Aliyetoka Advance anasoma Diploma level kwa miaka mingapi?

kachy

Senior Member
Jul 11, 2021
138
69
Habarini wana jamvii,

Naomba kuuliza HV m2 alietoka form 6 kombi za sayansi akahitaji kwenda kupiga kozi za afya Kama pharmacy, Clinical Officer, nae atasoma miaka 3 au 2?

Maana nimesikia sikia kua waliopita. Advance wanasoma miaka2 je nii kweli?

Naombeniii msaada wenuu mdogo wetuu hukuu yupo dilemma.
 
Habarini wana jamvii naomba kuuliza HV m2 alietoka form 6 kombi za sayans akahitaji kwenda kupiga kozi za afya Kama pharmacy l,clinical officer, nae atasoma miaka 3 au2 maan nimesikia sikia kua waliopita. Advance wanasoma miaka2 je nii kweli...?naombeniii msaada wenuu mdogo wetuu hukuu yupo k
programs zote za afya diploma husomwa kwa miaka mitatu, haijalishi ni form four au six
 
Habarini wana jamvii naomba kuuliza HV m2 alietoka form 6 kombi za sayans akahitaji kwenda kupiga kozi za afya Kama pharmacy l,clinical officer, nae atasoma miaka 3 au2 maan nimesikia sikia kua waliopita. Advance wanasoma miaka2 je nii kweli...?naombeniii msaada wenuu mdogo wetuu hukuu yupo dilemma
Swali zuri sana, Nina ndugu yangu ameenda kuomba diploma ya afya akiwa na division 2 ya 11. Lakini wamemkatalia na kusema kwa ufaulu wake, hawezi kuomba diploma na wakati ameshinda SASA sijui izi Ratiba zimebadirika kwa mwaka huuu, au Ndio dogo katupiga sounds sijui
 
Yaani hapo lazima apige certificate 2yr then anamalizia diploma one yr
 
Swali zuri sana, Nina ndugu yangu ameenda kuomba diploma ya afya akiwa na division 2 ya 11. Lakini wamemkatalia na kusema kwa ufaulu wake, hawezi kuomba diploma na wakati ameshinda SASA sijui izi Ratiba zimebadirika kwa mwaka huuu, au Ndio dogo katupiga sounds sijui
Amewafunga kamba, kwanza maombi ya Diploma huwa hayahitaji cheti cha VI ila ni cheti cha IV
 
Inategemeana na u 'serious' wako.. kwa kawaida kozi hizo ulizitaja hapo juu kwenye bandiko lako ni miaka mitatu, lakini ukileta mchezo na chuo unaweza kusoma kwa miaka hata mitano. Kwa bahati mbaya hata ku 'disco' kabisa.

Ushauri wa bure ukifika chuo piga kitabu mambo ya sketi, ku 'bet' ,na kampani za ovyo achana navyo.
 
Sawa bro ushauri mzuri ntauzingatia
 
Swali zuri sana, Nina ndugu yangu ameenda kuomba diploma ya afya akiwa na division 2 ya 11. Lakini wamemkatalia na kusema kwa ufaulu wake, hawezi kuomba diploma na wakati ameshinda SASA sijui izi Ratiba zimebadirika kwa mwaka huuu, au Ndio dogo katupiga sounds sijui
Huyo kawapiga sound tu. Hata uwe na I ya 3, ukienda diploma hamna atakayekukataza et kisa umefaulu sana advance. Na diploma yanaangaliwa matokeo ya Form four tu.
 
Nabishana na chizi
Naona kuna shida sana kwa wanafunzi wa sasa hivi. Wengi wanasoma soma tu hawaelewi chochote. Mtu anafika mpaka form four hata combination hajui ni nini, yaani wanafunzi na utaratibu wa elimu hawaufahamu kabisa. Sijui tatizo lipo wapi siku hizi.
Kama huyo unaweza kuta ni mwanafunzi, na hajui vigezo vipi vyahitajika uingie diploma. Kazi kweli kweli.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom