Aliyoandika mh peter msigwa kwenye wall yake ya facebook. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyoandika mh peter msigwa kwenye wall yake ya facebook.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by RUCCI, Sep 29, 2012.

 1. RUCCI

  RUCCI JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 6, 2011
  Messages: 1,696
  Likes Received: 957
  Trophy Points: 280
  Peter Msigwa
  Kugombea uraisi ni haki ya Kila raia wa Tanzania ,rai yangu kwa Kila anayetaka urais anapaswa atuambie,1.what is his/her vision for this country? 2.is he /she able to Articulate the optimistic view of the future
  3.what is the real problem of this country and How is gonna be fixed ?
  It is all about
  Vision
  Character
  Action
  Bado nimelala kitandani MOI niendelea na matibabu baada ya kufanyiwa upasuaji Jana. I miss Iringa ,the home of education........have great weekend, and stay blessed.
   
 2. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Pole Msigwa beterscharp man
   
 3. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Mawazo mazuri.

  Ahsante kamanda.
   
 4. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  pole sana mheshimiwa na upone haraka!
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Kamanda Msigwa huo ndio ukweli kabisa. Wengine kama Kikwete wanadhani hii ni taasisi binafsi ya kuliibia taifa hili, wakidhani kila wanalofanya katika nchi hii ni favor kwetu.
  Pole na nakuombea upone haraka na kurudi Iringa taifa liendelee kunufaika na uongozi wako.
   
 6. M

  MASEBUNA JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 243
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka Msigwa pole sana,
   
 7. kamtu33

  kamtu33 JF-Expert Member

  #7
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 973
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  Pole sana kamanda Msigwa na hongera kwa mawazo mazuri Mungu akuponye haraka.
   
 8. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #8
  Sep 29, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  Angekuwa wa nyinyiem asingekubali kufanyiwa operation moi. Wanatoaga sababu za kijinga kweli kutaka referal. Eti utasikia, hapa kuna mapaparazi wengi, au nami nataka nikachume per diem! Big up msigwa na selasini alihudumiwa hapo hapo mpaka akapona.
   
 9. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #9
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  mawazo yako mazuri ni dalili kuwa afya yako sasa inaimarika Get well soon kamanda!
   
 10. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #10
  Sep 29, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,750
  Likes Received: 17,828
  Trophy Points: 280
  Ahakikishe anam-fowadia Zitto K huo ujumbe
   
 11. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #11
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,287
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Du hayo mawazo yako nayakubali na ni Haki ya Mtanzania yoyote wa Chama chochote ndio maana naunga mkono mawazo ya Zitto na napungana na dhana ya Kikwete eti anafanya Urais km Taasisi yake kwa nini tusiwe wazi kwa Zitto na Msigwa
  Mh P. Msigwa ugua pole
   
 12. n

  ngwendu JF-Expert Member

  #12
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 7, 2010
  Messages: 1,967
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bado nimelala kitandani MOI niendelea na matibabu baada ya kufanyiwa upasuaji Jana. I miss Iringa ,the home of education........have great weekend, and stay blessed.[/QUOTE]
  Siasa tabu sana. naona mchungaji anatunza kitumbua chake, wana-iringa wasije wakamrudisha kanisani bure na kumuondoa bungeni. ama kweli njaa haichagui. lazima ujichekeshechekeshe hata kama huna furaha. either mtumishi wa mungu au....
   
 13. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #13
  Sep 29, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Siasa tabu sana. naona mchungaji anatunza kitumbua chake, wana-iringa wasije wakamrudisha kanisani bure na kumuondoa bungeni. ama kweli njaa haichagui. lazima ujichekeshechekeshe hata kama huna furaha. either mtumishi wa mungu au....[/QUOTE]
  utumbo...............................aka pumba...............
   
 14. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2012
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mwenyezi Mungu mwingi wa faraja ataendelea kukulinda na imani muda sio mrefu utarejea katika shughuli za ujenzi wa taifa. Asante kwa mawazo yako ya kujenga
   
 15. v

  valid statement JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 2,737
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Anayaona katika facebook pia, hamna haja ya kumfowadia
   
 16. Aggrey86

  Aggrey86 JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 856
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole mkuu Mungu azidi kukuponya urudi haraka kwenye majukumu yako! Mwamwindi anajua upo hosptal mana hachelewi kusema upo Uturuki!
   
 17. w

  white wizard JF-Expert Member

  #17
  Sep 29, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  pole kamanda.
   
 18. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Get well soon Kamanda Msigwa. Thanks for wisdom
   
 19. n

  nyantella JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 890
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  utumbo...............................aka pumba...............[/QUOTE]

  Unafanya mchezo nini? kabla ya kwenda south kusomea uchungaji alikua anauza viatu vya mitumba pale mshindo leo hii mambo supa wafikiri atasahau? ubunge umemtoa!
   
 20. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2012
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Unafanya mchezo nini? kabla ya kwenda south kusomea uchungaji alikua anauza viatu vya mitumba pale mshindo leo hii mambo supa wafikiri atasahau? ubunge umemtoa![/QUOTE]
  Watu wote ikiwa na wewe kuna mahali umeanzia. Bahati mbaya hatufahamiani hivyo sio rahisi kufahamu wewe ulianzia wapi wala mimi nimeanzia wapi hadi nafika hapa nilipo nikitesa kwenye mtandao.
  Kwa sababu hiyo mie sijali kaanza vipi hata kama angeanza anauza karanga, kazi anayofanya leo wana Iringa wanaikubali.
   
Loading...