Aliyetabiri ACT-Wazalendo kuchukua nchi, alikuwa sahihi

Zawadi Ngoda

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
3,783
1,822
Takribani miaka 3 iliyopita nilipitia Thread moja ambayo mwandishi alitabiri kuwa ACT- Wazalendo kitakuwa chama kikubwa cha upinzani na hatimaye kuwa chama cha kwanza nchini Tanzania kuitoa CCM madarakani huko mbeleni. Nilimuona mwendawazimu, na sikukubaliana naye. Leo namuona aliona mbali sana, nami binafsi namuunga mkono.

Baada ya Maalim na wafuasi wake kujiunga ACT- Wazalendo, imekifanya chama hicho kuwa na mvuto wa pekee katika pande zote za Tanzania mpaka msajili na chama tawala hawalali usingizi. Wanasababu ya kufanya hivyo kwani sasahivi ni uhalisia kuwa chama hicho kipo karibu sana kuwa kimbilio la Watanzania.

ACT- Wazalendo watachukua dola 2025 kwa sababu zifuatazo:
  • Chama kimejikita katika utatuzi wa matatizo ya nchi yetu kuliko propaganda.
  • Chama kimeingiza nguvu mpya (sunami) toka CUF, ambao ni timu makini katika mapambano (wasionunulika)
  • Idiolijia ya chama ni madhubuti, inayolenga kutatua matatizo ya watanzania wote.
  • Chama kinarekodi nzuri ya matumizi ya fedha zake kutokana na ukaguzi wa CAG, toka kisajiliwe.
  • Chama hakina migogoro, kutokana na kuwa na viongozi dhabiti
  • Chama hakijaundwa katika misingi ya kikanda hivyo kuwasilisha watanzania wote.
  • Chama kina kiongozi kijana mwenye mtazamo chanya kwa vijana
  • Bendera ya chama ina rangi ya purple ambaye ni rangi pendwa kwa wanawake, hivyo akina dada wengi watavutiwa na rangi hiyo na kujiunga nacho.
  • Ni chama kisicho na papara wala mihemko pale matatizo inapokikabili
  • Viongozi wake hueleza mambo magumu kwa lugha nyepesi na ya kueleweka kwa watanzania wote hata wenye shule hafifu.
Haluta kontinua- mpaka kieleweke- CCM nje 2025.
 
1.Chama kina kiongozi kijana. Huyo kijana hazeeki?.

2. Matumizi ya Fedha ni swala la Muda tu. Kinavyozidi kua kikubwa ndipo makosa yataanza kujitokeza. Nk

3. Chama hakijaundwa kwa Misingi ya Kikanda?.

Ehee. Maalim Seif yupo pale kwasababu anataka Zanzibar Huru.

4. Timu makini kutoka CUF?. Real

Umakini upi?. Mbona walisahahu k umfuta uanachama Lipumpa. Akarudi kuwapindua na mahakamani akawashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo Haluta ni Aluta
 
hpo bado ni ndoto, mi kwa umakini katika hivi vyama naiona CDM, tuache unafiki, hicho chama bado sana, ni one mans part sasa kimekuwa cha wawili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takribani miaka 3 iliyopita nilipitia Thread moja ambayo mwandishi alitabiri kuwa ACT- Wazalendo kitakuwa chama kikubwa cha upinzani na hatimaye kuwa chama cha kwanza nchini Tanzania kuitoa CCM madarakani huko mbeleni. Nilimuona mwendawazimu, na sikukubaliana naye. Leo namuona aliona mbali sana, nami binafsi namuunga mkono.

Baada ya Maalim na wafuasi wake kujiunga ACT- Wazalendo, imekifanya chama hicho kuwa na mvuto wa pekee katika pande zote za Tanzania mpaka msajili na chama tawala hawalali usingizi. Wanasababu ya kufanya hivyo kwani sasahivi ni uhalisia kuwa chama hicho kipo karibu sana kuwa kimbilio la Watanzania.

ACT- Wazalendo watachukua dola 2025 kwa sababu zifuatazo:
  • Chama kimejikita katika utatuzi wa matatizo ya nchi yetu kuliko propaganda.
  • Chama kimeingiza nguvu mpya (sunami) toka CUF, ambao ni timu makini katika mapambano (wasionunulika)
  • Idiolijia ya chama ni madhubuti, inayolenga kutatua matatizo ya watanzania wote.
  • Chama kinarekodi nzuri ya matumizi ya fedha zake kutokana na ukaguzi wa CAG, toka kisajiliwe.
  • Chama hakina migogoro, kutokana na kuwa na viongozi dhabiti
  • Chama hakijaundwa katika misingi ya kikanda hivyo kuwasilisha watanzania wote.
  • Chama kina kiongozi kijana mwenye mtazamo chanya kwa vijana
  • Bendera ya chama ina rangi ya purple ambaye ni rangi pendwa kwa wanawake, hivyo akina dada wengi watavutiwa na rangi hiyo na kujiunga nacho.
  • Ni chama kisicho na papara wala mihemko pale matatizo inapokikabili
  • Viongozi wake hueleza mambo magumu kwa lugha nyepesi na ya kueleweka kwa watanzania wote hata wenye shule hafifu.
Haluta kontinua- mpaka kieleweke- CCM nje 2025.
Usisahau pia Chama kimemsahau Prof nyuma
 
Wewe bado unaamini katika ujamaa au uhuru wa soko?
 
Zamani nilikua najua mtu akibold maandishi then kaweka msisitizo wa point zake hapo, ukweli hapo kwenye bold kuna pumba nyingi na point za msingi pia, umezichanganya zote. Anyway, ni Imani yako au mtazamo wako pia, hatuwezi kua sawa kimtazamo
 
Kuna point moja inasema kua ACT wanatumia rangi ya purple na wanawake wanaipenda hio rangi kwa hio wataamia ....nimechekaaaa mpaka machozi yametoka aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe pmja na huyo aliyetabir mko kundi moja, kma fact yako kubwa ina base kwa Maalim Seif, pole sana, kma ana mvuto huo hata chadema mwaka jana urais ungekuwa wao, au mbna yeye hadi sasa ni miaka 20 hajawa rais, naiona chadema kikiwa cha cha kwanza kutoa rais huko mbeleni na si ACT. zunguka mikoani ndo utajua si cha kubeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema tatizo ni Mwenyekiti wake kukosa Dira . Mbowe huwezi kumweka meza moja na Zito kuelezea sera zenye kujenga Taifa.

Chadema hakina watu makini wanye kujua namna ya kucheza na akili za watanzania .
Nimesikiliza majibu yao kuhusu ripoti ya CAG nikachoka kabisa.
Chadema ni wabovu kuliko CCM ya zamani kabisa achilia hii ya Magufuli ambayo inaweza kumfanya chochote tajiri.

Hivi kubadili umiliki wa gari kuna hitaji hata sh. 100000/-? Gari ya chama kama wameshaichukua kwa mwanachama palikua na sababu gani ya Kuendelea kutumia jina lake wakati wanaitumia?

Wanalipiaje bima ya gari kwa nina la mtu asiyelitumia ? Hawaoni kuwa huo ni udanganyifu na ubabaishaji mkubwa?
Utetezi wao unaonyesha kuwa kuna ombwe kubwa sana la uongozi ndani ya Chadema .

Watu wapo pale chadema kwa ajili ya kulinda Ubunge wao, Udiwani na umeya wao lakini Chadema 2020 kikikosa wabunge kama inavyotabiriwa Chini ya mamluki Mbooweee kitakimbiwa na viongozi wote wenye mtizamo mkubwa na watajiunga na ACT.

Nusura ya Chadema ilikua ni kumbwaga Mbowe siku ile ile aliyoondoka Lowassa . Aondoke na gia zake za angani.

Chadema iungane tu na ACT ili wajenge vyama vyao huko vijijini lakini Mbowe akiendelea kuwaza kuwa chadema itaingia ikulu atafeli vibaya.
Wawaze udiwani kwa wingi na Ubunge nusu ya Bunge hapo hata wananchi tutawaunga mkono.
Suala la kungia Ikulu Mh. John Joseph Pombe Magufuli anatosha kabisa mpaka 2025.
Wapinzani hawajajipanga bado kuingia Ikulu mana hata wenyeviti wao ni waroho na wababaishaji kama Lipumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Takribani miaka 3 iliyopita nilipitia Thread moja ambayo mwandishi alitabiri kuwa ACT- Wazalendo kitakuwa chama kikubwa cha upinzani na hatimaye kuwa chama cha kwanza nchini Tanzania kuitoa CCM madarakani huko mbeleni. Nilimuona mwendawazimu, na sikukubaliana naye. Leo namuona aliona mbali sana, nami binafsi namuunga mkono.

Baada ya Maalim na wafuasi wake kujiunga ACT- Wazalendo, imekifanya chama hicho kuwa na mvuto wa pekee katika pande zote za Tanzania mpaka msajili na chama tawala hawalali usingizi. Wanasababu ya kufanya hivyo kwani sasahivi ni uhalisia kuwa chama hicho kipo karibu sana kuwa kimbilio la Watanzania.

ACT- Wazalendo watachukua dola 2025 kwa sababu zifuatazo:
  • Chama kimejikita katika utatuzi wa matatizo ya nchi yetu kuliko propaganda.
  • Chama kimeingiza nguvu mpya (sunami) toka CUF, ambao ni timu makini katika mapambano (wasionunulika)
  • Idiolijia ya chama ni madhubuti, inayolenga kutatua matatizo ya watanzania wote.
  • Chama kinarekodi nzuri ya matumizi ya fedha zake kutokana na ukaguzi wa CAG, toka kisajiliwe.
  • Chama hakina migogoro, kutokana na kuwa na viongozi dhabiti
  • Chama hakijaundwa katika misingi ya kikanda hivyo kuwasilisha watanzania wote.
  • Chama kina kiongozi kijana mwenye mtazamo chanya kwa vijana
  • Bendera ya chama ina rangi ya purple ambaye ni rangi pendwa kwa wanawake, hivyo akina dada wengi watavutiwa na rangi hiyo na kujiunga nacho.
  • Ni chama kisicho na papara wala mihemko pale matatizo inapokikabili
  • Viongozi wake hueleza mambo magumu kwa lugha nyepesi na ya kueleweka kwa watanzania wote hata wenye shule hafifu.
Haluta kontinua- mpaka kieleweke- CCM nje 2025.
ACT WAZALENDO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1.Chama kina kiongozi kijana. Huyo kijana hazeeki?.

2. Matumizi ya Fedha ni swala la Muda tu. Kinavyozidi kua kikubwa ndipo makosa yataanza kujitokeza. Nk

3. Chama hakijaundwa kwa Misingi ya Kikanda?.

Ehee. Maalim Seif yupo pale kwasababu anataka Zanzibar Huru.

4. Timu makini kutoka CUF?. Real

Umakini upi?. Mbona walisahahu k umfuta uanachama Lipumpa. Akarudi kuwapindua na mahakamani akawashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana haujui hata kupangua hoja kisomi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom