Aliyetabiri ACT-Wazalendo kuchukua nchi, alikuwa sahihi

Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2016
Messages
18,367
Points
2,000
Magonjwa Mtambuka

Magonjwa Mtambuka

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2016
18,367 2,000
Chadema kwisha kazi yao.
 
T

The Elephant

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2014
Messages
3,228
Points
2,000
T

The Elephant

JF-Expert Member
Joined Dec 18, 2014
3,228 2,000
Kama kafu ilishindwa kuchukua nchi visiwani na chadema ilishindwa kuchukua nchi bara, basi tusubiri miaka mingine 50 ili kupata upinzani mwingine siriazi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Al Bashiri wa Sudani na Yule wa Algeria walikuwa na mawazo kama yako! Hata Kagame na Museveni wanawaza kama wewe tu!
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
71,596
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
71,596 2,000
Labda kama kuchukua nchi ya mwandiga
Takribani miaka 3 iliyopita nilipitia Thread moja ambayo mwandishi alitabiri kuwa ACT- Wazalendo kitakuwa chama kikubwa cha upinzani na hatimaye kuwa chama cha kwanza nchini Tanzania kuitoa CCM madarakani huko mbeleni. Nilimuona mwendawazimu, na sikukubaliana naye. Leo namuona aliona mbali sana, nami binafsi namuunga mkono.

Baada ya Maalim na wafuasi wake kujiunga ACT- Wazalendo, imekifanya chama hicho kuwa na mvuto wa pekee katika pande zote za Tanzania mpaka msajili na chama tawala hawalali usingizi. Wanasababu ya kufanya hivyo kwani sasahivi ni uhalisia kuwa chama hicho kipo karibu sana kuwa kimbilio la Watanzania.

ACT- Wazalendo watachukua dola 2025 kwa sababu zifuatazo:
 • Chama kimejikita katika utatuzi wa matatizo ya nchi yetu kuliko propaganda.
 • Chama kimeingiza nguvu mpya (sunami) toka CUF, ambao ni timu makini katika mapambano (wasionunulika)
 • Idiolijia ya chama ni madhubuti, inayolenga kutatua matatizo ya watanzania wote.
 • Chama kinarekodi nzuri ya matumizi ya fedha zake kutokana na ukaguzi wa CAG, toka kisajiliwe.
 • Chama hakina migogoro, kutokana na kuwa na viongozi dhabiti
 • Chama hakijaundwa katika misingi ya kikanda hivyo kuwasilisha watanzania wote.
 • Chama kina kiongozi kijana mwenye mtazamo chanya kwa vijana
 • Bendera ya chama ina rangi ya purple ambaye ni rangi pendwa kwa wanawake, hivyo akina dada wengi watavutiwa na rangi hiyo na kujiunga nacho.
 • Ni chama kisicho na papara wala mihemko pale matatizo inapokikabili
 • Viongozi wake hueleza mambo magumu kwa lugha nyepesi na ya kueleweka kwa watanzania wote hata wenye shule hafifu.
Haluta kontinua- mpaka kieleweke- CCM nje 2025.
In God we trust
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
71,596
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
71,596 2,000
Akili kubwa sana mkuu ebu Kula like
ACT watapata kura nyingi Pemba ambazo ni sawa na kura za Jiji la Arusha tu mbunge mmoja huku pemba ikitinga mjengoni na zaidi ya wabunge 20 kwa idadi ile ile ya wapiga kura.
In God we trust
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
71,596
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
71,596 2,000
Zitto zuberi $seif sharif Hamadi kukubalika mtwara na pemba na kilwa na tanga
1.Chama kina kiongozi kijana. Huyo kijana hazeeki?.

2. Matumizi ya Fedha ni swala la Muda tu. Kinavyozidi kua kikubwa ndipo makosa yataanza kujitokeza. Nk

3. Chama hakijaundwa kwa Misingi ya Kikanda?.

Ehee. Maalim Seif yupo pale kwasababu anataka Zanzibar Huru.

4. Timu makini kutoka CUF?. Real

Umakini upi?. Mbona walisahahu k umfuta uanachama Lipumpa. Akarudi kuwapindua na mahakamani akawashinda.

Sent using Jamii Forums mobile app
In God we trust
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
71,596
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
71,596 2,000
Mwambie huyo kijana ametoka jana mwandiga
wewe pmja na huyo aliyetabir mko kundi moja, kma fact yako kubwa ina base kwa Maalim Seif, pole sana, kma ana mvuto huo hata chadema mwaka jana urais ungekuwa wao, au mbna yeye hadi sasa ni miaka 20 hajawa rais, naiona chadema kikiwa cha cha kwanza kutoa rais huko mbeleni na si ACT. zunguka mikoani ndo utajua si cha kubeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
In God we trust
 
BILLY ISISWE

BILLY ISISWE

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Messages
1,262
Points
1,500
BILLY ISISWE

BILLY ISISWE

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2014
1,262 1,500
Takribani miaka 3 iliyopita nilipitia Thread moja ambayo mwandishi alitabiri kuwa ACT- Wazalendo kitakuwa chama kikubwa cha upinzani na hatimaye kuwa chama cha kwanza nchini Tanzania kuitoa CCM madarakani huko mbeleni. Nilimuona mwendawazimu, na sikukubaliana naye. Leo namuona aliona mbali sana, nami binafsi namuunga mkono.

Baada ya Maalim na wafuasi wake kujiunga ACT- Wazalendo, imekifanya chama hicho kuwa na mvuto wa pekee katika pande zote za Tanzania mpaka msajili na chama tawala hawalali usingizi. Wanasababu ya kufanya hivyo kwani sasahivi ni uhalisia kuwa chama hicho kipo karibu sana kuwa kimbilio la Watanzania.

ACT- Wazalendo watachukua dola 2025 kwa sababu zifuatazo:
 • Chama kimejikita katika utatuzi wa matatizo ya nchi yetu kuliko propaganda.
 • Chama kimeingiza nguvu mpya (sunami) toka CUF, ambao ni timu makini katika mapambano (wasionunulika)
 • Idiolijia ya chama ni madhubuti, inayolenga kutatua matatizo ya watanzania wote.
 • Chama kinarekodi nzuri ya matumizi ya fedha zake kutokana na ukaguzi wa CAG, toka kisajiliwe.
 • Chama hakina migogoro, kutokana na kuwa na viongozi dhabiti
 • Chama hakijaundwa katika misingi ya kikanda hivyo kuwasilisha watanzania wote.
 • Chama kina kiongozi kijana mwenye mtazamo chanya kwa vijana
 • Bendera ya chama ina rangi ya purple ambaye ni rangi pendwa kwa wanawake, hivyo akina dada wengi watavutiwa na rangi hiyo na kujiunga nacho.
 • Ni chama kisicho na papara wala mihemko pale matatizo inapokikabili
 • Viongozi wake hueleza mambo magumu kwa lugha nyepesi na ya kueleweka kwa watanzania wote hata wenye shule hafifu.
Haluta kontinua- mpaka kieleweke- CCM nje 2025.
Kitakuweko? 2020 Ni shida hadi huko watawazubiri tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
G

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
3,015
Points
2,000
G

G4rpolitics

JF-Expert Member
Joined Jul 29, 2015
3,015 2,000
Mueleweshe huyo dogo katoka mwandiga jana haelewi mambo ya siasa

In God we trust
haoni sasa kuwa hicho kimekuwa chama cha watu wawili, kigoma and pemba, ukizunguka sehemu nyingi za bara utakuta matawi mengi ya CDM sasa hiyo ACT itazipata nguvu lini hadi itoe rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Messages
71,596
Points
2,000
Mmawia

Mmawia

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2013
71,596 2,000
Amelewa kayoga pombe maarufu kutoka kigoma
haoni sasa kuwa hicho kimekuwa chama cha watu wawili, kigoma and pemba, ukizunguka sehemu nyingi za bara utakuta matawi mengi ya CDM sasa hiyo ACT itazipata nguvu lini hadi itoe rais.

Sent using Jamii Forums mobile app
In God we trust
 
sengobad

sengobad

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Messages
1,625
Points
2,000
sengobad

sengobad

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2017
1,625 2,000
Matatizo yaliyopo tz ni sawa na Sudan, Uganda, Libya ya Gadaf, Sadam Hussein- Iraq, Algeria nk. kwahiyo hakuna chama kitakachoweza kuitoa ccm madarakani ila ccm itaweza kutoka tuu kwa mifano iliyotoa hapo juu.
 
Forum statistics

Threads 1,285,040
Members 494,423
Posts 30,848,041
Top