Aliyeshinda kura za maoni CHADEMA Kalenga awekwa kiporo, Grace Tendega kupambana na CCM

Hw! Hii nayo ni mpya. Ndo kusema wajumbe waliopiga kura hawakuwa wajumbe halali. Kama mmeshindwa kujenga mfumo imara wa kidemokrasia ndani ya chama hadi kutoa nafasi kwa mamluki kushiriki na kuchagua mgombea, je mkipewa nchi itakuwaje?
Sifahamu kiongoza nchi kunaendaneje na kura za maoni...lakini ukweli ndo huo na kamati inatakiwa ipewe pongezi kwa kuamua kumchukua mtu mwenye mvuto kwa wanakalenga...huu nao ni werevu wa hali ya juu ambao ulitakiwa uupongeze
 
Sinkala Aligawa Kadi Kwa Vijana Ambao Si Wanakalenga, Walikua Wahuni tu. kwahyo ushindi wake haukua halali kwasababu haukuhusisha wapiga kura halali.
 
Kabwena hujazielewa sababu zilizotelwa au hujuwi sababu kuwa zimetolewa, tuanzie hapo kwanza

Sijaelewa Sababu Zilizotolewa, Gazeti La Mwananchi Limemnukuu Mbowe Akisema "sinkala Bado Ni Kijana Mdogo, Tunahitaji Kumkuza" Kauli Hii Imenishtua Sana Kwani Chadema Ilimwachia Habibu Mchange Agombee Ubunge Akiwa Na Miaka 24, Joshua Nassari 23, Mtela Mwampamba 26, David Sillinde 24 Na Mnyika 2005 Akiwa Na Miaka 24... Vp Leo Imkuze Sinkala Wa Miaka 29?
 
Last edited by a moderator:
Sinkala Aligawa Kadi Kwa Vijana Ambao Si Wanakalenga, Walikua Wahuni tu. kwahyo ushindi wake haukua halali kwasababu haukuhusisha wapiga kura halali.

Nadhani Wewe Hujui Kabisa Wajumbe Wa Mkutano Mkuu Wa Chadema Waliopiga Kura Ni Wapi, Unadhani Ni Kila Mwenye Kadi Ya Chadema Anaruhusiwa Ndio Maana Unasema Sinkala Aligawa Kadi,
u Are Too Low!
 
Sinkala ni jina la ZAMBIA. Kwa hiyo kuna citizenship concern hapo!

Kama Kuna Citizenship Concern Kwann Makao Makuu Ya Chadema Hawasemi Ili Kila Mtu Ajue Na Badala Yake Wanaokoteza Okoteza Tu Visababu?
 
Sijaelewa Sababu Zilizotolewa, Gazeti La Mwananchi Limemnukuu Mbowe Akisema "sinkala Bado Ni Kijana Mdogo, Tunahitaji Kumkuza" Kauli Hii Imenishtua Sana Kwani Chadema Ilimwachia Habibu Mchange Agombee Ubunge Akiwa Na Miaka 24, Joshua Nassari 23, Mtela Mwampamba 26, David Sillinde 24 Na Mnyika 2005 Akiwa Na Miaka 24... Vp Leo Imkuze Sinkala Wa Miaka 29?

Kigezo cha kwanza Kamati Tendaji ya Wilaya husika kukaa na kutoa maoni yake
kigezo cha pili hutegemea pia kupata maoni ya wadau na viongozi wa taasisi mbalimbali katika eneo husika.
Kigezo cha tatu maoni ya viongozi wa kata zote katika jimbo, ambapo kwa Kalenga walishiriki wajumbe zaidi ya 450,
Kigezo cha mwisho ni maoni ya utafiti na haiba ya wagombea kwa kushirikiana na sababu za kiusalama zinazoletwa na idara ya usalama ya chama.

Wagombea wote 13 waliojitokeza walipewa fursa kwenye Kamati Kuu kujieleza, kisha kupewa nafasi wao wenyewe wachague wanaona nani anafaa kupeperusha bendera ya CHADEMA. Katika mchakato huo, wagombea hao walimchagua Grace, na Kamati Kuu ililiridhia.

