Aliyesambaza meseji za kumkashifu Slaa ni....

Hivyo ni vihoja vyao Tumeshavizoea, hawataacha mpaka wachakachue uchaguzi huu, huku kwetu wanapita wakionga madreva wa daladala wapeperushe bendera za chama chao cha kifisadi, mwisho wao umefika kitaeleweka tu!
 
Kituko wewe ni kituko kwelikweli. Unawezaje kumtofautisha Kikwete na CCM? Kikwete anagombea urais kupitia chama gani? Wananchi wa Tanzania hawamtaki Kikwete na CCM yote. Utetezi wako ni kituko.

yah Kweli ni kituko, nilichoandika ni vigumu kukielewa ukikichulia juujuu tu bila kuangalia na kutafakali nilichoweka, ukweli mkuu ndio huo Jk na kampeni zake hazina Baraka rasmi ya chama, japokuwa mwanzo walimsupport na aliwatibua CCM pale alipompa majukumu Ridh1 kuangaikia na kumobilize kampeni team, Hivi Ridh1 na Mama salma ni nani ndani ya CCM, kwa nini gharama zote anazogharimiwa mama Salma isingekuwa Msekwa, Mkapa, Mwinyi, Malechela na wengieo?, NAULIZA TENA MAMA SALMA NI NANI NDANI YA CHAMA CHAO?
 
Ndigu, hapo umeua..umeweka mambo ki-tech kabisa...
Waambie hao TCRA wakuachie office, wamejaza tu nafasi pasipo kujua hata ku-trace issue ambayo ni generic kama hii...
Kama wangekuwa CCM hawahusiki, ungekuta wanayo majibu ya haraka kupeleka lawama kwa upande wa pili.

Ila hatuna TCRA maana hata hawajui kwanini mtandao wa simu utumike ku-distribute massage kwa wateja wake bila ridhaa wa wateja wenyewe.
Aibu na udhaifu sana huu...Ndio maana tunahitaji Rais Makini, mwenye uwajibikaji, na walio chini wakimsikia waogope, wawajibike.
 
Nani anasema CCM Mgombea Urasi wa CCM hana mkono katika hizi meseji.... Ushahidi wa kimazingira huu hapa: Uki-fatilia domain 6telecoms.co.tz, iliyotumika utaona wazi share the name IP ya Kikwete2010co.tz na JK web site yake na nyingine za mafisadi wa papa ziko hosted nao.
Angalia maandishi mekundu!
"
Kikwete2010.co.tz is a domain controlled by two name servers at co.tz. Both are on different IP networks. The name server kikwete2010.co.tz stated in SOA record is not in the list of name servers. Incoming mail for kikwete2010.co.tz is handled by two mail servers also at co.tz. Both are on different IP networks. kikwete2010.co.tz has one IP number (41.77.226.253).
212.233.84.in-addr.arpa, 229.77.41.in-addr.arpa, 228.77.41.in-addr.arpa and 227.77.41.in-addr.arpa share name servers with this domain. 6telecoms.co.tz share mail servers with this domain.

ZED;

Ndigu, hapo umeua..umeweka mambo ki-tech kabisa...

Waambie hao TCRA wakuachie office, wamejaza tu nafasi pasipo kujua hata ku-trace issue ambayo ni generic kama hii...

Kama wangekuwa CCM hawahusiki, ungekuta wanayo majibu ya haraka kupeleka lawama kwa upande wa pili.

Ila hatuna TCRA maana hata hawajui kwanini mtandao wa simu utumike ku-distribute massage kwa wateja wake bila ridhaa wa wateja wenyewe.

Aibu na udhaifu sana huu...Ndio maana tunahitaji Rais Makini, mwenye uwajibikaji, na walio chini wakimsikia waogope, wawajibike.
 
Thanks,there we go!!!!
Taratiibu tunaanza kupata ushahidi wa nani mchawi wa amani ya Tanzania!!!!

I'm a christin,kwa kifupi sipendi jinsi 'makamba' anavo dharirisha maaskofu...Huku ni kuchokonoa ili watu wajibu
 
this z gud Tanzanians are waking up mi naomba tu watu wakapige kura plz plz plz ili washindwe kuchakachua
 
Bw. Solomon,

Misingi ya amani na utulivu aliyoacha Baba wa Taifa Hayati Mwl. Nyerere bado ingali hai ikiishi mioyoni mwa Watanzania. Ninaamini kabisa watanzania ni waelewa wanaoweza kupembua pumba na mchele. Kinachompata kikwete hadi kufikia hatua ya kutumia familia yake na jamaa zake wa karibu kutafuta ushindi kwa propaganda chafu ni laana inayomfuata mgongoni. Kumbuka ushindi wake mwaka 2005 ulipatikana kwa kuchafua na kuwakashfu wana ccm wenzake kwa kutumia vyombo vya habari. Walimchafua Mtanzania Mzalendo aliyependwa sana na Baba wa Taifa Dr. Salim, wakamchafua Mhe. Sumaye, na wengine wengi tu waliokuwa wanaona ni tishio katika kinyang'anyiro cha urais. Kwa uchafu huo, hatimaye, alifika ikulu (mahali patakatifu).

