Thelionden
Senior Member
- Apr 7, 2018
- 165
- 156
Nimebadirisha tu aina ya mlo pamoja na hizo tiba nilizoziainisha hapo juu kama sitz bath mkuu
Unatumia tiba gani
Unatumia tiba gani
Wanapatikana wapiTiba ya asili kutoka kampuni ya Bf suma unapona bila opareshen
Nna watu wangu wa karibu walipona kabisa ila kwa kufanyiwa upasuaji.Habari wakuu,
Nimekuwa nikinywa sana maji, kula mboga za majani na matunda. Naomba kama mtu ambaye alishawahi kuumwa bawasiri/hemorrhoids na akapona kabisa, anijuze alifanya nini akapona.
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu,
Nimekuwa nikinywa sana maji, kula mboga za majani na matunda. Naomba kama mtu ambaye alishawahi kuumwa bawasiri/hemorrhoids na akapona kabisa, anijuze alifanya nini akapona.
Ahsanteni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuuNna watu wangu wa karibu walipona kabisa ila kwa kufanyiwa upasuaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jinsi yako?
Unajishugulisha na shuguli gani mala kwa mala ya kukuingizia kipato?
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upuuzi bwana we msaidie namna ya kupona,umri amekutajia kazi yake we ya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu usipalamie mambo usiyo yajua.. nikikuuliza hemorrhoid inasababishwa na nn unaweza junipa jibu???
Acha watu wa afya tutoe ushaur usiingilie... Maswali hayo niliyo uliza yana mahusiano na tatizo lake sanaaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Inasababishwa na nini ?Mimi iliwahi nitokea kwa wiki 2 hivi kiasi kwamba nikaanza kuogopa maana kuna jamaa yangu ilimsumbua sana .
Nikawa nakunywa maji sana na kufanya mazoezi ikayeyuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwanaume, kazi zangu zinahusisha kutumia computer siku nzimaJinsi yako?
Unajishugulisha na shuguli gani mala kwa mala ya kukuingizia kipato?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli wanapona.Nna watu wangu wa karibu walipona kabisa ila kwa kufanyiwa upasuaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
IlikuwajeewPole mkuu ila kuna uzi humu ndani unaelezea vizuri kabisa ugonjwa huu na tiba zake na pia kuna mtaalam mmoja yuko dar anatibu kabisa na unapona mkuu, kuna jamaa yangu alimtumia akapona kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app