Aliyonambia baba padri kuhusiana na ndoa leo

Naelewa ila kuna maswal yanahitaj sapoti ya vifungu na mie ka afisa ardhi mtarajiwa natakiwa nivijue isitoshe competition ni kubwa sana,naomba mniombee wadau nifanye vizuri
bora uelewe tuu kuliko kuandika kifungu ambacho ukikosea utakuwa umebadilisha maana yote,japo vifu vina kuongezea marks kama umevishika! Nyc preparation
 
Mie nimesoma sheria ya ardhi kama core yangu...watafute wanasheria wa hilo swala ndugu Mentor
Ha kumbe kuna wanasheria humu...bi ciello naomba kesho niku PM kuhusu jambo fulani 'linalonitatiza na kuninyima usingizi kiroho na kiakili ila halihitaji ushauri wa baba padri!!!'!???
 
Last edited by a moderator:
... yeye mbona hakuoa ili atii maagizo ya Mungu
Kuoa au kutokuoa yote ni maagizo ya Mungu ili mradi ukiamua kutokuoa ushinde vishawishi, na yeye (padri) aliamua hilo la kutokuoa. Kwa vyovyote alimuambia hivyo huyu muumini kwa kuwa alijua hadi hapo hakuwa katika mchakato wa kuwa mtawa, so kilichobaki ni kumpa ushauri kuhusiana na option ya pili ya kuoa.
 
Ni kweli usemayo Kongosho inasaidia sana, sasa najisikia kiumbe kipya nikiwa na nguvu mpya ya kuendelea mbele...
inasaidia sana kuongea na Padri kama umetatizika kiroho.

Unamuuliza maswali yote hata yale ya kijinga yanayohusu imani, anakusaidia.

Ukitoka hapo, unakuwa na nguvu ya kuendelea na maisha.
 
Last edited by a moderator:
Dah!Kuogopa jambo sio suluhu,ila kuwa makini ni vyema
"
Bado kuna maswali yanayohitaji majibu
"
Ndoa ni jambo gumu sana kuelezeka kirahisi kwa kweli.
"
Unakutana na mtu anaishia kuchezea hisia zako tu,tena bila huruma.
"
Ukitoka hapo hutaki tena mahusiano,jamii inaanza kukuzonga zonga utadhani inajua maumivu uliyopata!
 
Habari Ciello, nakupa ujanja ambao ukiutumia vema utaishi maisha yaitwayo stress free life. Jambo la kwanza kabidhi maisha yako kwa MUNGU, kwa maombi hata ikibidi kufunga na kusali. Jambo la pili, refer jambo la kwanza hapo juu. La mwisho chapa kazi
 
Last edited by a moderator:
Asante Arushaone, pia nakumbuka promc yetu nikiseto daun ntakutafuta
Habari Ciello, nakupa ujanja ambao ukiutumia vema utaishi maisha yaitwayo stress free life. Jambo la kwanza kabidhi maisha yako kwa MUNGU, kwa maombi hata ikibidi kufunga na kusali. Jambo la pili, refer jambo la kwanza hapo juu. La mwisho chapa kazi
 
Last edited by a moderator:
wooooord!! neno baba paroko alisahau kitu kimoja maadili ya vijana wasasa yanazidi kupotea kutokana na sisi vijana wachache wenye moyo wa kutangaza nia kukutana vikwazo mbalimbali Unaweza muhitaji binti mfunge pingu za maisha ila hawa dada zetu anataka akukute una vogie spot au hurrier ndo mana tunaishia buguruni
 
Habari Ciello, nakupa ujanja ambao ukiutumia vema utaishi maisha yaitwayo stress free life. Jambo la kwanza kabidhi maisha yako kwa MUNGU, kwa maombi hata ikibidi kufunga na kusali. Jambo la pili, refer jambo la kwanza hapo juu. La mwisho chapa kazi
Nahitaji maombi yako...
 
