Aliyewahi Kutumia tv aina ya Star x na Evvoli

Sana mkuu hadi wanaboa sasa,kiuhalisia hamna tofauti yeyote mm wakat nanunua tv nilikuta star x,lg na samsung nikawekewa video yenye resolution moja ya 1080 kiukwel sikuona tofaut zote zipo sawa kwa upande wa picha,so nikaona why nisichukue star x coz ya gharama yake ni pungufu kuliko hz zingne
Tatizo nikisema naonekana sijui.hii dhana inakera sana.

Ukweli mkali,star x inazidi mng'ao tv hizi kubwa.
 
Mnyukano ni wa haja kweli kweli. Ila nakuomba mkuu Abdulwahid kwakuwa mimi nakukubali na nimeshindwa hata kuandika kabisa. Usijibu tena hii post kwakuwa wewe ni mfanyabiashara na una wateja humu. Nakusihi kama Rafiki na mtu ninae mkubali baki kwenye ule uzi wa kuuza TV boss wangu.

Kuna watu wana credit za kuaminika kwenye tech hapa JF ukishindana nao utapoteza kitu inaitwa customer trust (imani ya wateja) utawagawa.

Funga mjadala naomba ubaki msomaji wa hii thread. Nakwasababu thread ni ya kuelimisha iendelee. Ila jitahd usijibu tena hii, ukiweza usiisome maana kusoma pia yaweza kukupa mzuka wa kujibu.
......hope umenielewa na ni kwa nia nzuri ya kukufanya wewe u mantain biashara yako. PAMOJA MKUU.
........xxxx....

Nirudi kwenye Mada.
Technolojia yeyote, Ya kitu chochote ikiwa katika manufaa au matumizi basi huwa ina huishwa kila uchwao. Simu, magari, electronics, machine na mengine mengi

Kwa mfano simu, tangu tunatumia zile za mezani unazungusha kwa kidole, kuja za mezani za batani(kubonyeza) na miwaya imeungwa. Mpaka tulipoanza kutumia Simens zile analogy kabisa, badae smartphone zenye uwezo mdogo enzi zile Ram 512, kioo nyenye teknlojia duni nk nk. Leo tunaona fold smartphone kama ya huawei, samsung, Xiaomi n.k

Hapa tunakubaliana Teknolojia inakuwa na sio dhahania ni vitu halisi vinavyoonekana.

Suala la TV, hapa ndio mtihani wa uzi huu ulipo. Niliwahi kuandika thread hii maarufu kiasi kuhusu Muzik sisitim (Music System)

Nilisema kujua muziki bora kwa kusikia tu ni utaalamu. Pengine uwe na ear pitched to music (kipaji) au umesomea, nikasema wengi tunasikiliza muziki lakini si kwa radha iliyotengenezwa nayo studio, tunasikiliza tu kile redio zetu zimekuwa boosted kutusikilizisha.

Kwa mfano, Leo nikitoa assignment hapa nikawaomba kila mtu apige wimbo flani kwenye simu yake kisha aje aseme ni Mono au Stereo, ha ha ha nakwambia kila mtu atasema ni Stereo. Sababu? Hana utaalamu yeye anasikia tu mziki mzuri na hana cha kutofautisha nacho (compare and contrast). Wengi wanajua bass na loudness ndio muziki bora. ila nakwambia low end, midrange karibu zote za simu hazina stereo speaker. Earphone unazovaa kila siku unalamba mono tu na huwezi kujua.

Suala ni hilohilo kwenye Picha na teknolojia ya vioo. Kuanzia rangi, viewing angle, colour handling, motion handling, colour lighting, nk nk huwezi jua mpaka uwe mtaalamu. Au uchukue muda kuweka mbili au zaidi pamoja kupata utofauti. Note: unapoweka pamoja kupata utofauti lazima zote ziwe katika natural environment.

