aliyeuza nchi kwa Karl Peters 1884, huyu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

aliyeuza nchi kwa Karl Peters 1884, huyu hapa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ngambo Ngali, Jun 14, 2010.

 1. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Dk. Karl Peters (kati) akiwa na wenzake Dk. Karl Juhlke na Joachim Graf. Huyu Dk. Karl Peters ndiye aliyewaingiza mkenge babu zetu wakati wa kuingia ukoloni wa Ujerumani nchini kwa kuingia katika mikataba ya kilaghai na watawala wetu wa jadi

  [​IMG]

  Mbwela, Chifu wa Wazigua mkoani Tanga, ndiye aliyekuwa mtawala wa jadi wa kwanza kutia saini mkataba na Dk. Karl Peters mwaka 1884.

  Nimeikuta hii michuzi blog, inasikitisha sana. Hii ilikuwa 1884 miaka 126 iliyopita karibu karne 1 na robo. Maskini Mbwela alikuwa hajasoma hivyo hata hiyo sahihi sidhani kama ilikuwa ya kwake na hata kama ilikuwa ya kwake katu hakujua anachosaini.


  Sisi tumesoma, tumesafiri sana, tunauelewa, Hivyo mwaka 2110 kizazi kijacho kitasemaje kuhusu Loliondo, Buzwagi, Bulyanhulu, Geita, Kahama na Ardhi wanayopewa wageni kwa kisngizio cha Kilimo kwanza? Na chochote watakachosema, kutakuwa na sababu ipi ya kusema vinginevyo?
   
 2. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2010
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Are you mad, if someone puts a gun to your head (by directly doing it or giving guns to your enemies, utakataa wakumalize).. Hii mikataba ilikua null and void by the fact that the chiefs did not understand the legal basis of the agreements and thus just rubberstamped things that they did not even understand. Dr. Peters, (I'm so glad the worms have already eaten his brain..the mofo..) was a tyrant and he defiled our native women in Kilimanjaro and other places. He killed Africans like dogs and raped our grandmothers, in Germany he was demoted from the position of Reich Commissioner after it was discovered that he is a sadistic mean and inhumane person. His title and pension was reinstated by the Kaiser and later Hitler..

  Karl Peters - Wikipedia, the free encyclopedia

  Someone should exhume his body and feed it to the pigs.
   
 3. e

  eddy JF-Expert Member

  #3
  Jun 15, 2010
  Joined: Dec 26, 2007
  Messages: 9,381
  Likes Received: 3,775
  Trophy Points: 280
  Kwani huo mkataba uko wapi? mwenye nakala atuwekee hapa!
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Jun 15, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Kumbe tradition ya kusign mikataba mibovu ni ya siku nyingi sana hapa TZ!
   
 5. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #5
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Hata utakuwepo hautosaidia kitu chochote yameshapita hayo yamepita tugange yajayo tuangalie matatizo yetu sisi wenyewe na tujuwe namna ya kuyatatuwa waliofanya makosa ni mababu zetu tuwasamehe tujiangalie sisi tunaosema kuwa tumesoma je kisomo chetu kinatusaidia* au Uongo mtupu Dhambi aliotenda Adamu na hawa ni makosa yao wenyewe sio sisi jamani
   
 6. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #6
  Jun 15, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nguli na wenzako asanteni kunichekesha sana...
  Watanzania si tunapenda sana kufuata traditions?
   
 7. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #7
  Jun 15, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Si haki kumlaumu sana Chifu Mbwela kwasababu kwanza alikuwa hajui kwanini hao wazungu walikwenda katika nchi anayoiongoza. alikuwa hajui ulimwengu huu ukoje, pia alidanganywa na zawadi walizompa kabla ya kuingia mkataba huo. kumbuka pia umesema alikuwa hajui kusoma.

  The great shame is here: Viongozi wetu sisi wanajua kusoma. Wanajua historia ya ubepari na ukabaila na namna ukoloni ulivyoingia Afrika. Haitoshi wamezaliwa katika kipindi cha ukoloni na wengine wao waliona madhara ya ukoloni. Sasa anapokuja kusaini mikataba kwa mapato ya kitoto hapo ndipo ninapowaona wakina mangungo wa Msovero na Mbwela wa Uzigua kuwa ni bora mbali sana kuliko hawa. Ni UPUMBAFU kwa "rahisi", waziri mkubwa sana na waziri kwenda Londoni kusaini mkataba katika hoteli aka Guest house kubwa ili kuiuza Buzwagi. Halafu wanatudanya eti ilikiuwa ni bahati tu waligongana kwani waziri mkubwa sana alikwenda shopping tu katika mji huo.

  Shame on you, poor leaders of Tanzania!!!!

  Shame kumpa ardhi yenye madini Sinclair,kutoa samaki wetu kwa wachina na wafilipino, kutoa reli yetu kwa wahindi, n.k
  Shame kwa kuuza nchi kwa Bush na waarabu.
   
 8. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #8
  Jun 15, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Hapana mama. Si sahihi kuwa tunapenda kufuta traditions za kipuuzi. Ndiyo maana katika tamaduni zetu kuna usemi usemao "Ukupigia ndio ukufunzao". Ilitusha darasa la wakina Mangungo na Mbwela. Ni upumbavu kuyarudia yale tukifikiri twaweza kumbatia maji ama kwa kumkumbatia nyuki hatutapata madhara.
   
 9. Mnyamahodzo

  Mnyamahodzo JF-Expert Member

  #9
  Jun 15, 2010
  Joined: May 23, 2008
  Messages: 1,854
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Mkwawa hakusaini.
  Kimweri hakusaini.
   
 10. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #10
  Jun 15, 2010
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,576
  Likes Received: 18,547
  Trophy Points: 280
  .
  Ngambo Ngali, sina na tatizo na whoever aliyetia sahihi mkataba na Karl Peters, kumbukumbu yangu ya historia ya darasa la Nne, inamtaja aliyeingia mkataba na Karl Peters ni Chifu Mangungo.

  Hata ukiangalia hizo picha, picha ya Karl Peters ni ya kuchorwa, work of art, miaka hiyo ya 1884, photografy ilikuwa bado kufika Afrika, lakini hii picha ya Chifu Mbwela ni photograph, picha halisi ya kupigwa na still camera, hii ni kuthibitisha ni picha ya karne ya 19, yaani miaka ya kuanzia 1900.
   
 11. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #11
  Jun 15, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Katu hakuwekewa bunduki kichwani. Alihongwa shanga za kuvaa viunoni. Nchi hii iliuzwa kwa shanga za viunoni!!!
   
 12. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #12
  Jun 15, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Mbona machifu wengine hawakusaini mikataba na wajerumani? Kusaini kwao kulitokana na tamaa ya vitu vidogovidogo shanga, vioo, sabuni wakaona wameula na wakawapa sehemu za chiefdoms zao, the rest is history kwani ukoloni ndipo ulipoanza
   
 13. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #13
  Jun 15, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Ukiupata itakusaidia nini tayari tumetawaliwa babu zetu wamepigana na wamekufa sana au unataka kufungua kesi dhidi ya serikali ya ujeremani kwa kuua babu na bibi zetu? Kuna principle ya compensation ambayo wamarekani weusi wamekuwa wakilipwa kwa vitendo vya utumwa walivyofanyiwa ndugu zao. Yanayolipa na makampuni makubwa yalijihusisha na biashara ya utumwa. Nikikumbuka nitakutajia hiyo principle.
   
 14. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  like great great great great great great great great great great great great great great great great great great grandfather like son
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Ng'ambo ngali asante sana kwa kunikumbusha mbali...kila mtu anapenda maisha yake .kama walimtishia mtutu..hakuwa na ujanja !
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Ndio...hata kupiga kura ni mkataba na wewe na mimi tunaipigia CCM...NGOMA DROO
   
 17. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #17
  Jun 15, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,196
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 160
  Nawalaumu wanaouza nchi yetu sasa wao wamesoma lakini bado wanauza nchi yetu, hao ndio wa kulaumu
   
 18. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #18
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Mkataba mbovu kuliko yote ni wa kupiga kura......kila baada ya miaka 5 Watanzania kwa mamilioni Tunasaini....hiyo ya Buzwagi et al ni Sub contracts tu.....
   
 19. Fredwash

  Fredwash JF-Expert Member

  #19
  Jun 15, 2010
  Joined: Oct 27, 2009
  Messages: 593
  Likes Received: 159
  Trophy Points: 60

  Mi situpi lawama zote kwa hawa mababu zetu...at least they might have smthing to justfy themselves kama mfano wangekuwepo...Elimu na ufahamu wao ulikuwa mdogo sana...na wazungu walitumia hiyo hiyo ignorance yao kutuumiza.... SWALI JE hawa mafisadi wa sasa wanaotumia elimu na utashi wao kwa maslahi ya wenyewe na familia zao...bila kujali jamii...wanaiuza nchi mchana kweupe... tena ukijaribu kuhoji unakumbana na mabalaaa.... mara sio raia... mara hulipi kodi....
   
 20. L

  Lunanilo JF-Expert Member

  #20
  Jun 15, 2010
  Joined: Feb 15, 2008
  Messages: 370
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Read the fine line. Always
   
Loading...