aliyeuza nchi kwa Karl Peters 1884, huyu hapa

When Samora Machel signed the Nkomati Accord, I was mad as hell, it reminded me of Karl Peters' so called contracts, which Lobengula ( sp) tried very hard not to sign, but they made him sign anyway. I think the relationship we have with our colonizers is complex. ( I do not condone the current mikataba though)

The thing to remember is wazungu will never sign anything which is not beneficial to them, they have tons of lawyers and accountants who study and restudy these projects and advise them accodingly, so any contract however good it may look to us,benefits them more that it does us.

We will probably be better when true democracy reaches us, when our citizens can say no to a policy and their wishes are respected.

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Huyu Mbwela amenifurahisha na hilo hirizi lake kuubwa....Wazungu hawakuliona au hawakulielewa?.....tusimlaumu kwa kuwa hakujua thamani ya anachokiuza kuliko wanunuzi wenyewe...moderntimes Mbwelas wanajua thamani alkini wanfanya kusudi...Karamagi alikuwa anajua Thamani ya Buzwagi....sisi tunajua thamani ya kupiga kura...but...we are neo-Mbwelas
 
Dk. Karl Peters (kati) akiwa na wenzake Dk. Karl Juhlke na Joachim Graf. Huyu Dk. Karl Peters ndiye aliyewaingiza mkenge babu zetu wakati wa kuingia ukoloni wa Ujerumani nchini kwa kuingia katika mikataba ya kilaghai na watawala wetu wa jadi
Mbwela, Chifu wa Wazigua mkoani Tanga, ndiye aliyekuwa mtawala wa jadi wa kwanza kutia saini mkataba na Dk. Karl Peters mwaka 1884.

Nimeikuta hii michuzi blog, inasikitisha sana. Hii ilikuwa 1884 miaka 126 iliyopita karibu karne 1 na robo. Maskini Mbwela alikuwa hajasoma hivyo hata hiyo sahihi sidhani kama ilikuwa ya kwake na hata kama ilikuwa ya kwake katu hakujua anachosaini.

Sisi tumesoma, tumesafiri sana, tunauelewa, Hivyo mwaka 2110 kizazi kijacho kitasemaje kuhusu Loliondo, Buzwagi, Bulyanhulu, Geita, Kahama na Ardhi wanayopewa wageni kwa kisngizio cha Kilimo kwanza? Na chochote watakachosema, kutakuwa na sababu ipi ya kusema vinginevyo?

Tena sisi ardhi yetu tumeikuta, kizazi kijacho wataambulia nini kwani hata hiyo Buzwagi haitakuwa na kitu..........! Uchaguzi mkuu Oktoba 2010.
 
afadhali ujinga wa hao mababu zetu umetuletea reli ya kati kuliko viongozi wanaouza nchi kwa kisingizio cha uwekezaji. mungu ibariki afrika.
 
When Samora Machel signed the Nkomati Accord, I was mad as hell, it reminded me of Karl Peters' so called contracts, which Lobengula ( sp) tried very hard not to sign, but they made him sign anyway. I think the relationship we have with our colonizers is complex. ( I do not condone the current mikataba though)

The thing to remember is wazungu will never sign anything which is not beneficial to them, they have tons of lawyers and accountants who study and restudy these projects and advise them accodingly, so any contract however good it may look to us,benefits them more that it does us.

We will probably be better when true democracy reaches us, when our citizens can say no to a policy and their wishes are respected.

Mungu Ibariki Tanzania.

Tanzania Railways corporation was sold to the Indians and the contract was written by indians, the contract was worse than ever, ATC was sold to our fellow Africans namely South Africans, the agreement was lousy, Loliondo by the Arabs, usiseme what is wrong with us Tanzanians.
 
Lesson learnt
Take heed you who sell your brothers into slavery,:noidea: for history shall outlive you a million year from date of deed.
 
Lakini si wanasema kuwa historia ujirudia!?

X paster watu hutengeneza historia bila wao kujua kuwa miaka kadhaa ijayo watakuwa sehemu ya historia. Ukisema historia inajirudia ndio kusema kuwa wanafanya hivyo makusudi shauri Mbwela alifanya hivyo miaka kadhaa iliyopita? Sidhani ni uzembe wetu tu wa kufikiri ukijumlishwa na tamaa zetu zisizo na ukomo.
 
Ng'ambo ngali asante sana kwa kunikumbusha mbali...kila mtu anapenda maisha yake .kama walimtishia mtutu..hakuwa na ujanja !

Alitishiwa na bunduki wapi? Tamaa tu! Shanga, vioo na vingine vidogovidogo ndo viliwaponza. Hata leo pwani wanapenda shanga kivile sana, ingawa na huku bara wanaiga kuvaa shanga.
 
Ng'ambo ngali asante sana kwa kunikumbusha mbali...kila mtu anapenda maisha yake .kama walimtishia mtutu..hakuwa na ujanja !

Then,Alipewa kioo akajiangalia kwenye kioo akacheka akaona ile reflection nayo inacheka , akanuau na reflection ikanuna jamaa akaona hawa watu wa ajabu sana, akakaa akatafakari wakampa shanga akachanganyikiwa, akamwita wife akaona anapendeza akampa bunduki akajaribu akaona du makabila mengine watanikoma basi hayo tu.

Now: wanapewa tiketi, wanapanda ndege na wake zao, wanaalikwa dinner, wanapewa dola wanaingiza kwenye offshore accounts , wanasaini mkataba bila hata kusoma, wanarudi nyumbani. THE END.
 
Alitishiwa na bunduki wapi? Tamaa tu! Shanga, vioo na vingine vidogovidogo ndo viliwaponza. Hata leo pwani wanapenda shanga kivile sana, ingawa na huku bara wanaiga kuvaa shanga.
Hata mi nilitaka kuuliza hili swali. Hii dhana kwamba alitishiwa inatokea wapi?
 
Then,Alipewa kioo akajiangalia kwenye kioo akacheka akaona ile reflection nayo inacheka , akanuau na reflection ikanuna jamaa akaona hawa watu wa ajabu sana, akakaa akatafakari wakampa shanga akachanganyikiwa, akamwita wife akaona anapendeza akampa bunduki akajaribu akaona du makabila mengine watanikoma basi hayo tu.

Now: wanapewa tiketi, wanapanda ndege na wake zao, wanaalikwa dinner, wanapewa dola wanaingiza kwenye offshore accounts , wanasaini mkataba bila hata kusoma, wanarudi nyumbani. THE END.

Unajua kuna biashara nyingine za zamani eti barter trade ya kioo vs dhahabu..lol

Miafrika bana aaargghh..ilianza kuvurunda kitambo sana.
 
huo mkataba uliotiwa saini unatakiwa uweko kwenye makumbusho yetu ...........jee upo?
 
X paster watu hutengeneza historia bila wao kujua kuwa miaka kadhaa ijayo watakuwa sehemu ya historia. Ukisema historia inajirudia ndio kusema kuwa wanafanya hivyo makusudi shauri Mbwela alifanya hivyo miaka kadhaa iliyopita? Sidhani ni uzembe wetu tu wa kufikiri ukijumlishwa na tamaa zetu zisizo na ukomo.
MKuu Waafrika ubinafsi ndio unaotumalza.
 
"[Carl] Peters' original treaties were particularly dubious. The expedition consisting of Peters and three other young Germans, including Count Joachim von Pfeil, set off with 'in mad haste' from Sadani in November 1884...During a few weeks' safari to Uzigua, Ukaguru and Usagara the conquistadors, who were frequently drunk or ill or both, claimed to have made ten treaties covering an area of 140 000 square kilometres" - Juhani Koponen PhD on Development for Exploitation: German Colonial Policies in Mainland Tanzania, 1884 -1914
 
Mbwela, Chifu wa Wazigua mkoani Tanga, ndiye aliyekuwa mtawala wa jadi wa kwanza kutia saini mkataba na Dk. Karl Peters mwaka 1884.
Wala simshangai huyu Chief Mbwela, ila ninaowashangaa ni hawa wa sasa ambao wanajua kusoma, kuandika, kutumia simu, computer, etc lakini bado wanavurunda
 
"In exchange of for a few shotguns one receives a paper on which some negroes have made their mark by way of signature" - Bismarck - the German Chancellor who convened the Berlin Conference - as quoted in Juhani Koponen's PhD cited above.
 
Back
Top Bottom