jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,053
- 28,245
Siamini kama Rais Samia alikataza mechi hii kubwa isiendelee kisa ni uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mwinyi ulioandamana na birthday yake.
Matukio yote yalijulikana mapema na yalipangwa mapema.
1-Mechi hii ilijulikana itachezwa mapema sana sio dharura.
2-Tukio la uzinduzi wa kitabu cha Rais Mwinyi lilipangwa mapema ikiwemo Mh Rais na waalikwa wengine kuhudhuria.
Yupo mpima kina cha maji na anayejipendekeza na amechafua hali ya hewa anayetakiwa kuwajibika.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!!