Maoni ya Sinkala

Akizungumzia uamuzi huo, Sinkala ambaye awali aliteuliwa na wajumbe wa wilaya kwa kura, alisema anaunga mkono uamuzi wa Kamati Kuu.


Alisema anaona hoja ya msingi ni mabadiliko yanayohitajika Kalenga, ambayo yataletwa na CHADEMA bila kujali ni mwanaCHADEMA yupi.


"Ghala letu limevamiwa na panya kwa miaka mingi, hivyo katika kuwaondoa panya hatuangalii rangi wala jinsia ya paka, tunataka panya watoke, mimi namuunga mkono Grace Tendega na nitamsaidia katika kampeni hadi tufanikiwe kukiondoa Chama Cha Mapinduzi," alisema Sinkala

Grace aliwahi kugombea ubunge wa jimbo hilo mwaka 2005, kupitia Jahazi Asilia, ambapo alipata kura zaidi ya 13,000 akiwa mshindi wa pili nyuma ya mgombea wa CCM

Hope umeridhika sasa

Soource: Tanzania Daima
 
Kusema Sinkala Hana Mtaji Wa Watu Nje Na Ndani Ya Chama Wakati Ameshinda Kwa Kura Ndani Ya Chama Ni Kujidanganya Mwenyeweom/-N9y1tTRd5qo/Uv52rpLYCCI/AAAAAAABiq8/f6jIxjr16fI/s700/index.jpg[/IMG][/CENTER]


Wajumbe wa mkutano mkuu wa uchaguzi jimbo la Kalenga walivyompongeza Sinkala Mwenda siku ya kura za maoni baada ya kushinda wenzake 13.

KAMATI kuu ya chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) imemteua aliyekuwa mshindi wa pili wa kura za maoni katika zoezi la kura za maoni Bi Grace Tendega kupeperusha bendela ya Chadema katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga.

Habari za uhakika kutoka ndani ya kamati kuu ya Chadema iliyoketi jijini Dar es Salaam leo zinadai kuwa aliyekuwa mshindi wa kura za maoni mwanasheria Sinkala Mwenda hajateuliwa na kamati kuu hiyo mbali ya kuongoza kwa kura kura 132 dhidi ya kura 122 alizopata mpinzani wake wa karibu Grace Tendega

Katibu wa Chadema wilaya ya Iringa vijijini Felix Nyondo amethibiti
 
Katika Hili Tumeshagawanyika, Tunahitaji Kupewa Sababu Za Kamati Kuu Kupingana Na Nguvu Ya Umma Ambayo Ni Falsafa Ya Chama.
Mgombea wenu Sinkala hana kile kishimo anachopenda mwenyekiti wetu.
 
Mgombea wenu Sinkala hana kile kishimo anachopenda mwenyekiti wetu.

Ama kwa hakika ninayo matusi kadha wa kadha ya kukutusi lkn acha nikustahi!

Hivi baba yako asingekuwa anapenda hako kashimo angemuoa mama yako na hatimaye wewe kuzaliwa? Au uliokotwa chooni ndugu yangu
 
tuambie kwanza katiba ya chama inasemaje kuhusu hilo kisha ndio useme ni ubakaji wa demokrasia.
kwani seleli alifanywaje na CCM ndio wakampitisha Kigwangala?
Chama kimeangalia mtaji watu na sio jina
huu ni ubakaji wa demokrasia...
wamedharau sauti ya wanachadema kalenga
hawatapata kitu
 
upuuzi mkubwa ktuoka kwa mtu anaejiita great thinker
fikiria kwa kutumia akili
angekuwa ni mama yako ndio anasemwa hivo ungejisikiaje
tumieni bingo zenu kufikiri
Mgombea wenu Sinkala hana kile kishimo anachopenda mwenyekiti wetu.
 
Huyu mama ni pandikizi la akina Slaa. Kilichomponza Sinkala ni misimamo yake isiyotetereka na usomi wake. Hakika chadema haiwapendi wasomi

Kwani hujui huyo mama ana Masters, au kwako msomi mpaka awe mwanasheria?. Fuatilia kwanza Mambo ndo utoe comment, vinginevyo acha kukurupuka
 
Back
Top Bottom