Aliyesoma CBG A-level, chuoni atasoma kozi gani?

BRO LEE

JF-Expert Member
Dec 25, 2011
826
600
Habari wana forum, naomba kufahamu iwapo utasoma CBG baadae utasoma fani gani Chuo Kikuu.
 
Habari wana forum, naomba kufahamu iwapo utasoma CBG baadae utasoma fani gani Chuo Kikuu.
TUMECHOKA NA MASWALI YA KITOTO ... JAMANI .. WAKATI MNAJAZA HUKO SHULENI HAMKUPEWA UFAFANUZI...?
 
TUMECHOKA NA MASWALI YA KITOTO ... JAMANI .. WAKATI MNAJAZA HUKO SHULENI HAMKUPEWA UFAFANUZI...?
Ungejibu ungekuwa na busara zaidi kuliko kupoteza muda kuuliza swali, hili ni jukwaa km wewe umechoka waache wenye kujua waje waeleweshe. Si ajabu na wewe hujui.
 
Ungejibu ungekuwa na busara zaidi kuliko kupoteza muda kuuliza swali, hili ni jukwaa km wewe umechoka waache wenye kujua waje waeleweshe. Si ajabu na wewe hujui.
Nyambole wewe! unaanza kuwatukana hata wazazi wako! ok! nitashauli lianzishwe jamvi la watoto kama wewe!
 
...........ok... madogo naona mnamiminika kushambulia, sikujua kama mko wengi mlosoma pasipokujua mnakoelekea .. isitoshe hii bora elimu ndo inatusababishia kizazi cha maswali ya ajabu ,,, mwalimu alokufundisha ndo huyo aliyefeli ... unategemea nini ...

poleni.....
 
Utasomea jinsi ya kutengeneza maua ya Plastic sio mbaya au mambo ya decoration
 
Unaeza kuwa,chemist,botanist,zoologist,geologist,nurse,animal scientst,dental surgery doctor,bvm,land manager and valuator,lab.technician,molecular biologist,petroleum chemist,bio&chem.teacher,biotechnologst,midwifery.etc,nadhani umenipat.
May your God bless you abundantly, wewe, familia yako na kizazi chako chote,

Amen.

Asante sana
 
Utajivuniaje kuwa na mzazi ambaye anajibu maswali ya msingi kidharau namna hii?

"Habari wana forum, naomba kufahamu iwapo utasoma CBG baadae utasoma fani gani Chuo Kikuu"

Hili ni swali la msingi kwa mtu aloenda shule kweli?

What CBG stands for?
 
"Habari wana forum, naomba kufahamu iwapo utasoma CBG baadae utasoma fani gani Chuo Kikuu"

Hili ni swali la msingi kwa mtu aloenda shule kweli?

What CBG stands for?

Baadhi ya watanzania mnapenda kujifanya mnajua kila kitu, kitu ambacho si kweli. Anayejua huwa habezi wasiojua bali huwaelewesha. Ila nimejifunza wote mnaojibu hovyo ndo mnaelimu ya hapa na pale
 
"Habari wana forum, naomba kufahamu iwapo utasoma CBG baadae utasoma fani gani Chuo Kikuu"

Hili ni swali la msingi kwa mtu aloenda shule kweli?

What CBG stands for?
Usiwachanganye madogo. Wana haki kujadili mambo kwa kiwango na uelewa wao!
Kwa maana kimsingi inafundisha hata wale wasiojua wanasoma nini ili waje kuwa kina nani katika jamii.
Natamani nikutukane kwa kiwango cha elimu yako.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom