Aliyeshinda hawezi kuitwa mpinzani tena

The golden

JF-Expert Member
Sep 11, 2018
1,381
2,553
Nadhani tuna tatizo kubwa sana la uelewa katika jamii yetu.

Kule Walawi wananchi wameanza kuandamana kupinga teuzi za kibaguzi zinazofanywana rais mpya wa nchi hiyo.

Kwa maoni yangu nawapongeza sana Wamalawi. Hiyo ni dalili ya ukomavu .Hawataki kabisa kuchewezewa na wanasiasa.

Sasa hapa kwetu , kupitia mitandao ya kijamii kuna baadhi ya watu wemeanza kusema , wapinzani ndivyo walivyo , siku mbili tu wameanza kuboronga.

Naomba niwaulize swali ;

Unaposema wapinzani unamaanisha nini?

Unawezaje kumuita mtu aliyeshinda uchaguzi kuwa ni mpinzani?

Kwani kuna watu wameubwa kuwa wapinzani na wengine si wapinzani hata kama wako nje ya madaraka?
 
Back
Top Bottom