Michael Dinglefoot
Member
- Jul 12, 2015
- 16
- 0
Naomba kufahamishwa. Ikiwa mtu kasoma Bachelor of science in Nursing anaweza kusoma tena Bachelor ya Pharmacy au MD?
Ikiwa una kidhi vigezo vya md au pharmacy sawa. Kumbuka vigezo sio shahada ya nursing.Naomba kufahamishwa. Ikiwa mtu kasoma Bachelor of science in Nursing anaweza kusoma tena Bachelor ya Pharmacy au MD?