Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Naye ni Mkuu wa Wilaya

Sifa nyingine iliyomsadia Mwenegoha kuteuliwa ni kuwa baada ya kumtelekeza mkewe wa ndoa, alimwoa fisadi mmoja wa fedha BOT (twin towers) aitwaye MARY MAGANGA. Huyo mama alikwiba fedha nyingi BOT wakati wa ujenzi wa minara miwili akiwa store keeper, na hivi amehamishiwa Arusha BOT. Kufuru aliyo nayo ni kufanya kazi Arusha lakini anaishi na Mwenegoha DSM - yaani kila asubuhi yuko kwenye ndege kwenda kazini na kurudi jioni.

 
Ndallo..........mfumo mzima umeoza...............watahamishaa hadi watafika hatua na kuona tatizo siyo kufukuzana tatizo ni kuwarudishia wananchi haki ya kujichagulia viongzi wao wanaowataka..........
 
Last edited by a moderator:
Kaa mkijua ufisadi ndani ya CCM hautakaa uishe milele! kwakua tunapokwenda ni kua huyu jamaa akishatoka ukuu wa wilaya atapanda na kua mbunge kaa ukielewa wizi utaendelea! na baada ya hapo kwakulindana msishangae akaukwaa uwaziri kwa kilekile tunachosema ni kulindana! Shame on them!:angry:
 
Na sijui aliingiaje KKKT kwakua kuna tetesi kua ni Muislamu!

Alibatizwa na Mwaka 1970 - 1973 akasomea Lutheran Junior Seminary ikiwa Vuga Lushoto wakati huo. Uislamu kama amerudia ni baada ya kuacha KKKT.
 
Katika kule tunaposema ni kulindana na nani amfunge Paka Kengele ni kua kuna yule bwana aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwa takribani miaka 20, Amani Mwenegoha naye ameukwaa ukuu wa wilaya.

Huyu mtu alikuwa na kesi ya kula hela za Kanisa; hapa napata mshtuko kuhusiana na kulindana huku.

duh kama mtu alikula hela za wacha Mungu sijui huko wilayani itakuaje...unajua in theory ukuu wa wilaya ni cheo kidogo sana ila in terms of power and money ni cheo kikubwa ndio maana kila mtu anakimbilia huko...usipokula weye atakula mwenzio
 
Back
Top Bottom