Ninachopenda kukuhakikishia Bw. Solomon ni kwamba propaganda za akina Shamte, ni za kikwete na familia yake na wala siyo za ccm. Asilimia kubwa ya wanachama wa ccm hawana amani na namna kiongozi wao anavyoendesha nchi na chama kwa ujumla. Mfano mzuri ni wazee na viongozi waandamizi wa ccm, si umeona jinsi walivyo kimya!!! Hakuna hata mmoja anayemsaidia kwenye kampeni. Hii ina maana kwamba watanzania hawatakubali kuacha nchi inaingia kwenye ugomvi wa kikabila kwa maslahi ya familia moja. Maombi yanafanywa kwa nguvu zote na Mungu mwenye uweza na nguvu zote anaweza akaionesha Dunia maajabu. Ondoa hofu, kaa kwa amani na familia yako.
 
No Army Can stop an idea Whose time has come.

Ausiki Martin Luther King Jr alisema
He who passively accepts evil is as much involved in it as he who helps to perpetrate it. He who accepts evil without protesting against it is really cooperating with it

Wana CCM no offence.
 
CHADEMA Wanalijua hili? Tuwafahamishe...... tuwafahamishe.
 
Ile speech ya Kikwete ya "kukemea" text za vitisho ilikuwa ni ya kinafiki tu (kwa maoni yangu).
mkwere huyo ni mnafki siku zote mpaka kufa ataendelea kuwa hivyo kalaghabao kwa watakaompigia kura naona Wachagga ni tishio lao sana hivi tujiulize hao Wachagga wamekosea nini? je wameenda kinyume na demokrasia ku-support Slaa na Chadema? Je wao kama wao wamekosa nini in such mpaka waonekane wana uchu saana na madaraka? nani ambaye hajui katika Watanzania wenye asili ya Kiafrika wanajiweza na kujiajiri wenyewe? au ndo siasa za ukabila zinaanza kuletwa nchini na CCM. Au kwa zile kampeni za kuhusisha Uchagga na CHADEMA zimeanza kugonga ukuta sasa? zinaanza kuhamia kwenye simu zetu! Wadanganyika wamebumburuka sasa!!!!
 
Bw. Solomon,

Misingi ya amani na utulivu aliyoacha Baba wa Taifa Hayati Mwl. Nyerere bado ingali hai ikiishi mioyoni mwa Watanzania. Ninaamini kabisa watanzania ni waelewa wanaoweza kupembua pumba na mchele. Kinachompata kikwete hadi kufikia hatua ya kutumia familia yake na jamaa zake wa karibu kutafuta ushindi kwa propaganda chafu ni laana inayomfuata mgongoni. Kumbuka ushindi wake mwaka 2005 ulipatikana kwa kuchafua na kuwakashfu wana ccm wenzake kwa kutumia vyombo vya habari. Walimchafua Mtanzania Mzalendo aliyependwa sana na Baba wa Taifa Dr. Salim, wakamchafua Mhe. Sumaye, na wengine wengi tu waliokuwa wanaona ni tishio katika kinyang'anyiro cha urais. Kwa uchafu huo, hatimaye, alifika ikulu (mahali patakatifu).

Ninachopenda kukuhakikishia Bw. Solomon ni kwamba propaganda za akina Shamte, ni za kikwete na familia yake na wala siyo za ccm. Asilimia kubwa ya wanachama wa ccm hawana amani na namna kiongozi wao anavyoendesha nchi na chama kwa ujumla. Mfano mzuri ni wazee na viongozi waandamizi wa ccm, si umeona jinsi walivyo kimya!!! Hakuna hata mmoja anayemsaidia kwenye kampeni. Hii ina maana kwamba watanzania hawatakubali kuacha nchi inaingia kwenye ugomvi wa kikabila kwa maslahi ya familia moja. Maombi yanafanywa kwa nguvu zote na Mungu mwenye uweza na nguvu zote anaweza akaionesha Dunia maajabu. Ondoa hofu, kaa kwa amani na familia yako.

Nasikitika sana kukutaarifu kuwa hakuna namna unaweza kutenganisha CCM na Kikwete MOVEMENT. yote yanayofanyika is for good or bad of CCM. Atakapoangukia kikwete ndio hapo hapo itakapoangukia CCM. CCM = KIKWETE and vice versa.
 
Mimi si mchaga, lakini nitakuwa mstari wa mbele mstuni, kama itabidi! Hawa nyang'au ajenda yao ni ndefu kuliko ukabila na udini!..yes nasema hivyo hata wewe makamba utaisoma hii, ajenda yao ni kututenga watanzania ili watawale (DEVIDE AND RULE!)

Hatari zaidi wameenda mbali zaidi mpaka jeshini ambako tegemeo letu watanzania lipo. Ndg Solomon, hali inatisha kuliko unavyofikiri! wamejiandaa kikamilifu kurudisha lawama kwa wanayemuonea......:mmph:!........siwezi kuandika zaidi! Mwafrika wa jamii ya Makamba yuko tayari kufanya LOLOTE ili aendelee kutawala!

