Aliyewahi ibiwa akapata vitu vyake kwa njia mbadala na sio kutumia polisi

Mrs Dee

Senior Member
Oct 7, 2017
199
303
Habari ndugu zangu,

Nishaibiwa zaidi ya mara tatu kwenye uwizi wa majumbani na kutapeliwa lakini hili limeniuma la kuvunjiwa na kuibiwa vitu vingi.

Kwa uchunguzi wa awali nimegundua anaweza akawa mtu anaenifahamu. Nataka nitumie njia yoyote ile halali na haramu asili na ya kisasa nimpate hutu mtu.

Kama kuna mtu ana ushuhuda alipata vitu alivyoibiwa kwa njia zingine mimi nipo tayari
 
Boss wangu aliibiwa vifaa vya gari yaani jamaa waliondoka na Taa, Music systems, sijui machine za vioo etc. Nikakabidhiwa jukumu la kuwatafuta na kurudisha vifaa.

Ni story ndefu ila baada ya usumbufu mkubwa sana tukafanikiwa kuvipata vyote isipokuwa cover la tairi ya nyuma, gari ilikua Rav4.

Kitochi Original
 
Nipp mchakato mzima
 
Habari ndugu zangu.
Nishaibiwa zaidi ya mara tatu kwenye uwizi wa majumbani na kutapeliwa lakini hili limeniuma la kuvunjiwa na kuibiwa vitu vingi.
Kwa uchunguzi wa awali nimegundua anaweza akawa mtu anaenifahamu.
Nataka nitumie njia yoyote ile halali na haramu asili na ya kisasa nimpate hutu mtu.
Kama kuna mtu ana ushuhuda alipata vitu alivyoibiwa kwa njia zingine mimi nipo tayari
Kuwa makini. Hapa ndio itaingia ile msg 'mjomba asante vile vitu vyangu vyote nimevipata,wale wezi wamerudisha wenyewe. Yule mganga kiboko' msg hii ikiingia na hali uliyonayo unapigwa tena.

Najua inaumaje ukiibwa,yashawahi nikuta zaidi ya mara moja.
 
Yaani ununue vitu vyako ulivyoibiwa?,wezi wengine wanatoka mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpwa, alitaka nieleze vile nilivyofanikiwa kurejesha hivyo vifaa! Sikumshauri afanye hivyo, yeye ndio anajua thamani ya vitu vyake. Sisi vile vifaa vingefika zaidi ya 2m sasa kama tukitoa laki tatu shida ni nini?

Ukikomaa hutakaa uvipate, tulipata usumbufu wa kuzungushwa Siku nzima Hadi jioni tukavipata pale jangwani ila tulishapelekwa Manzese, Kwa Mtogole, Mabibo, Mburahati etc.
 
Ukipoteza zaidi pesa uje utupe mrejesho hapa, maana unaenda kupigwa.

Boss wangu aliibiwa vifaa vya gari yaani jamaa waliondoka na Taa, Music systems, sijui machine za vioo etc. Nikakabidhiwa jukumu la kuwatafuta na kurudisha vifaa.

Ni story ndefu ila baada ya usumbufu mkubwa sana tukafanikiwa kuvipata vyote isipokuwa cover la tairi ya nyuma, gari ilikua Rav4.

Kitochi Original
 
Ukipoteza zaidi pesa uje utupe mrejesho hapa, maana unaenda kupigwa.
Naona kama vile mnataka kuleta ligi! Hebu na nyie mshaurini achaneni na ushauri waangu, maana naona umegeuzwa kuwa topic
 
  • Thanks
Reactions: amu
Ushahidi wa wapi? Polisi? Sitakaa nipeleke kesi Police, yaani wewe ndio umepata majanga lakini ukifika wanataka uwape pesa
Update..
Nimeonana na jamaa ambae nimeambia ndo ananunuaga vitu vilivyoibiwa..tukaongea vizuri akaniambia atanipigia usiku.
Ila alikua ana hofu sana tangubkumekucha nampigia hapokei
 
Bora utumie njia nyingine.Maana polisi wanakutafutia vitu vyako vilivyoibiwa wakivipata wanaviiba tena,kisha wanavitafuta tena na kuvipata kisha wanaviiba kwa mara ya pili mlolongo ni huo huo tu.
 
Bora utumie njia nyingine.Maana polisi wanakutafutia vitu vyako vilivyoibiwa wakivipata wanaviiba tena,kisha wanavitafuta tena na kuvipata kisha wanaviiba kwa mara ya pili mlolongo ni huo huo tu.
Ha ha ha!
 
Back
Top Bottom