Sio hii ipo vivid, hii imekiwa more contasted, hii ipo kwenye sean ya movie, no! Reset kifaa chako, acha manufacture setting zinazofanana, weka input sawa na bora. Ambazo hazipotezi signal.

Tecno ana ujanja flan waku calibrate Camera za simu zake, watu wanaisifia sana picha, lakini ukifungua ndani camera hio hajaweka sensor yeyote ya maana wala picha zake ukizitoa hapa kitaalamu unakuta huna picha, ila amezitengeneza kuonekana nzuri (beautified) hazina uhalisia (naimani naeleweka, nimetoa mfano ili darasa litulie sio kuponda). Hapa wadau wa camon Cx, CM na Camon Air wanafurai sana. Lakini katika hao nani aliewai toa picha akataka iwe printed hata kwenye bango kubwa, ndio anashangaa mtaalamu anamwambia hii vigezo haina .

Hivyo hivyo kuna mtu ukimchukua leo ukaweka gari hapa iliorudiwa rangi hawezi sema wala kujua. Ila kuna mtaalamu ikipigwa picha tu akaona picha hata kama imepigwa vizuri aje, atakwambia imeoga rangi hii. (Utaalamu)

Sasa the same to TV, haziwezi kuwa sawa abadani, mpaka TV hizi za kichina zinauzwa Cheap, jua somewhere wame optimize Quality for the sake of price ( yani kwa kiswahili ni hivi TV za kichina kuwa bei nafuu zaidi kuna mahali katika utengenezaji wana dunisha baadhi ya vitu ili bei ibaki chini)

Swali kwanini picha bado naziona bora sawasawa na Ma TV mengine? Ni rahisi jamaa wanajua watakushika wapi. Jamaa wanajua business, hata wanapotengeneza bila shaka wanachukuaga model bora wanaweka pamoja na wana optimize walau kufikia zenye gharama.
Wana calibrate rangi, wana saturate color, wanaweka contrast ya kutosha. Inang'aa unakubali mzigo. Yani ni sawa na wanawake tu akiamka analamba makeup, nguo za kubana unamufia. Akinawa Uso hakuna kitu.

Kufupisha maelezo ni hivi, picha iliotengenezwa hollywood, na producer alichokusudia ukione, kama huna TV yenye uwezo huwezi kiona, na huwezi jua kwasababu huna cha kulinganisha nacho na hujui picha halisi iliokusudiwa ni ipi.

Jambo moja wote mmewai liona kwenye TV, angalia picha ya wanyama labda duma anamfukuza swala. Picha za hivi huwa zinakimbia sana, au simba ndio kamshika mnyama mwingine sasa wanazungushana pale chini ili amuue, TV nyingi utaona picha inakuwa blurred yani kama inakatika au chafu hivi mfano wa picha inayokuja kutoka kwenye dish wakati mvua inaanza kunyesha, sasa vitu kama hivi wewe mwenzangu na mimi huwezi jua ni tatizo la TV unajua tu ni movie ndio ilivyo ila hapo ndio kuna kitu kinaitwa motion handling, TV za kawaida zina rate ya 60Hz

Fanya zoezi lakuangalia clip ya mnyama anaekimbia spidi kwenye 60Hz na 120Hz kwa wakati mmoja. Utajua tech inatofauti kubwa. Angalia mpira wakati kamera zinakimbia. Acha replay ya slow motion. Itajua tunachosema hapa

Zoezi la pili leo kaweke clip ya mpira wa miguu FHD subiria wakati camera wana mvuta mtu aidha mchezaji au bench la ufundi kwa karibu muangalie huyo mtu husika kwenye nywele, Je waweza ona ule uzi wa nyele mmoja mmoja ulivochambuka na kuachana na mwingine? Au unaona tu mtu ana rundo la vitu vyeusi/gold/white kichwani vimesongamana na ubongo wako ukatafsri hizo ni nywele kwakuwa tayari unajua, je ukianza kuhama toka upande mmoja kwenda pembeni, hizo nyele kama uliona ni nyeusi, huwezi ona nyeusi ya tofauti? Yan haipauki wala kubadilika hata kidogo kila angle? utajua kuna tofauti ya picha ukifatialia haya

Nimechoka wadau maana nimeandika walau watu wajue natamani kuongea mengi ila tungekuwa field na TV hapa na ninyi mpo pale ingekuwa Rahsi. Ila kufundisha kwa nadhalia "Tired"
 
Chukua fanta abdul atalipa
 
Mkuu nimegain pakubwa sana hapa
 
Watu wametelekeza uzi njooni tuendelee
kcamp
Chief-Mkwawa
Extrovert
Mkuu nimegain pakubwa sana hapa
Naomba tuangalie picha hizi hapa Chini kwa umakini kisha mniambie utofauti wake kama waweza gundua. Picha niambie katika picha namba flan picha sahihi ni ya juu au chini
Picha no 1

Angalia TV ya juu na chini mniambie ingekuwa wewe ungechagua TV ipi

Picha no 2
Screenshot_20191027-131618_YouTube.jpeg

Picha no 3
Screenshot_20191027-131538_YouTube.jpeg

Picha no 4
Screenshot_20191027-131606_YouTube.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_20191027-132122_YouTube~2.jpeg
    Screenshot_20191027-132122_YouTube~2.jpeg
    27 KB · Views: 13
Picha namba 2 hii nimeiweka tena ya kwanza nili clone ikawa blurred
Screenshot_20191027-131621_YouTube.jpeg

Note: hapa ni namna TV inavyo handle picha katika kuiangazia. (Scean Lighting) ambapo suala la local dimming linaingia
Screenshot_20191027-132109_YouTube.jpeg
 
Mnyukano ni wa haja kweli kweli. Ila nakuomba mkuu Abdulwahid kwakuwa mimi nakukubali na nimeshindwa hata kuandika kabisa. Usijibu tena hii post kwakuwa wewe ni mfanyabiashara na una wateja humu. Nakusihi kama Rafiki na mtu ninae mkubali baki kwenye ule uzi wa kuuza TV boss wangu.

Kuna watu wana credit za kuaminika kwenye tech hapa JF ukishindana nao utapoteza kitu inaitwa customer trust (imani ya wateja) utawagawa.

Funga mjadala naomba ubaki msomaji wa hii thread. Nakwasababu thread ni ya kuelimisha iendelee. Ila jitahd usijibu tena hii, ukiweza usiisome maana kusoma pia yaweza kukupa mzuka wa kujibu.
......hope umenielewa na ni kwa nia nzuri ya kukufanya wewe u mantain biashara yako. PAMOJA MKUU.
........xxxx....

Nirudi kwenye Mada.
Technolojia yeyote, Ya kitu chochote ikiwa katika manufaa au matumizi basi huwa ina huishwa kila uchwao. Simu, magari, electronics, machine na mengine mengi

Kwa mfano simu, tangu tunatumia zile za mezani unazungusha kwa kidole, kuja za mezani za batani(kubonyeza) na miwaya imeungwa. Mpaka tulipoanza kutumia Simens zile analogy kabisa, badae smartphone zenye uwezo mdogo enzi zile Ram 512, kioo nyenye teknlojia duni nk nk. Leo tunaona fold smartphone kama ya huawei, samsung, Xiaomi n.k

Hapa tunakubaliana Teknolojia inakuwa na sio dhahania ni vitu halisi vinavyoonekana.

Suala la TV, hapa ndio mtihani wa uzi huu ulipo. Niliwahi kuandika thread hii maarufu kiasi kuhusu Muzik sisitim (Music System)

Nilisema kujua muziki bora kwa kusikia tu ni utaalamu. Pengine uwe na ear pitched to music (kipaji) au umesomea, nikasema wengi tunasikiliza muziki lakini si kwa radha iliyotengenezwa nayo studio, tunasikiliza tu kile redio zetu zimekuwa boosted kutusikilizisha.

Kwa mfano, Leo nikitoa assignment hapa nikawaomba kila mtu apige wimbo flani kwenye simu yake kisha aje aseme ni Mono au Stereo, ha ha ha nakwambia kila mtu atasema ni Stereo. Sababu? Hana utaalamu yeye anasikia tu mziki mzuri na hana cha kutofautisha nacho (compare and contrast). Wengi wanajua bass na loudness ndio muziki bora. ila nakwambia low end, midrange karibu zote za simu hazina stereo speaker. Earphone unazovaa kila siku unalamba mono tu na huwezi kujua.

Suala ni hilohilo kwenye Picha na teknolojia ya vioo. Kuanzia rangi, viewing angle, colour handling, motion handling, colour lighting, nk nk huwezi jua mpaka uwe mtaalamu. Au uchukue muda kuweka mbili au zaidi pamoja kupata utofauti. Note: unapoweka pamoja kupata utofauti lazima zote ziwe katika natural environment.

Sio hii ipo vivid, hii imekiwa more contasted, hii ipo kwenye sean ya movie, no! Reset kifaa chako, acha manufacture setting zinazofanana, weka input sawa na bora. Ambazo hazipotezi signal.

Tecno ana ujanja flan waku calibrate Camera za simu zake, watu wanaisifia sana picha, lakini ukifungua ndani camera hio hajaweka sensor yeyote ya maana wala picha zake ukizitoa hapa kitaalamu unakuta huna picha, ila amezitengeneza kuonekana nzuri (beautified) hazina uhalisia (naimani naeleweka, nimetoa mfano ili darasa litulie sio kuponda). Hapa wadau wa camon Cx, CM na Camon Air wanafurai sana. Lakini katika hao nani aliewai toa picha akataka iwe printed hata kwenye bango kubwa, ndio anashangaa mtaalamu anamwambia hii vigezo haina .

Hivyo hivyo kuna mtu ukimchukua leo ukaweka gari hapa iliorudiwa rangi hawezi sema wala kujua. Ila kuna mtaalamu ikipigwa picha tu akaona picha hata kama imepigwa vizuri aje, atakwambia imeoga rangi hii. (Utaalamu)

Sasa the same to TV, haziwezi kuwa sawa abadani, mpaka TV hizi za kichina zinauzwa Cheap, jua somewhere wame optimize Quality for the sake of price ( yani kwa kiswahili ni hivi TV za kichina kuwa bei nafuu zaidi kuna mahali katika utengenezaji wana dunisha baadhi ya vitu ili bei ibaki chini)

Swali kwanini picha bado naziona bora sawasawa na Ma TV mengine? Ni rahisi jamaa wanajua watakushika wapi. Jamaa wanajua business, hata wanapotengeneza bila shaka wanachukuaga model bora wanaweka pamoja na wana optimize walau kufikia zenye gharama.
Wana calibrate rangi, wana saturate color, wanaweka contrast ya kutosha. Inang'aa unakubali mzigo. Yani ni sawa na wanawake tu akiamka analamba makeup, nguo za kubana unamufia. Akinawa Uso hakuna kitu.

Kufupisha maelezo ni hivi, picha iliotengenezwa hollywood, na producer alichokusudia ukione, kama huna TV yenye uwezo huwezi kiona, na huwezi jua kwasababu huna cha kulinganisha nacho na hujui picha halisi iliokusudiwa ni ipi.

Jambo moja wote mmewai liona kwenye TV, angalia picha ya wanyama labda duma anamfukuza swala. Picha za hivi huwa zinakimbia sana, au simba ndio kamshika mnyama mwingine sasa wanazungushana pale chini ili amuue, TV nyingi utaona picha inakuwa blurred yani kama inakatika au chafu hivi mfano wa picha inayokuja kutoka kwenye dish wakati mvua inaanza kunyesha, sasa vitu kama hivi wewe mwenzangu na mimi huwezi jua ni tatizo la TV unajua tu ni movie ndio ilivyo ila hapo ndio kuna kitu kinaitwa motion handling, TV za kawaida zina rate ya 60Hz

Fanya zoezi lakuangalia clip ya mnyama anaekimbia spidi kwenye 60Hz na 120Hz kwa wakati mmoja. Utajua tech inatofauti kubwa. Angalia mpira wakati kamera zinakimbia. Acha replay ya slow motion. Itajua tunachosema hapa

Zoezi la pili leo kaweke clip ya mpira wa miguu FHD subiria wakati camera wana mvuta mtu aidha mchezaji au bench la ufundi kwa karibu muangalie huyo mtu husika kwenye nywele, Je waweza ona ule uzi wa nyele mmoja mmoja ulivochambuka na kuachana na mwingine? Au unaona tu mtu ana rundo la vitu vyeusi/gold/white kichwani vimesongamana na ubongo wako ukatafsri hizo ni nywele kwakuwa tayari unajua, je ukianza kuhama toka upande mmoja kwenda pembeni, hizo nyele kama uliona ni nyeusi, huwezi ona nyeusi ya tofauti? Yan haipauki wala kubadilika hata kidogo kila angle? utajua kuna tofauti ya picha ukifatialia haya

Nimechoka wadau maana nimeandika walau watu wajue natamani kuongea mengi ila tungekuwa field na TV hapa na ninyi mpo pale ingekuwa Rahsi. Ila kufundisha kwa nadhalia "Tired"
Uko sahihi sana Mkuu nina tv ya Samsung smart tv (UA40ES6200 ) Nikiangaliaga mpira humu kupitia Dstv naenjoy kitu FHD ya ukweli.

Ila nikiendaga kibanda umiza huwa naboreka sana, basi tu sababu ya Mzuka ya wengi.

Kama unaangalia Movie ya FHD kila kitu kinakuwa kwenye ubora wake.
 
Unaakili sana hii tv ninayo mwaka Wa tano nchi 32 sijawahi jutia aisee
Hii brand ya star x msiichukulie poa, south africa huwambii kitu juu ya hii brand

Ubora wa picha ziko safi sana, ukinunua star x jitahidi upate ile yenye mark ya masadubai.

shukrani
 
Watu wametelekeza uzi njooni tuendelee
kcamp
Chief-Mkwawa
Extrovert Naomba tuangalie picha hizi hapa Chini kwa umakini kisha mniambie utofauti wake kama waweza gundua. Picha niambie katika picha namba flan picha sahihi ni ya juu au chini
Picha no 1

Angalia TV ya juu na chini mniambie ingekuwa wewe ungechagua TV ipi

Picha no 2
View attachment 1246237

Picha no 3
View attachment 1246239

Picha no 4
View attachment 1246240
Nikipata muda nitarekodi video tv mbili zikionyesha video 1080p resolution.star x mchina na brand nyingine genuine kama samsung au sony nk.halafu tufanye tathmini.

Ni kweli haya mambo yapo kitaalamu sana,ila sisi ndio bado tuku nyuma na umasikini wetu,kwahiyo inawezekana kabisa,hata hizi tv(led) tunazotumia majumbani mwetu,huku tukijiaminisha ni tv kweli bado hazikutiliwa umakini sababu ya soko zinakokwenda.
 
Mnyukano ni wa haja kweli kweli. Ila nakuomba mkuu Abdulwahid kwakuwa mimi nakukubali na nimeshindwa hata kuandika kabisa. Usijibu tena hii post kwakuwa wewe ni mfanyabiashara na una wateja humu. Nakusihi kama Rafiki na mtu ninae mkubali baki kwenye ule uzi wa kuuza TV boss wangu.

Kuna watu wana credit za kuaminika kwenye tech hapa JF ukishindana nao utapoteza kitu inaitwa customer trust (imani ya wateja) utawagawa.

Funga mjadala naomba ubaki msomaji wa hii thread. Nakwasababu thread ni ya kuelimisha iendelee. Ila jitahd usijibu tena hii, ukiweza usiisome maana kusoma pia yaweza kukupa mzuka wa kujibu.
......hope umenielewa na ni kwa nia nzuri ya kukufanya wewe u mantain biashara yako. PAMOJA MKUU.
........xxxx....

Nirudi kwenye Mada.
Technolojia yeyote, Ya kitu chochote ikiwa katika manufaa au matumizi basi huwa ina huishwa kila uchwao. Simu, magari, electronics, machine na mengine mengi

Kwa mfano simu, tangu tunatumia zile za mezani unazungusha kwa kidole, kuja za mezani za batani(kubonyeza) na miwaya imeungwa. Mpaka tulipoanza kutumia Simens zile analogy kabisa, badae smartphone zenye uwezo mdogo enzi zile Ram 512, kioo nyenye teknlojia duni nk nk. Leo tunaona fold smartphone kama ya huawei, samsung, Xiaomi n.k

Hapa tunakubaliana Teknolojia inakuwa na sio dhahania ni vitu halisi vinavyoonekana.

Suala la TV, hapa ndio mtihani wa uzi huu ulipo. Niliwahi kuandika thread hii maarufu kiasi kuhusu Muzik sisitim (Music System)

Nilisema kujua muziki bora kwa kusikia tu ni utaalamu. Pengine uwe na ear pitched to music (kipaji) au umesomea, nikasema wengi tunasikiliza muziki lakini si kwa radha iliyotengenezwa nayo studio, tunasikiliza tu kile redio zetu zimekuwa boosted kutusikilizisha.

Kwa mfano, Leo nikitoa assignment hapa nikawaomba kila mtu apige wimbo flani kwenye simu yake kisha aje aseme ni Mono au Stereo, ha ha ha nakwambia kila mtu atasema ni Stereo. Sababu? Hana utaalamu yeye anasikia tu mziki mzuri na hana cha kutofautisha nacho (compare and contrast). Wengi wanajua bass na loudness ndio muziki bora. ila nakwambia low end, midrange karibu zote za simu hazina stereo speaker. Earphone unazovaa kila siku unalamba mono tu na huwezi kujua.

Suala ni hilohilo kwenye Picha na teknolojia ya vioo. Kuanzia rangi, viewing angle, colour handling, motion handling, colour lighting, nk nk huwezi jua mpaka uwe mtaalamu. Au uchukue muda kuweka mbili au zaidi pamoja kupata utofauti. Note: unapoweka pamoja kupata utofauti lazima zote ziwe katika natural environment.

Sio hii ipo vivid, hii imekiwa more contasted, hii ipo kwenye sean ya movie, no! Reset kifaa chako, acha manufacture setting zinazofanana, weka input sawa na bora. Ambazo hazipotezi signal.

Tecno ana ujanja flan waku calibrate Camera za simu zake, watu wanaisifia sana picha, lakini ukifungua ndani camera hio hajaweka sensor yeyote ya maana wala picha zake ukizitoa hapa kitaalamu unakuta huna picha, ila amezitengeneza kuonekana nzuri (beautified) hazina uhalisia (naimani naeleweka, nimetoa mfano ili darasa litulie sio kuponda). Hapa wadau wa camon Cx, CM na Camon Air wanafurai sana. Lakini katika hao nani aliewai toa picha akataka iwe printed hata kwenye bango kubwa, ndio anashangaa mtaalamu anamwambia hii vigezo haina .

