Aliyetishia kumuua Trump mitandaoni aonja joto la jiwe

Bila shaka hajasoma mkuu, yeye alivyoona tu hiyo heading akakimbilia kusema anamuiga Magufuli.

Wenzetu huwa hawachukulii serious sana vitisho vya mitandaoni wanajua ni mihemko tu, tofauti na hapa kwetu huyo jamaa sasahivi angekuwa pamoja na Lema.
Kakuambia nani??! kwanza jiulize kwa nini wao wamemfata kwake?? Na sio kumuita na kumuhoji..kitendo cha kwenda kwake kwanza ni kujiridhisha..hapo walikuwa wanaongea nae sitting room lakini walikuwa wanaona hadi alichoweka kwenye begi chumbani..pili huyo mtoto kwa sasa yupo chini ya uangalizi bila yeye kujijua..marekani huwa haicheck na hao watu hata kidogo..ndio maana pamoja na aina zote za ulinzi walio nao wangeweza kupuuza tu na kumuacha..ila wamemtafuta hadi kwake..hapo kazi ndio imeanza
 
Yule kijana wa Egypt aliyemtishia naye washamtembelea huko kwao wakamuuliza kwanini aliandika vile?
 
Kakuambia nani??! kwanza jiulize kwa nini wao wamemfata kwake?? Na sio kumuita na kumuhoji..kitendo cha kwenda kwake kwanza ni kujiridhisha..hapo walikuwa wanaongea nae sitting room lakini walikuwa wanaona hadi alichoweka kwenye begi chumbani..pili huyo mtoto kwa sasa yupo chini ya uangalizi bila yeye kujijua..marekani huwa haicheck na hao watu hata kidogo..ndio maana pamoja na aina zote za ulinzi walio nao wangeweza kupuuza tu na kumuacha..ila wamemtafuta hadi kwake..hapo kazi ndio imeanza

Na ndio maana nikaandika kuwa hawako serious sana na ndio maana wamemuacha baada ya kuwaambia kuwa ulikuwa ni utani.

Wangekuwa wako serious sidhani kama wangemuacha na kumuelewa anavyosema kuwa ni utani.
 
Back
Top Bottom