Aliyetakiwa kuwa Rais wa Tanzania

Salimu alitakiwa awe rais wa pemba.
Namshauri arudi kwao iraq akagombee ufalme.
ER

hatred comments........kama walizotumia wanamtandao.....

..alfu utakuta ulifurahia obama kuwa rais marekani..hukujiuliza kuwa kwa nini hawakumuambia akagombeee kogelo.,KISUMU???

HATERS ..no wounder nchi imewashinda!
 
Mimi naona kwa ccm hakuna hata mmoja anaefaa kuwa Rais,sasa sijui haya mawazo yangu ni sawa. hata Rais wetu mtarajiwa kwa upande wa znz Maalim seif akigombea kwa upande wa ccm,sitomkubali kabisa. yaani ccm wakieka mgombea na upinzani ukaweka jiwe basi mimi nitapigia jiwe...

CCM pamoja na uozo wake, unaosababishwa na mafisadi wachache na vibarala wao, wana watu wengi sana wanaofaa kwa urais, ila hawapewi nafasi au wanawekewa mizengwe, kama ilivyotokea kwa Dk Salim. Pengine wakati umefika sasa wa wananchi wenyewe kufikiria nani anafaa kwa urais bila kujali anatoka chama gani. Awe na sifa tunazozikubali, kubwa ikiwa ni UADILIFU na VISION. Awe mtu ambaye anatambua matatizo yanayolikabili taifa letu na yaliyotufanya tuendelee kuwa masikini ingawa tumezungukwa na utajiri mwingi. Kisha awe na mikakati ya kuinasua nchi kutoka kwenye dimbwi hili la umaskini.
 
Mizengwe aliyofanyiwa Dr Salim na wanamtandao dhambi yao inawarudia wenyewe kwa wenyewe sasa wanageukana.baada ya E.L na R.A sasa ngoma iko kwa Mr 6
 
IMG_3225.jpg

huyu si ni zito...?
 
Wengi walipenda na wangependa huyu jamaa awe Rais. Uwezo anao, na is influencial and very experienced learder! Hivi wewe hujui kwa nini hakuwa Rais? Muulize privately FM-Es; hii ilishakuwa discussed before na veterans hapa.

In short, he is not "African Enough"; and most people I spoke to them and at the top had sentiments that way.

Dr. Salim needed a factor which Mr. Clean had in the campaign; Mr. Nyerere was the factor (if Nyerere had lived to 2005).

Mkuu siyo African Enough! He is not black enough!!!
 
mkuu kimbunga ...kwani creterias za kuwa rais Tanzania lazima uwe BLACK...?

Mkuu siyo maneno yangu hayo. Ni maneno yaliyotolewa na wikileaks na yalikuwemo humu JF na watu wakajadili kwa kina. Nimefanya nukuu tu Mkuu labda hukuipitia hiyo mada. Ngoja niitafute niiweke hapa iwe rejea kwako.
 
sawa nimekusoma .. mkuu..
 
Salim hafai kwa sababu hana guts wala ambition ya kuwa rais, pia kashapata nafasi hajafanya lolote spectacular.

Kwenye intellectual factor anaweza kumshinda mtu kama Kikwete lakini intellectuallism is overrated, na possibly hiyo intellectuallism ndiyo inayo mu undermine. Siasa zake ziko hands off sana na hayuko aggressive enough.

Wanaojulikana hawafai, wanaofaa hawajulikani.
 
Wengi walipenda na wangependa huyu jamaa awe Rais. Uwezo anao, na is influencial and very experienced learder! Hivi wewe hujui kwa nini hakuwa Rais? Muulize privately FM-Es; hii ilishakuwa discussed before na veterans hapa.

In short, he is not "African Enough"; and most people I spoke to them and at the top had sentiments that way.

Dr. Salim needed a factor which Mr. Clean had in the campaign; Mr. Nyerere was the factor (if Nyerere had lived to 2005).

what do you mean he is not African enough...his mind or skin?
 
Salim hafai kwa sababu hana guts wala ambition ya kuwa rais, pia kashapata nafasi hajafanya lolote spectacular.

Kwenye intellectual factor anaweza kumshinda mtu kama Kikwete lakini intellectuallism is overrated, na possibly hiyo intellectuallism ndiyo inayo mu undermine. Siasa zake ziko hands off sana na hayuko aggressive enough.

Wanaojulikana hawafai, wanaofaa hawajulikani.
Salim alifaa
 
Mwalimu alimuandaa, ila Mkapa akatishwa tishwa na CCM ya vijana akagwaya kumwachia kijiti. Ni mwanamapinduzi wa ukweli kwa sisi tuliosoma Cuba tunalitambua hilo.
 
Back
Top Bottom