Hivyo hivyo kuna mtu ukimchukua leo ukaweka gari hapa iliorudiwa rangi hawezi sema wala kujua. Ila kuna mtaalamu ikipigwa picha tu akaona picha hata kama imepigwa vizuri aje, atakwambia imeoga rangi hii. (Utaalamu)

Sasa the same to TV, haziwezi kuwa sawa abadani, mpaka TV hizi za kichina zinauzwa Cheap, jua somewhere wame optimize Quality for the sake of price ( yani kwa kiswahili ni hivi TV za kichina kuwa bei nafuu zaidi kuna mahali katika utengenezaji wana dunisha baadhi ya vitu ili bei ibaki chini)

Swali kwanini picha bado naziona bora sawasawa na Ma TV mengine? Ni rahisi jamaa wanajua watakushika wapi. Jamaa wanajua business, hata wanapotengeneza bila shaka wanachukuaga model bora wanaweka pamoja na wana optimize walau kufikia zenye gharama.
Wana calibrate rangi, wana saturate color, wanaweka contrast ya kutosha. Inang'aa unakubali mzigo. Yani ni sawa na wanawake tu akiamka analamba makeup, nguo za kubana unamufia. Akinawa Uso hakuna kitu.

Kufupisha maelezo ni hivi, picha iliotengenezwa hollywood, na producer alichokusudia ukione, kama huna TV yenye uwezo huwezi kiona, na huwezi jua kwasababu huna cha kulinganisha nacho na hujui picha halisi iliokusudiwa ni ipi.

Jambo moja wote mmewai liona kwenye TV, angalia picha ya wanyama labda duma anamfukuza swala. Picha za hivi huwa zinakimbia sana, au simba ndio kamshika mnyama mwingine sasa wanazungushana pale chini ili amuue, TV nyingi utaona picha inakuwa blurred yani kama inakatika au chafu hivi mfano wa picha inayokuja kutoka kwenye dish wakati mvua inaanza kunyesha, sasa vitu kama hivi wewe mwenzangu na mimi huwezi jua ni tatizo la TV unajua tu ni movie ndio ilivyo ila hapo ndio kuna kitu kinaitwa motion handling, TV za kawaida zina rate ya 60Hz

Fanya zoezi lakuangalia clip ya mnyama anaekimbia spidi kwenye 60Hz na 120Hz kwa wakati mmoja. Utajua tech inatofauti kubwa. Angalia mpira wakati kamera zinakimbia. Acha replay ya slow motion. Itajua tunachosema hapa

Zoezi la pili leo kaweke clip ya mpira wa miguu FHD subiria wakati camera wana mvuta mtu aidha mchezaji au bench la ufundi kwa karibu muangalie huyo mtu husika kwenye nywele, Je waweza ona ule uzi wa nyele mmoja mmoja ulivochambuka na kuachana na mwingine? Au unaona tu mtu ana rundo la vitu vyeusi/gold/white kichwani vimesongamana na ubongo wako ukatafsri hizo ni nywele kwakuwa tayari unajua, je ukianza kuhama toka upande mmoja kwenda pembeni, hizo nyele kama uliona ni nyeusi, huwezi ona nyeusi ya tofauti? Yan haipauki wala kubadilika hata kidogo kila angle? utajua kuna tofauti ya picha ukifatialia haya

Nimechoka wadau maana nimeandika walau watu wajue natamani kuongea mengi ila tungekuwa field na TV hapa na ninyi mpo pale ingekuwa Rahsi. Ila kufundisha kwa nadhalia "Tired"
Huwa nakupa "thanks" kabla ya kusoma.
 
Mfano nimeingia hio link hio tv ina kioo cha 4k lakini kina rangi milioni 16 tu, inamaana hakina hdr yoyote ile sio 10 wala 8, umeekewa mkioo mkubwaa una mapixel kibao ila advantage ya 4k unayoisikia kila siku hio tv haina. Kwa tv za brand nzuri rangi ni bilioni 1, pia brightness ni 320 tu kwa standard mpya hapa huangalii chochote,
Chief vp ubora wa tv za hisense? Msaada wako tafadhali
 
Hahaaaa ukiwa huna kifaa kingine utaona ivo ila amin mie sijawahi tumia star x ila kampuni za kichina kama hisense tcl nimetumia nw niko na mashine moja kali San mzigo wa sharp ndio utajua kua huu n hatari aisee tubadilishe ladha lwa kuchagua vitu ambavyo wataalam wanajua
Vipi ubora wa tv za hisense?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom