TANZIA Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa TEC, Padre Raymond Saba afariki dunia

RIP Fr Saba..
Kanisa limepoteza mwl bora kabisa wa Biblia..
Wana Mivumoni tutakukumbuka daima.

Mkuu, ivi kuna mwalimu bora wa biblia kama mazinge na wenzie!!!! Ushauri wangu wamfuate profesa Mazinge awafundishe biblia na maana yake. Biblia yote iko kichwani wakati watumishi/mapadri na wachungaji hamna kitu.
 
Mkuu, ivi kuna mwalimu bora wa biblia kama mazinge na wenzie!!!! Ushauri wangu wamfuate profesa Mazinge awafundishe biblia na maana yake pamoja na kuichambua yote. Biblia yote iko kichwani wakati watumishi/mapadri na wachungaji hamna kitu.
Out of point.Who told you that Mazige is a professor
 
Apumzike kwa amani na akifika amuulize mwendazake yale mateso aliyompatia kipindi kile alidhani ataishi milele?
 
Mt 26:31

Ndipo Yesu akawaambia, Ninyi nyote mtachukizwa kwa ajili yangu usiku huu kwa kuwa imeandikwa, Nitampiga mchungaji, na kondoo wa kundi watatawanyika.

Umeondoka mapema, nimekufahamu leo.

Nenda tu Mtumishi wa Mungu,

MUNGU ampokee Mtumishi wake.
 
Ratiba hiyo waungwana
IMG-20210804-WA0006.jpg
 
Huyu sijawah kutana naye anahubiri/Kufundisha wapi?

Kwenye mihadhara ya dini uislamu na ukristo. Habibu othman mazinge, kiboko ya watumishi/wachungaji na mapadri. Aise uyu mbaba wanamhara, biblia yote ipo kichwani.

Part 1

Part 2

Naongeza ya ziada
 
Kwenye mihadhara ya dini uislamu na ukristo. Habibu othman mazinge, kiboko ya watumishi/wachungaji na mapadri. Aise uyu mbaba wanamhara, biblia yote ipo kichwani, anaijua na kuichambua.

Part 1

Part 2

Naongeza ya ziada

Mkuu mambo ya mjadala wa dini hii ni bora kuliko ile huwa sifuatiliagi. Why? Kila mmoja huwa anavutia upande wake na kwa kuwa mwanadamu Si mkamilifu Na siku zote Huwa anavuta/shawishi kwenye kile anachoakiamini yeye then ni bora nimwamini Mungu wangu kwa ule upeo wa akili yangu. Kila dini ina la kuhoji na Ku- criticizes just according to your understanding.
 
Usipoteze muda kuhangaika na wapuuzi..imani ni moja tu nayo ni ukristo kupitia Yesu mwana wa Mungu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Mkuu mambo ya mjadala wa dini hii ni bora kuliko ile huwa sifuatiliagi. Why? Kila mmoja huwa anavutia upande wake na kwa kuwa mwanadamu Si mkamilifu Na siku zote Huwa anavuta/shawishi kwenye kile anachoakiamini yeye then ni bora nimwamini Mungu wangu kwa ule upeo wa akili yangu. Kila dini ina la kuhoji na Ku- criticizes just according to your understanding.
Vado mtoto huyo hayo mambo binafsi niliyefuatilia Enzo nikiwa kinda nisie na aikili nikiishi uswahilini Buguruni..
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom