Sexer
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 8,216
- 7,907
Jamani mlegezeeni kidogo basi makonda wasije kweli wakamkamata, Makonda ni mtoto pekee wa Mr & Mrs Albert Bashite, Sasa akikamatwa itakuwaje kwa wale wazee? Muwe mnawahurumia basi hata wale wazee, si mnajua uchungu wa katoto hakohako kamoja ulikonako kakipata Matatizo.