Uchaguzi 2020 Aliyetunyima ajira nasi tumnyime ajira, aliyetutumbua nasi tumtumbue, aliyekataa kongeza mshahara nasi tusimwongezee

Trust None

JF-Expert Member
Feb 12, 2018
1,235
2,000
Ndugu zangu, bado wiki moja tu ya kufanya maamzi sahihi kwa yule aliyekuwa anatuona watu wa kawaida.

Kimsingi sisi ni watu wa juu na tutabakia juu kileleni.

- Alitutumbua nasi twendeni tumtumbue
- Alitunyima ajira nasi twendeni tumnyime ajira
- Alikataa kutuongezea mishahara nasi tusimwongezee, mshahara wa mwezi huu uwe wa mwisho
- Maisha yamekuwa magumu mtaani nasi tumrudishe mtaani akajionee alichotufanyia.

TUNAMKUMBUSHA KUWA AHADI NI DENI, kashindwa kulipa basi tumpuzishe tarehe 28/10/2020.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom