Aliyeyaona ya Mrema 1995-2000 hawezi kuyashangaa ya Zitto 2015-2020

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Aliyeyaona ya Mrema miaka hiyo hawezi kumshangaa Zitto wote wapo kimkakati kutumika kumaliza kabisa nguvu ya upinzani Mrema alifanikiwa kukiua CUF badala ya CCM kama ambavyo zitto anataka kukiua chadema badala ya CCM kinachoendelea kwa zitto ni mkakati wa kukiua chadema na sio CCM muda utaongea.

Leo Mrema anakula pension yake kupitia kupewa vyeo na CCM pia siku zitto akichoka msishangae anapewa vyeo ili kumpa fadhira ya kazi atakayokuwa ameifanya.

Ukweli mchungu CHADEMA hamuwezi kwenda Ikulu kwa kuendelea kuwakumbatia mamluki ndani ya upinzani kama wakina zitto mtaendelea kupigwa na ccm uo ndio ukweli.
 
Ndugu yangu Tanzania haitaingia kwenye democrasia ya kweli kupitia vyama vya siasa, hao wote ni wachumba wanacheza kwenye chumba kimoja, isipo kuwa CCM wapo kwenye master room, wengine wanacheza sebeleni, kwa hiyo CCM wanaangalia wewe unaweza kuingia master room na ukiingia kule unanyamaza, democrasia ya kweli itakuja pale Watanzania watakapo jua kuwa walikuwa wanachezewa .Wataingia mtaani na kudai mageuzi ya kweli.

Hapo hakuna chama cha kisiasa cha sasa kitapona, Jeshi litaingilia kati tutaanza upya. Sasa hivi hakuna chama chochote ambacho kinaangalia masliha ya wananchi, wote wanaangalia matumbo yao.

Tuingie na sisi tule. Hospitali ya rufaa Chato wapi na wapi?Mbona Nyerere hakujenga hospitali ya rufaa Butiama?Mtanzania wa kweli.
 
Ndugu yangu Tanzania haitaingia kwenye democrasia ya kweli kupitia vyama vya siasa, hao wote ni wachumba wanacheza kwenye chumba kimoja, isipo kuwa CCM wapo kwenye master room, wengine wanacheza sebeleni, kwa hiyo CCM wanaangalia wewe unaweza kuingia master room na ukiingia kule unanyamaza, democrasia ya kweli itakuja pale Watanzania watakapo jua kuwa walikuwa wanachezewa .Wataingia mtaani na kudai mageuzi ya kweli. Hapo hakuna chama cha kisiasa cha sasa kitapona, Jeshi litaingilia kati tutaanza upya. Sasa hivi hakuna chama chochote ambacho kinaangalia masliha ya wananchi, wote wanaangalia matumbo yao. tuingie na sisi tule. Hospitali ya rufaa Chato wapi na wapi?Mbona Nyerere hakujenga hospitali ya rufaa Butiama?Mtanzania wa kweli. Nyerere miaka 25 hakujenga uwanja wa ndege Butiama, wala mabenki au buga ya wanyama.Sasa tunaona nini ndani ya miaka mitano. Huyu hata ondoka madarakani, ni mbinafsi na arogant hata hana aya. Nyinyi wana Jeshi mmejitolea kulinda nchi hata kutoa tone la damu yenu ya mwisho, mnaona huyo jamaa anacho fanya?Chukueni nchi ili iwasaidie watanzania wote si wa chato tu.Ili at the end of the day kila Mtanzania afaidike kutokea Nanyamba mpaka Ngara.Sasa hivi Tanzania imekuwa ya watu wa Chato tu.
 
CHADEMA ilianza km taasis ndogo Sana imepitia meengi lakini kwa hali ya Sasa wangepambana kukawa na coalition vyama vyote vya upinzan viungane wapambane na CCM waweke maslahi ya uvyama pemben kipaumbele Cha kwanza kiwe kuitoa CCM Cha pili kuitoa CCM Cha tatu kuitoa CCM kwa siasa ya Sasa kuitoa CCM NI NGUMU imagine Kuna vyama ZAIDI ya 20 vya upinzani nikikumbuka 2015 vyama vinne viliungana japo kinafiki lakini CCM jasho liliwatoka navuta picha vyama 20 viungane CCM asubuhi saa 4 haina CHAKE kwanzia chini Hadi juu na upinzani ukianguka NI 50/50 bungeni na INAKUA mwisho wa kuburuzana na one man show

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zitto siyo mtu wa system, ni mnafiki na mamluki tu anayetumiwa na CCM kijanja sana! Zitto sio mtu wa kumuamini kabisa!!
Tatizo lenu akili ni ndogo,na mnakuja kushtuka mwishoni na kuanza kujuta na kutumia maneno 'Tunge...'
Zitto ni mtu wa system wa muda wote.
Kwa hili sibahatishi.
Hivyo unafikiri system inawatumia watu wenye akili ndogo???

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom