Aliyesema kaugonjwa kenyewe ni kadogo kuliko Mafua; Alifanya makosa makubwa kuipotosha Jamii

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,276
21,395
Kuna mambo ukiyatafakari hayakuwa na sababu yoyote kufanyika kama yalivyofanyika!
Kauli kama hizi zimechangia Uzembe wa kuchukua tahadhali!
  1. Korona ni kaugonjwa kadogo sana kuliko Malaria na mafua (Hapo immediately huyu mtu alififisha mioyo ya tahadhari alistahili bakora)
  2. Tusitishane; Tunatishana mnooo! (Hii kauli haikutakiwa wakati ule)
  3. Watalii KIA wanaingia tunawaorodhesha majina na address zao ili iwe rahisi kuwafuatilia (Idiotic statement haikutakiwa kabisa)
NOTE: UKISHINDWA KUUZIMA MOTO NDANI YA DAKIKA TANO ZA MWANZO BASI JIANDAE KUITA ZIMAMOTO

**Karibuni kijiweni tunywe kahawa**
 
Watanzania tufanye kazi,

Akisikia mtu mmoja ambaye amezikimbia ofisi zilizo mjini na kuhamia kijijini kwao...
 
Wewe endelea kunawa mikono na sabuni. Ukipata korona usitafute mchawi.
Tunapoteza muda mwiiingi mitandaoni kulalamika lakini hatupotezi hata sekunde 5 tu kusaidia kutafuta suluhu ya matatizo yetu. Ni lini tutaacha hii tabia ya kutakaa kufanyiwa kila kitu?
 
Hoja hujibiwa kwa hoja, ulichokifanya ni kuandika hoja alizosema mtu na nini unadhani alipaswa kufanya, wewe eleza kwanini Corona ni tishio kiasi cha kuzidi Malaria
Zile si hoja zenye hadhi ya kujibiwa kwa hoja.
 
hapo ametumia MBINU ZA KIVITA..
Mnapoenda vitani ukisema "HUKO TUNAENDA KUFA" akikusikia mwenzio atakupiga risasi.

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Back
Top Bottom