TANZIA Aliyewahi kuwa Mhasibu wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar, Shaban Mhando afariki dunia Hospitali ya Mloganzila

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
Salaam Wakuu,

Kwa wale mnaomfahamu Mhando, aliyekuwa mhasibu mkuu wa Mkoa Dar Es Salaam (chief accountant) amefariki Dunia Hospitali ya Mloganzila.

Mhando amestaafu na kuagwa na Wafanyakazi mwezi mmoja ulioisha.

96748439-8583-4620-B6B8-481EA1C5A318.jpeg
Pichani, Shabani Mhando akisalimiana na RC Makonda siku alipowasili kuanza kazi rasmi kama Mkuu wa Mkoa wa Dar.

Mungu aweke Mahali pema Peponi roho ya Marehemu.

IMG-20200429-WA0029.jpg
 
Farao alifanya moyo mgumu nchi ikapigwa mapigo mengi mpaka pale wazaliwa Wa kwanza walivyokufa ndiyo akawazuhusu wana Wa Israel kwa ugonjwa huu utawapiga sana yamkini hata wapendwa wazaliwa Wa kwanza naiomba serikali ichukuwe akuba ya vita na kutoa taarifa sahihi ili dunia iweze kulijua tatizo na kutuokoa na hili janga kuliko kuficha ficha kwa hali hii hakuna uchumi tunaokoa
 
Back
Top Bottom