Aliyeruhusu UDART iwe Jangwani akamatwe

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,292
12,584
Ameiingizia kampuni hasara, ameikosesha serikali hasara, amewakosesha wananchi usafiri na ameitia nchi aibu kwa majirani waliokuja kujifunza usafiri huo nchini.

Akamatwe tu.
 
Back
Top Bottom