TANZIA Aliyewahi kuwa mkuu wa mikoa mbalimbali nchini, Abass Kandoro afariki dunia Hospitali ya Taifa, Muhimbili

Wewe umeajiriwa na Magufuli hizo pesa utazipata wapi? Kama unazo wewe lazima ni mwizi, na siku si nyingi utakufa kwa stress na utarudishwa kwenu ziwani!!
Wizi uliohalalishwa unaitwa biashara.
Uwe na akili ya kutosha kuelewa hilo.
Hapa unajipangia gharama na faida yako, na kodi unalipia wizi huo.
Na ndio maana tuna kupa RIP ungali hai, maana umeshakufa, kiwiliwili chako chavuja jasho tu.
 
Wizi uliohalalishwa unaitwa biashara
Wewe hata biashara huijui, kazi yenu kungojea tender za serikali ndio mfanye overinvoicing na wafanyabiashara wezi wenzenu halafu unajidai wewe mfanyabiashara!!! Ngoja Magufuli akufukuze kazi ndio utajua.
 
Wadi wasi wako nini mkuu, mimi mkono unenda kinywani bila tatizo.
Hayo mengine lala nayo!
 
Back
Top Bottom