Aliyewashonea nguo taifa stars mungu anawaona

Kipimo cha hekima na busara huanza na muonekano ( mavazi)
Unavaa suruali inaning'inia miguuni halafu uje useme una akili timamu WTF
 
Kipimo cha hekima na busara huanza na muonekano ( mavazi)
Unavaa suruali inaning'inia miguuni halafu uje useme una akili timamu WTF
Suti kuninginia kuna shida gani? Unataka kutuaminisha wale wanaovaa suruali fupi kwenye dini yao wote hawana akili timamu?
Usilazimishe unachofanya wewe ndio kiwe sahihi ukivaa ukajiona wewe mwenyew umependeza inatosha.
 
Hivi fundi aliyewashonea zile suti alikua hana futi kamba? Au alipoteza vipimo?Mbona amewashonea vijana wa taifa suti ngoko zote nje..na kwanini hawa vijana wengine hawajanunuliwa soksi. Ni ajabu sana..
View attachment 1121104View attachment 1121106
Haukuna kazi ngumu kwetu sisi mafundi kama kumpima mcheza mpira, hatulii; unatulaumu bure na kama fupi wafumue pindo la chini haina shida.
 

Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom