Aliyotenda Ole Sabaya ni madogo kuliko ya Paul Makonda. Rais Samia malizia kiporo hiki

Nimepata taarifa kwamba Ndugu Paul Makonda anasumbua sana viongozi huku na kule kutaka kujua hatima yake ndani ya nchi hii.

Nimsihi tu wakati wa kunyolewa inabidi atulie. Acha kusumbua viongozi ili dola ifanye kazi yake. Ungewasumbua kabla ya kuvamia Clouds na silaha za kivita,ili wakushauri.

Amekuwa na wasiwasi wa kutiwa nguvuni muda wowote. Wajinga wachache wanamshauri atoroke. Aende wapi na Interpol ipo,utadakwa tu.
Usiku halali full maluelue
 
Hivi Paul Makonda ndiye Nani?
IMG_20210707_132922_522.JPG
 
Nimepata taarifa kwamba Ndugu Paul Makonda anasumbua sana viongozi huku na kule kutaka kujua hatima yake ndani ya nchi hii.

Nimsihi tu wakati wa kunyolewa inabidi atulie. Acha kusumbua viongozi ili dola ifanye kazi yake. Ungewasumbua kabla ya kuvamia Clouds na silaha za kivita,ili wakushauri.

Amekuwa na wasiwasi wa kutiwa nguvuni muda wowote. Wajinga wachache wanamshauri atoroke. Aende wapi na Interpol ipo,utadakwa tu.
Ziara ya Rais Samia Kilimanjaro na Mapokezi Arusha yamefana sana. Watu wanajitokeza kwa wingi kwenye mikutano na pote anasimama, wana hamasa kubwa, wanaonyesha imani kubwa kwa Rais, Upendo mwingi, matumaini na namna anawaongoza, wengi wanakiri na kukubali Mama anafanya Makubwa!
 
Usisahau kama Makonda alikuwa kwenye kamati ya ulinzi wa mkoa alienda kutimiza jukumu lake na sheria ina mruhusu kwenda sehem yeyote kwa kushtukiza kwenye mkoa wake.

Tafuta kesi nyingine kwa hii anachomoka kwa urahisi sana
 
ushauri wangu akimbilie Burundi faili lake linakaribia kukamilika ,kazi anayo ulaya wala amerika hatakiwi pompoe alimaliza kazi
 
Nimepata taarifa kwamba Ndugu Paul Makonda anasumbua sana viongozi huku na kule kutaka kujua hatima yake ndani ya nchi hii.

Nimsihi tu wakati wa kunyolewa inabidi atulie. Acha kusumbua viongozi ili dola ifanye kazi yake. Ungewasumbua kabla ya kuvamia Clouds na silaha za kivita,ili wakushauri.

Amekuwa na wasiwasi wa kutiwa nguvuni muda wowote. Wajinga wachache wanamshauri atoroke. Aende wapi na Interpol ipo,utadakwa tu.
What Goes Around-Comes Around.
 
Back
Top Bottom