Siku ya leo niliamka nikiwa najifeel so down kwakweli, ni kutokana na ishu moja iliyonikuta hivi karibuni.Basi hata kibaruani nilikwenda shingo upande tu kwani walinipigia simu kuniita.siku ilienda kichovuchovu na niliondoka mapema, basi wakati nimefika kwenye kituo cha daladala nikaamua niende chachi nikaonane na baba padri nimweleze yalonisibu.kanisa liko maeneo ya karibu na kibaruani na mwendo wa nusu saa kutoka kituo cha daladala.Nilifika nikaeleza hitaji langu nikaelekezwa shambani alimokuwepo baba padri akishughulika.Nikamsalimu then akanikaribisha bustanini, tukaketi na nikamweleza shida yangu.lilikuwa ni swala la kiroho ambalo kwakweli lilikuwa limenikosesha raha, basi alinipa msaada mkubwa kweli na kwa kiasi kikubwa alinitua mzigo ulokuwa umenielemea.

baada ya kumaliza kunitibu kiroho, basi baba padri akanichapa swali, akaniuliza binti una umri gani??? nikamtajia magunia ya chumvi niliyokula, then akanitundika swali lingine, akaniuliza, je una mpango gani na swala la ndoa?? (nikajisemea moyoni loh huu mwaka wa kupewa ujumbe wa ndoa) nikamjibu baba padri wajua vijana wa sikuhizi hawapendi kuingia kwenye ndoa, kwani kwao ni jukumu kubwa na miye sitaki kuuvaa mkenge so bado nasoma mazingira.Basi baba padri akaanza kutiririka ,akanambia unajua kijana wa kiume aweza kutana na binti kwenye daladala na wakifika mwisho wa safari wanaishia gesti...limekuwa jambo la kawaida kwa vijana wa sasa kwani maisha wanayachukulia kiteknolojia zaidi.wasichana wanaangalia nani mwenye qualifications za kumwezesha kufikia malengo yake hivyo ni rahisi kwao kubadili wapenzi mara kwa mara, hivyo swala la mahusiano na ndoa wengi wanayachukulia kama ajira, na mwenye vigezo ndo anapewa nafasi.swala la upendo wa dhati halipewi kipaumbele kwenye mahusiano ya siku hizi na ndo sababu ndoa nyingi hazidumu.Ila hayo(huku akinitazama usoni) yasikufanye uepuke sakramenti ya ndoa, Mungu aliiweka kwa makusudi yake ya kuendeleza kizazi na ni muhimu watoto wazaliwe, wakue na walelewe katika familia ili tuweze kupata jamii iliyo bora.Akahitimisha kwa sala nami nikaaga na kurudi kwangu.Huu ni ujumbe wa baba padri kwa vijana wote so muusome na muufanyie kazi.

Sr.Maria....umenifurahisha sana..ama kweli "Home Sweet Home"
 
whuuu so touching..red quotes zinahusika... ya very ryt..yan vijana sa ivi sex ni kitu cha kawaidaa yan watu wanamalizana dakika na wamejuana dakika...watu wanachukulia maisha kitechnologia, sijui ni vipi yan..watu hawana hofu ya mungu, kila kitu cha kawaida sanaa...unadhani mtu wa hivyo hata akioa ataacha kucheat??? naah! na ndo maana ndoa kila siku zinavunjika..Lord have mercyon us...utandawazi z too much for us....tunapoteza vitu vya msingi true senere for women imekufa kabisa, true love... my God cjui ata kama bado ipo dah maana watu ni full kutamaniana na kumalizana fasta fasta..:A S angry:
 
Father amekwambia maneno ya msingi sana.
Ndoa zimepoteza maana siku hizi!. Hapa JF penyewe tunaona kila siku kupitia Jukwaa la Love Connect, jinsi watu wanavyotoa vigezo vya wanawake au wanaume wanaowataka, utadhani kuoa au kuolewa ni matter ya CV au sifa za mtu ki'uwezo.
Naamini Ciello utafuata vema maneno ya mtumishi wa Mungu na kuepuka 'harakaharaka'

Umesema vema PJ, natumai vijana watauzingatia ushauri wa baba padri.
 
... Nakumbuka ... "are you married"!!! ... Kumbe deep you so sweet and hav very good spirit!!!
 
Yeye kama padri anajua kuwa Mungu aliiweka ndoa kwa makusudi yake ya kuendeleza kizazi na ni muhimu watoto wazaliwe, wakue na walelewe katika familia ili tuweze kupata jamii iliyo bora yeye mbona hakuoa ili atii maagizo ya Mungu

Ndio maana naipenda Jf.
 
Ni kweli kuna maswali yanayo hitaji support ya vifungu! Hivyo basi ni vyema ukavishika vyema!

Natumaini utafanya vyema Mungu yu pamoja nawe!
Mungu akusaidie!

Naelewa ila kuna maswal yanahitaj sapoti ya vifungu na mie ka afisa ardhi mtarajiwa natakiwa nivijue isitoshe competition ni kubwa sana,naomba mniombee wadau nifanye vizuri
 
Back
Top Bottom