Tumewaskia wakinunua vichwa vyenye kipara, viungo vya albino, tumewaona kwa waganga wa kienyeji wakiagua....tunasubiri kuwaona wakinyanyua mitutu dhidi ya wananchi wenye bendera na picha za baba wa taifa!

Mungu hataibariki Tanzania bila watanzania wenyewe kusimama kwa UMOJA na kusema SASA BASI, LIWALO NA LIWE!
 
Bw. Solomon,

Misingi ya amani na utulivu aliyoacha Baba wa Taifa Hayati Mwl. Nyerere bado ingali hai ikiishi mioyoni mwa Watanzania. Ninaamini kabisa watanzania ni waelewa wanaoweza kupembua pumba na mchele. Kinachompata kikwete hadi kufikia hatua ya kutumia familia yake na jamaa zake wa karibu kutafuta ushindi kwa propaganda chafu ni laana inayomfuata mgongoni. Kumbuka ushindi wake mwaka 2005 ulipatikana kwa kuchafua na kuwakashfu wana ccm wenzake kwa kutumia vyombo vya habari. Walimchafua Mtanzania Mzalendo aliyependwa sana na Baba wa Taifa Dr. Salim, wakamchafua Mhe. Sumaye, na wengine wengi tu waliokuwa wanaona ni tishio katika kinyang'anyiro cha urais. Kwa uchafu huo, hatimaye, alifika ikulu (mahali patakatifu).

Ninachopenda kukuhakikishia Bw. Solomon ni kwamba propaganda za akina Shamte, ni za kikwete na familia yake na wala siyo za ccm. Asilimia kubwa ya wanachama wa ccm hawana amani na namna kiongozi wao anavyoendesha nchi na chama kwa ujumla. Mfano mzuri ni wazee na viongozi waandamizi wa ccm, si umeona jinsi walivyo kimya!!! Hakuna hata mmoja anayemsaidia kwenye kampeni. Hii ina maana kwamba watanzania hawatakubali kuacha nchi inaingia kwenye ugomvi wa kikabila kwa maslahi ya familia moja. Maombi yanafanywa kwa nguvu zote na Mungu mwenye uweza na nguvu zote anaweza akaionesha Dunia maajabu. Ondoa hofu, kaa kwa amani na familia yako.

Mkuu unajua hata mimi natamani sana kuondoa hofu.

Kitu kimoja nimejifunza toka kwa rafiki yangu mmoja mkongoman (mkimbizi of course) ni kuchukulia serious lugha za vitisho na uchochezi kama hizi za kina Shamte. Jamaa alikuwa anaishi eastern congo na familia yake kwa muda mrefu sana. Alisikia yote yaliyotokea Rwanda na Burundi na akayapuuzia kuwa hayatokea kwao. Kulikuwa na lugha za kejeli na matusi dhidi ya kabila yake zinatolewa kila siku na yeye hakujali. Siku moja asiyoitegemea, familia yake yote walichinjwa chinjwa kama kuku.

The guy alipona kwa vile tu alikuwa amekwenda Kigoma kununua bidhaa za biashara zake.
 
Kama kuna mtu amefanya naye kazi atoe picha kubwa tumuone huyu anayehatarisha usalama wa taifa kwa faida binafsi ya JK na kundi lake.
 
Mimi si mchaga, lakini nitakuwa mstari wa mbele mstuni, kama itabidi! Hawa nyang'au ajenda yao ni ndefu kuliko ukabila na udini!..yes nasema hivyo hata wewe makamba utaisoma hii, ajenda yao ni kututenga watanzania ili watawale (DEVIDE AND RULE!)

Hatari zaidi wameenda mbali zaidi mpaka jeshini ambako tegemeo letu watanzania lipo. Ndg Solomon, hali inatisha kuliko unavyofikiri! wamejiandaa kikamilifu kurudisha lawama kwa wanayemuonea......:mmph:!........siwezi kuandika zaidi! Mwafrika wa jamii ya Makamba yuko tayari kufanya LOLOTE ili aendelee kutawala!

Tumewaskia wakinunua vichwa vyenye kipara, viungo vya albino, tumewaona kwa waganga wa kienyeji wakiagua....tunasubiri kuwaona wakinyanyua mitutu dhidi ya wananchi wenye bendera na picha za baba wa taifa!

Mungu hataibariki Tanzania bila watanzania wenyewe kusimama kwa UMOJA na kusema SASA BASI, LIWALO NA LIWE!

Mkuu,

Huna sababu ya kufikiria kwenda msituni. Hiki ndicho ccm (na wapambe wao kina Omar Ilyas) wanataka ufanye ili waanza crap zao --- see, unaona wapinzani wanasema kuwa wataenda msituni.

Kwa sasa tunawaambia tu ccm kwa lugha ya upole (na ukali mwingi at the same time) kuwa waache kuandaa vita ya kikabila na kidini nchini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom