Kiungani
JF-Expert Member
- Feb 2, 2007
- 274
- 71
Yule dereva aliyehusika katika ajali ya Bi. Salome Mbatia na ambaye alikuwa ameajiriwa muda si mrefu kabla ya ajali ile na kutoweka kama mvuke na kutokomea kama "night crawler" wa matrix hakuacha hata vumbi? Hivi jina lake la kweli lilikuwa lile?
Huyu bwana alihusika na ajali ya Waziri ambaye kabla ya hapo aliwahi kushikilia nafasi ya Mweka Hazina Mkuu wa CCM wakati ufisadi wa EPA unatokea...
that is all sir, I was just thinking...
sorry to bother you.
Mkjj, hizo ndiyo tunaita conspiracy theories.............
1. Dereva wake wa kila siku (wa wizara) ghafla siku ya safari hapatikani hata kwa simu na gari ya kazini. Lakini anatokea mara baada ya Mama kuanza safari.
2. Dereva wa nyumbani na gari ya nyumbani safari yake ya kwanza kwenda mikoani (zaidi ya Moshi na Arusha).
3. Dereva wa lorry hajulikani alipo japo mwajiri wake kakamatwa na kuachiwa kwa dhamana.
4. Endeleza theories (zikifika kama kumi hivi ndiyo inanoga)
Ila kama ni hivyo, kwa nini Njombe tena mchana badala ya let's say Mikumi, au Kitonga kwenye milima au njiani akienda Songea maporini huko?