Aliyewahi kusikia Rais wa nchi anakemea vitendo vya utekaji, hebu atuwekee kumbukumbu hapa

Aliwahi kumwambia IGP kuwa “wananchi siyo wajinga”, Siro akasema baada ya siku tatu atatoa taarifa za uchunguzi wa kutekwa kwa Mo, ni miezi imeisha sasa. Lakini suala likimuhusu Bashite mkuu ni kama anaishiwa nguvu kabisa!
Sometime kuzuga kumo mkubwa ukimess up!
 
Da nimekuwa na hasira sana, inakuwaje unamteka mtu kwa sababu ya mtazamo wake wa kisiasa. Kwa nn watu wanajiona wao ndo bora zaid.
 
Back
Top Bottom