Moshi: Aliyepigwa kwa kudaiwa kufumaniwa amliza Mkuu wa Mkoa

Atakayeumia ni Huyo bwana..lazima ajute..na Kama Ni mtumishi wa uma itakua Ni tabu kweli kweli

Kama wana watoto ndio worse maana ni aibu kwao hakuna mtoto yoyote anayetaka ndoa ya wazazi wake ivunjike so sad kwa this family
 
Na wengine kazaneni kupiga watu na kuwarekodi kuweka ushahidi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app

Dina usithubutu kushawishika ukafamya hivyo mrembo wangu, ni wachache sana wenye roho nzuri kama Agnes watakaoweza kukuacha unapumua wakikukuta ndani kwao.
Kumbuka ile ni territory ya muhusika uliyemvamia.

Hata hali iwe ngumu vipi bado gesti ni salama zaidi.
 
Kujichukulia sheria mkononi ni kosa la jinai,halafu unaanzaje kumpiga mwenzio kisa mwanaume ambaye mmejuana ukubwani?

Mkuu toka nje ya kabox kidoogo, kisa hapo ni ngono nyumbani kwake zaidi kuliko huyo jamaa ndio hasira zinaweza kukupanda kiasi utafute magunia ya mkaa.
Hakuna sheria inayoweza kutosheleza hasira za dharau kama hiyo mkuu.

Uingie kwenye Territory?! Aaah mi kwa kweli kukuacha na pumzi itakuwa ni sawa na ngamia kupenya kwenye tundu la sindano
 
Ujue mara nyingi inakuaje. Unakuta mume nyumban haachi matunzo watoto unahangaika nao mwenyewe. Kumpiga huwezi sababu mwanaume ni mwanaume tu. Ukipata mnyonge kama hivyo hasira zote unahamishia kwake.
Simaanishi kama ni halali kupiga mchepuko lakini kiuhalisia mwanamke akiona mume wake anachepuka halafu mchepuko unapata matunzo huku kwake anashindia ugali dagaa daily lazima adate.

Kama unachepuka basi nyumban tunza sio unachepuka unahamia huko unasahau una familia. Tena hapo bado hujakutana na warogaji
Hahaaa warogaji noma sana but still ni vyema kufikiri kabla ya kutenda maana kuna maamuzi mengine yanaweza kukupeleka jela na ukajikuta unatenganishwa na watoto wako ambao angalau ulkuwa unakula nao ugali mkavu uraiani pindi mume anapokuwa haleti huduma ..

Kuliko kwenda jela kuishi maisha ya shida na kuwaacha watoto wana taabika na kuishi maisha ya vifaranga Vya kuku vilivyo fiwa na mama yao.. Still tunapaswa kuipa nafasi akili katika kufikiria vyema pindi tunapofikwa na madhila kama hayo ...

Waweza kufanya tukio ukidhani kuwa unamkomoa mtu kumbe ndio unajiingiza katika mtego wa jehanamu ya ulimwengu tena wewe na family yako yote

Tujitahidi kuepuka kutengeneza matatizo tuache yaje yenyewe kwa mfumo wa nature ya ulimwengu

kuna braza angu alioa kabinti kadogo tu afu kisu sana,akaanza kuchepuka hakaachii pesa,sasa kuna jamaa wa nyumba ya jirani kumbe anakatamani kila siku kanakataa si mwisho wa siku kalimkubali jamaa ili kapate pesa ya kulisha watoto,mumewe alikua anamaliza hata mwezi yupo kwa michepuko haonekani home
 
pumbafu zake, huyo aalitakiwa auwawe kabisaa, na hilo ndiyo kosa tunalofanya watu wengi unakamata mtuhumiwa alafu unampiga makofi au panga mbili tatu alafu unamwacha, akipata wachumia tumbo kama kiria lazima akusumbue mahakamani….uwaa kabisaa na na uchome motto

Nakwambiaje huyo asingeonekana duniani, tena vile ni bar med hakuna ambaye angehangaika kumtafuta.

Hiyo roho mbaya ningeiosha mbele ya safari. Aise ndugu nikukute ndani kwangu na mke wangu..hiiiiiiiii

Ghafla nimemkumbuka yule mume wa mtangazaji mmoja hivi alikuwa wa radio One na ITV Ufoosaro. Jamaa alimkuta kidume ndani kwake tena na mama mkwe akiwepo, kilichofuata ni berreta ilifanya kazi yake ipasavyo
 
Kama walikuwa wanaongea mambo ya biashara kwa nini aoji kama huyo mwanaume ana mke?Kosa la huyo mke wa jamaa ni kujichukulia sheria mkononi ila huyo demu aliyepatiwa kipigo ni demu wa jamaa,lakini najiuliza kama mtu amekwambia hana mke au mme wa kumpa kisago ni nani?huyo mwanaume ndiyo angetakiwa apewe kiminyo
 
Hahaaa warogaji noma sana but still ni vyema kufikiri kabla ya kutenda maana kuna maamuzi mengine yanaweza kukupeleka jela na ukajikuta unatenganishwa na watoto wako ambao angalau ulkuwa unakula nao ugali mkavu uraiani pindi mume anapokuwa haleti huduma ..

Kuliko kwenda jela kuishi maisha ya shida na kuwaacha watoto wana taabika na kuishi maisha ya vifaranga Vya kuku vilivyo fiwa na mama yao.. Still tunapaswa kuipa nafasi akili katika kufikiria vyema pindi tunapofikwa na madhila kama hayo ...

Waweza kufanya tukio ukidhani kuwa unamkomoa mtu kumbe ndio unajiingiza katika mtego wa jehanamu ya ulimwengu tena wewe na family yako yote

Tujitahidi kuepuka kutengeneza matatizo tuache yaje yenyewe kwa mfumo wa nature ya ulimwengu

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi kabisa boss lakini jaribu kuvaa uhusika yani unakuta kidume kipo na mkeo kwenye nyumba yako (DHARAU) hii

pili ni mara ngapi huwa unashirikisha kichwa kifikiri ukipatwa na maswahibu?

Ok tuachane na hayo, Je huyo barmaid ni wakwanza kufanyiwa hivyo baada ya kushikwa ugoni?

Huko kwenu huwa wagoni wanafanyiwa nini baada ya kukamatwa?

Mkuu hii kitu msiiangalie kiwepesi wepesi ikiwa demu tu anauma vipi umkute mkeo? alichofanyiwa huyo dada nafikiri kiwe fundisho kwa wenye tabia kama zake na si jumba bovu limuangukie Agnes

Kama huyo barmaid atakuwa mshindi itakuwa ni kuhalalisha ugoni na hasara ya ugoni haiishii tu kwa mme/mke na watoto pia huathirika
 
Kwenye video yake baadae anasema amepoteza na shanga za kiunoni za bei ghali hii ni indication kwamba ni likahaba ,mchagga anaevaa shanga ni likahaba tu ,wachagga wanavaa eproni ya kuweka pesa tu mamamaeeee
 
kuna braza angu alioa kabinti kadogo tu afu kisu sana,akaanza kuchepuka hakaachii pesa,sasa kuna jamaa wa nyumba ya jirani kumbe anakatamani kila siku kanakataa si mwisho wa siku kalimkubali jamaa ili kapate pesa ya kulisha watoto,mumewe alikua anamaliza hata mwezi yupo kwa michepuko haonekani home
Bora huyo aliyejiongeza kwa jamaa mwingine. Mwingine hataki kusaliti ndoa yake ila ndio akikutana na kiviruge wa ndoa yake lazima amkalishe chupa.
 
Upo sahihi kabisa boss lakini jaribu kuvaa uhusika yani unakuta kidume kipo na mkeo kwenye nyumba yako (DHARAU) hii

pili ni mara ngapi huwa unashirikisha kichwa kifikiri ukipatwa na maswahibu?

Ok tuachane na hayo, Je huyo barmaid ni wakwanza kufanyiwa hivyo baada ya kushikwa ugoni?

Huko kwenu huwa wagoni wanafanyiwa nini baada ya kukamatwa?

Mkuu hii kitu msiiangalie kiwepesi wepesi ikiwa demu tu anauma vipi umkute mkeo? alichofanyiwa huyo dada nafikiri kiwe fundisho kwa wenye tabia kama zake na si jumba bovu limuangukie Agnes

Kama huyo barmaid atakuwa mshindi itakuwa ni kuhalalisha ugoni na hasara ya ugoni haiishii tu kwa mme/mke na watoto pia huathirika
Ni kweli mkuu. Mtu ujiweke upande wa mtendewa inauma sana. Ndio maana tunasikia habari nyingi mwanaume kajinyonga, kajipiga risasi, kaua kisa mapenzi na mara zote ni baada ya kufumania
 
Mbona picha za uchi hatujaona? Na mbona alikiri jamaa alimdanganya hana mke? Na mbona pale palikuwa nyumbani pa mtuhumiwa na sio bar? Na kama jmaaa hakuwa na nia mbaya kwa nn alikimbia. Na hiyo laki 9 na elfu Saba alitembea nayo ya nini ? Ila mtuhumiwa alikosea wacha mahakama isikilize
 
Wewe hujui nakwambia huzijui hasira.
Mimi kwa demu wangu tu nakukata dudu hilo sembuse mke.

Mimi sijui sheria ila wanaojua watanisaidia.
Nimekushika na mke wangu mnafanya ugoni hasira zikanipata balaa nikanyanyua jeki nikakutwisha nayo kichwani ukafa sheria inasemaje?
Itakupongeza na kukupa haki yako
 
Dina usithubutu kushawishika ukafamya hivyo mrembo wangu, ni wachache sana wenye roho nzuri kama Agnes watakaoweza kukuacha unapumua wakikukuta ndani kwao.
Kumbuka ile ni territory ya muhusika uliyemvamia.

Hata hali iwe ngumu vipi bado gesti ni salama zaidi.

Ila kama kweli wameachana ex wife wivu unamsumbua
 
Wanawake na wanaume wenzangu mnaomlaumu Mwalimu Aggy kwa hatua aliyochukua natamani mniambie ukimkuta mtu anazini na mume au mke wako ndani ya nyumba yako tena kwenye kitanda chako ni hatua gani utachukua?

Acheni unafiki katika hili hayupo binadamu wa kuvumilia hilo kwa namna yeyote ile. Haijalishi kuwa alidanganywa lakini vaa sasa viatu vya huyo Mwalimu unamkuta mwanamke mwingine na mume wake kitandani kwake, unategemea awe na hali gani haswa??

Unafiki ni kitu kibaya sana nyie viumbe. Kutwa kuchwa tunasoma visa vya haya magazeti pendwa kwenda kufanya mafumanizi guest house na kuwapiga picha wahusika, hamsemi ni udhalilishaji lakini huyu kwenda kufanya ngono kwenye nyumba ya mwanamke mwenzie ndio mmeona ni uzalilishaji kupigwa picha, vp kuhusu mwalimu Aggy yeye amedhalilishwa kwa kiwango gani?
Hadi mkeo au mmeo anaingiza mchepuko na kulala kwenye kitanda chako jua kitu kimoja Ni dhahiri....penzi limekwisha !!!
Kutakuwa na viashiria viwili vitatu kabla ya tukio hilo amabavyo either ulividharau au ulikuwa mzito kivielewa lakini haitokei hiyo kitu overnight.

Sent
 
Kuna watu wanajitoa ufahamu mkuu alichokifanya Agnes ndio huwa kinafanyika baada ya fumanizi

Umfumanie mke/mme halafu umwache we ni chizi kuliko hata mzee baba VICENT na ticha Agnes anastahili pongezi kwa maana kumtetea huyo MWIZI ni sawa na kuhalalisha uzinzi
Sio dunia ya sasa mkuu unaeza ukafumania na ukachukua hatua ambazo zitakupeleka Jela vile vile,
Sheria zimebadilika Sana siku hizi tusidanganyane,
Ukisalitiwa the best option ni ku move on,

Sent
 
Back
Top Bottom