Aliyetakiwa kuwa Rais wa Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Aliyetakiwa kuwa Rais wa Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sungi, Aug 29, 2009.

 1. Sungi

  Sungi Senior Member

  #1
  Aug 29, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  [​IMG]

  Dr. Salim Ahmed Salim (kushoto).
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  alitakiwa na nani? kwa vipi?
   
 3. Sungi

  Sungi Senior Member

  #3
  Aug 29, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Muunganishi (yupo pichani na Kabwe, an opposition party leader), experienced, non-partisan, love for country ... and brought respect to our country ... Dr. Salim A. Salim a recognized name who brought recognisition to the country he is from. Kwa kifupi ni mimi nafikiri angetakiwa kuwa Rais wa nchi yangu Tanzania ... so sad he will "probably not" be my president.
   
  Last edited: Aug 29, 2009
 4. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #4
  Aug 29, 2009
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,399
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Wengi walipenda na wangependa huyu jamaa awe Rais. Uwezo anao, na is influencial and very experienced learder! Hivi wewe hujui kwa nini hakuwa Rais? Muulize privately FM-Es; hii ilishakuwa discussed before na veterans hapa.

  In short, he is not "African Enough"; and most people I spoke to them and at the top had sentiments that way.

  Dr. Salim needed a factor which Mr. Clean had in the campaign; Mr. Nyerere was the factor (if Nyerere had lived to 2005).
   
 5. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #5
  Aug 29, 2009
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,458
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  anafaa sana kama atapewa pemba na sio awe wa muungano
   
 6. Chimo

  Chimo JF-Expert Member

  #6
  Aug 29, 2009
  Joined: Aug 31, 2008
  Messages: 668
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 60
  Sio Lazima Uchangie kama huna HOJA Kaka!
  Unaweza ukakaa kimya ujifunze nidhamu ya utoaji maoni Kitu kidogo Mnaanza Ubaradhuli hayo ya Pemba yametokea wapi? ndio maana Koffi anan alitudharau sasa nimeshagunduwa
   
 7. B

  ByaseL JF-Expert Member

  #7
  Aug 29, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 2,223
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mkuu kuna mtu mmoja (now retired) very senior alinidokeza kwamba baada ya Salim kukosa urais 1985 kwa Ali Hassan Mwinyi, hayati Nyerere alimtaka Salim arudi toka OAU agombee kwenye kinyanganyiro cha 1995 lakini Salim akasita ndio maana Mwalimu akambeba "Mr. Clean". Ni kweli 2005 bila Nyerere factor Salim asingefua dafu. Kumbuka kura karibu zote alizopata kwenye mchakato wa CCM 2005 inasemekana zilitoka Bara. Visiwani bado wanafikiri Salim ni msaliti wa Mapinduzi ya 1964!
   
 8. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #8
  Aug 29, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  upo 100%
   
 9. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #9
  Aug 29, 2009
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Bora nikae kimya tu. Duh!
   
 10. C

  Calipso JF-Expert Member

  #10
  Aug 29, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 284
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Mimi naona kwa ccm hakuna hata mmoja anaefaa kuwa Rais,sasa sijui haya mawazo yangu ni sawa. hata Rais wetu mtarajiwa kwa upande wa znz Maalim seif akigombea kwa upande wa ccm,sitomkubali kabisa. yaani ccm wakieka mgombea na upinzani ukaweka jiwe basi mimi nitapigia jiwe...
   
 11. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #11
  Aug 29, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  CCM imekwisha na haina dira kiuongozi ,hata akitokea bilisi kuwaonyesha njia abora bado wao watafikiria ni vipi watakwiba ,hivi sasa viongoiz wa CCM wanafikiria ni vipi watazidi kujiimarisha kimaslahi kuliko kuongoza binadamu,hapa tulipo tu kama utachunguza kuanzia Raisi aliyepo madarakani na waliopita kila mmoja utaona ana kamradi ambacho si cha kawaida mbali ya mikataba isiyofungamana na serikali ambayo huwa wanapokea posho au kwa kiMisri wanaita bakhshishi ya mamilioni ya fedha za kimarekani.Hivyo tusiweke tamaa ya maisha bora wala maisha rahisi ,njia ni moja tu kubadili Katiba ya Nchi ili tuweze kujiondoa katika matope haya ya CCM.
   
 12. C

  Choveki JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2009
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 448
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Nikumbukavyo mimi ni kuwa alikosa u katibu mkuu UN kwa sababu alikuwa mwafrika na pia Mtz!, sasa tena inaelekea alikosa u rais wa Tz kwa sababu hakuwa mwafrika kamili!, Ama kweli duniani kuna mambo!
   
 13. J

  JokaKuu Platinum Member

  #13
  Aug 30, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  ..Salim Salim alikataa kuwa Makamu wa Raisi wa Mkapa baada ya kifo cha Dr.Omar Ali Juma.
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  ukisikia uzushi ndo huo,,,,,,,unaweza thibitisha hapa?
   
 15. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  All i know SALIM ni mwandishi mzuri sana wa DIARY hivyo I am patiently waiting for his MEMOIRS
   
 16. J

  JokaKuu Platinum Member

  #16
  Aug 30, 2009
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,730
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Game Theory,

  ..kuna sehemu nilisoma mahojiano ya Salim Salim and he ruled out the possibility of writting a memoir.
   
 17. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2009
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Mimi nilikuwa kati ya watu waliompinga sana Salim. Nilikutana na Wa Ethiopia miaka michache iliyopita wakanieleza ni jinsi gani Salim alivyokuwa anabagua watu weusi na kupendelea watu wenye asili ya kiarabu, mimi sikuamini na kufuatilia nikagundua ni kweli wafanyakazi wa OAU walisha lalamikia hili swala. Pili sikuona kama Salim angeleta jipya kwa OAU haikufanya kitu na Salim alikuwa kwenye serekali kuanzia miaka 19 niliona hajui uchungu wa Mtanzania wa kawaida kwani amekuwa kwenye uongozi karibu maisha yake yote. Mimi nilikuwa napendelea mfanyabiashara awe raisi.
   
 18. Buricheka

  Buricheka Member

  #18
  Aug 30, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa kweli sioni cha ajabu kwa Salim kuombwa na Mkapa awe VP na kukataa... uthibitisho unaodai sijui ulitaka amlete Mkapa na Salim hapa watoe ushuhuda?
   
 19. Ndumbayeye

  Ndumbayeye JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2009
  Joined: Jan 31, 2009
  Messages: 4,784
  Likes Received: 1,038
  Trophy Points: 280
  rostam au lowassa?
   
 20. P

  Phillemon Mikael JF Gold Member

  #20
  Aug 30, 2009
  Joined: Nov 5, 2006
  Messages: 8,850
  Likes Received: 2,425
  Trophy Points: 280
   
Loading...