Aliyeweka ujumbe huu anatafuta kesi na watu wa usasa

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,171
5,905
1624355739561.png
 
Hamna kitu inaboa kama umemtoa babe out alafu mnafika eneo la tukio yeye anakua busy na simu.

Hapo ndo hua naishi na ule msemo
"mvumilivu, hula mbivu"
 
Sio kwenye mtoko tu. Hata mkiwa nyumbani wanandoa wengi muda wao mwingi wako bize na simu zao bila kujali mpo sebuleni au chumbani.
 
Sio kwenye mtoko tu. Hata mkiwa nyumbani wanandoa wengi muda wao mwingi wako bize na simu zao.
Mkuu, mimi nyumbani hua nina phone locker, yaani kuanzia saa 22:00-5:00.hunipati ni muda wa ku-socialize na kujadili mipango, na maendeleo ya familia.
 
Hamna kitu inaboa kama umemtoa babe out alafu mnafika eneo la tukio yeye anakua busy na simu.

Hapo ndo hua naishi na ule msemo
"mvumilivu, hula mbivu"
Hata nyumbani ukitoka kazini unafika nyumbani halafu aidha mke au mume au wote kuwa busy na simu muda wote ni ishara mbaya sana katika mahusiano
 
Kwani simu si zina data inayotokana na mtandao mtu kajisajili
 
Mkuu, mimi nyumbani hua nina phone locker, yaani kuanzia saa 22:00-5:00.hunipati ni muda wa ku-socialize na kujadili mipango, na maendeleo ya familia.
Kizazi cha sasa kinapitia changamoto sana za utandawazi.

Ukiachana na ubize wa matumizi ya Simu, kitu nilichokiona hapa kwangu huwa naona Mke na watoto wanakuwa bize na kuangalia Tamithilia kilasiku (kuanzia saa 2 usiku hadi saa nne usiku) na hizi Tamithilia ni series zinazochukua mwaka mzima.
 
Ni kweli kabisa, sasa kama baba inatakiwa ujue ni wapi utapata muda wa ziada kuwa na familia yako karibu. Kwa mfano unaweza tumia weekends kuwatoa out, playing video games na kadhalika mkuu.

Kikubwa zaidi ni kuwa na mida mwingi wa ku-socialize na partner wako na watoto kiujumla.

So kama Baba/Mama lazima uwe creative na manipulative, hatuwezi ishi maisha ya 20 century.
 
Hamna kitu inaboa kama umemtoa babe out alafu mnafika eneo la tukio yeye anakua busy na simu.

Hapo ndo hua naishi na ule msemo
"mvumilivu, hula mbivu"
Kuna siku tuliendaa sherehe wafanyakazi wote mahali fulani kama kuwa pamoja hivi,cha kushangaza baada ya kuletwa chakula na vinywaji kila mtu akainama kwenye simu yake yuko bize na ukimya ukatawala,nilikuwa bored sana,ni kama kimwili mmekusanyika ila kiakili kila mtu yupo kivyake.
 
Hii tabia imenisababisha nimekuwa mvivu sana wa kuhudhuria matukio yanayohusu sherehe
 
Kizazi cha sasa kinapitia changamoto sana za utandawazi.

Ukiachana na ubize wa matumizi ya Simu, kitu nilichokiona hapa kwangu huwa naona Mke na watoto wanakuwa bize na kuangalia Tamithilia kilasiku (kuanzia saa 2 usiku hadi saa nne usiku) na hizi Tamithilia ni series zinazochukua mwaka mzima.
Bila shaka saa mbili ni KULFI,saa tat ni THE CITY na saa nne ni ERTUGRUL
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom