni nakutana na pete? Hivi ni mimi tu au na wanawake wengine wanakutana na changamoto hii?

Wakuu, sio kwamba wanaume waoaji hawapo, wapo tena wengi sana tatizo ni je huyo anaekuja moyo umempenda? mtu wa kuishi nae lazima moyo umpende.

Je ina maana wakaka ambao hamjaoa ni kweli kwamba hamna sifa kama za hawa married men? kweli hampo?
Nimekuja hapa kusema la moyoni na si kwamba huku ninapoishi hakuna wanaume, wanaume wapo ila wengi wao wameoa, amHbao hawajaoa unakuta moyo haujampenda.

Umri umeenda ninahitaji kuwa na familiya ambayo nitakuwa huru nayo bila lawama. Niwe wazi kuna mtu yupo tiyari kwenda kwetu hata leo tatizo ni mme wa mtu. ana kila sifa ya mwanaume ninaemtaka lakini tatizo ndo hilo. Sijaingia mahusiano nae kwa sababu zifuatazo:,

1: Nitamwambia nini mama?
2: Namuogopa Mungu,
3: Familiya yake wakijua nitafanyaje mimi?
4: Nitakosa raha ya kuwa nae huru, nitakosa raha ya kuwa karibu na ukweni ( mbaya sana)
5: Nitalaumiwa na jamii etc

Hivyo basi nikaona siwezi hiki kiwanja chenye mgogoro, I deserve to have my own family:

Wewe mwanaume,
1) umri 37-45
2) mkristo mcha Mungu ukiwa RC itapendeza
3) Mchapa kazi haswaaa, mtafutaji kama mimi ( staki mwanaume anaelialia yeye kila siku hana hela lawama haziishi huyu hapana)
4) Anajipenda na anapenda kuishi maisha safi
5) mrefu
6)caring person, etc

Kama una hizo sifa njoo pm.
hakuna mtu asiependa vitu vizuri, hakuna asiependa mafanikio, ndo maana nimekuja hapa maybe nikakutana na mtu ambae tunaendana.

Kuhusu mimi,
1: age 35 ndo maana natafuta mzee mwenzangu.
2) sina mtoto, sijawahi kuolewa ila mwanaume huyo akiwa na mtoto mmoja na hana mgogoro na mzazi mwenzie mtamlea coz I like kids.
3) Elimu chuo kikuu
4) Kazi ninayo
5) kinywaji situmii
6) Rangi , rangi safi ya kati situmii mikorogo
7) Dini RC
8) mchapa kazi haswaa with brain.

Mume wangu nimechoka kukusubiri, nimekufuata huku nisije angukie mikononi mwa mme wa mtu. tho ana kila kitu ninachokitaka lakini nikikumbuka mme wa mtu sumu nalia, usichelewe plz nina muda mchache wa kufanya maamuzi.

GOD BE WITH YOU.
 
salaam.

Ama kweli wanaume smart wanao jitambua wanaojua thamani ya mwanamke, wote wameoa. inasikitisha sana.

Hivi inawezekana vipi kila mwanaume anae onesha interest kwangu nikamuelewa nikija kumcheki kidoleni nakutana na pete? hivi ni mimi tu au na

GOD BE WITH YOU.
Sasa kweli unategemea mwanaume mwenye miaka 37+ tena anaejitambua asiwe mume wa mtu, kweli ???
 
Kinywaji hutumii inamaana hata maji hunywi??? Mpaka hapo ushakosa vigezo inaonyesha wewe muongo! Na ukisema ni typing error au ulisahau kuweka vizuri maelezo Bado utakua hufai kwa matumizi ya Mke mmaana utakua upo Careless kwa vitu vidogo vidogo na muhimu.

Halafu hutakiwi kumuogopa Mungu bali anataka umtii na kumuheshimu. Kila siku anawambia mumfanye kua Rafiki yake maana yeye haogofyi mpaka mumuogope

Don't be mad at me natania tu!!
Hakuna kitu kilicho ta full potential (100%) All the Best mate👊
 
salaam.

Ama kweli wanaume smart wanao jitambua wanaojua thamani ya mwanamke, wote wameoa. inasikitisha sana.

Hivi inawezekana vipi kila mwanaume anae onesha interest kwangu nikamuelewa nikija kumcheki kidoleni nakutana na pete? hivi ni mimi tu au na
Wakati uko 27 ulikuwa unasubiri nini kuweka bango humu! Vipi unaweza kulea watoto wa mwenzio bila ubaguzi maana mume yupo ila mjane
 
salaam.

Ama kweli wanaume smart wanao jitambua wanaojua thamani ya mwanamke, wote wameoa. inasikitisha sana.

Hivi inawezekana vipi kila mwanaume anae onesha interest kwangu nikamuelewa nikija kumcheki kidoleni nakutana na pete? hivi ni mimi tu au na
Nakushauri zaa nae huyo unaempenda. Usidanganye mtoto wa mtu hapa akajitokezaakakuoa wakati moyo wako uko kwa huyo baba mume wa mtu. Mtaendelea kuwa wapenzi na huna uwezo wa kumuacha hata ukiolewa.
 
Sijaelewa, hao married men wanataka kwenda kwenu kufahamika ili wakuoe? Ni wakristo hao au ni vipi? Married men nachojua wanataka secret love, yaani mbanjuane kwa sirii, sasa hao jamaa wanataka waende kwenu tena.

At 35 it's a 50-50 situation, trust me! Ila kila lenye heri kwako.
 
Back
Top Bottom