Moshi: Aliyepigwa kwa kudaiwa kufumaniwa amliza Mkuu wa Mkoa

Muonekano tu wa huyo wanaemtetea unatia mashaka haya kaiba bwana wa mtu leo anakuja na drama ya kumuibia tena hela Agnes kupitia visheria koko

Na ukiangalia wengi wanaotetea hapa ni wachepukaji na inabidi wajue ukikamatwa na AGNES either utatinduliwa mtaro ikiwezekana mtungo kabisa au kipigo heavy

Hatuhalalishi uzinzi hongera AGNES we ni shujaa
Wanatetea uzinzi, hata huko kwenye sheria atapata msaada, ukikutana nao ni kipigo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake na wanaume wenzangu mnaomlaumu Mwalimu Aggy kwa hatua aliyochukua natamani mniambie ukimkuta mtu anazini na mume au mke wako ndani ya nyumba yako tena kwenye kitanda chako ni hatua gani utachukua?

Acheni unafiki katika hili hayupo binadamu wa kuvumilia hilo kwa namna yeyote ile. Haijalishi kuwa alidanganywa lakini vaa sasa viatu vya huyo Mwalimu unamkuta mwanamke mwingine na mume wake kitandani kwake, unategemea awe na hali gani haswa??

Unafiki ni kitu kibaya sana nyie viumbe. Kutwa kuchwa tunasoma visa vya haya magazeti pendwa kwenda kufanya mafumanizi guest house na kuwapiga picha wahusika, hamsemi ni udhalilishaji lakini huyu kwenda kufanya ngono kwenye nyumba ya mwanamke mwenzie ndio mmeona ni uzalilishaji kupigwa picha, vp kuhusu mwalimu Aggy yeye amedhalilishwa kwa kiwango gani?
Hiki kitu kimenishangaza sana kutetea uovu kuna kesi za bila kukusudia atapewa Mwl kwanza HAJAMKAFUA vizuri ilitakiwa amharibu kabisa sebule

Kuna watu wanajitoa ufahamu mkuu alichokifanya Agnes ndio huwa kinafanyika baada ya fumanizi

Umfumanie mke/mme halafu umwache we ni chizi kuliko hata mzee baba VICENT na ticha Agnes anastahili pongezi kwa maana kumtetea huyo MWIZI ni sawa na kuhalalisha uzinzi
 
Kaacha watoto wake huko 3 anakuja kulala nyumbani kwa mchepuko tena ana mke wamemnyoosha kama angekuwa na hizi laki 9 si angemwambia huyo hawala wakalale hata guest bubu, mwache anendelee kuzungushwa huko atawapata wengi huko

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo na wengine wote wenye tabia kama yake inabidi wajue kuwa MWIZI adhabu yake ni kifo kuna muda sheria ni kama pambo

umemfumania mtu wako eti uanze kuwaza udhalilishaji unamwacha MWIZI wako huo utakuwa ni ufala tena ni mme/mke bwege
 
Watu kila kukicha wanauana kisa mapenzi tena wengine kwa kusikia tu sasa umkute ndani kwako kitandani, mlitaka aanze kusali au! Mnachoma wake zenu mpaka magunia ya mkaa, hapo kwasababu ni mwanamke eti kashindwa kumdhibiti mmewe upuuzi mtupu Mwl angeenda kwanza na upupu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kunya anye kuku akinya bata kahalisha!
 
Hiki kitu kimenishangaza sana kutetea uovu kuna kesi za bila kukusudia atapewa Mwl kwanza HAJAMKAFUA vizuri ilitakiwa amharibu kabisa sebule

Sent using Jamii Forums mobile app

Kesi ya kijinga kabisa, mkuu wa mkoa na hadhi yake tena akiwa na yeye ni mwanamke ameuvaa kabisa mkenge na kutamka kuwa walikuwa wanafanya biashara. biashara gani inafanyika chumbani kwa wanandoa wengine?

Hii imekaa vibaya na ni aibu mno kwa upande walioamua kuuchagua. Bora wangeyaacha yaishe kimya kimya.

Kwangu mimi ingekuwa ni vyema hao wanawake RC na huyo Kiria wangejaribu kwanza kuvaa viatu vya huyo mwalimu kabla ya kuamua kuchagua huo upande wa huyo muuza bar.
Atleast wangebalance pande zote mbili na kumuona Mwalimu Agnes kama binadamu mwingine yeyote hilo lingeweza kumfanya akafanya maamuzi yeyote ya hasira hata kupelekea kuua.

Mimi ningemshauri Mwalimu Agnes kama wameamua kumwaga mboga na yeye amwage ugali. Kama kweli alimkuta huyo mwanamke ndani kwake anaweza pia ku claim wizi umetokea ndani kwake. Vip naye akisema aliacha milioni 30 chumbani kwake alikomkuta huyo mwanamke na sasa hazipo?
 
Huyo na wengine wote wenye tabia kama yake inabidi wajue kuwa MWIZI adhabu yake ni kifo kuna muda sheria ni kama pambo

umemfumania mtu wako eti uanze kuwaza udhalilishaji unamwacha MWIZI wako huo utakuwa ni ufala tena ni mme/mke bwege
Tena ufala mkubwa, tena inaoneka ni muda wako naye huyo bwana, hivi unaanzaje kuchart na mtu siku 2 tu uende kwake jitu zima vile, walimzarau sana Mwl Agnes, wangemtoa Meno yake ya mbele ili iwe kumbukumbu yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado haifuti kuwa Agnes ni shujaa, unakuta mke/mm3 wako anapiga/anapigwa mambo halafu utulie tu huo ni ubwege kiwango cha SGR mzee na alichokifanya AGNES si chaajabu hivyo ndio wachepukaji huwa wanatendewa huku kitaa

Jela hata mashujaa hukaa rejea kwa MANDELA sasa ni shujaa AGNES
Umpelekee ugali usiishie kumuita shujaa mitandaoni,

Stresses za ndoa zinawapeleka puta sana hadi mnajitoa thamani zenu.
 
Kwenye video ya huyo mama wakati anadhalilishwa kuna kitu cha msingi cha kujifunza hapo.

Mama aliyedai kufumania, hakumpa nafasi ya kujieleza aliyemfumania zaidi ya kumtia uoga na kumtandika. Katika maelezo yake ya mwanzo na ya sasa anaongea kitu kimoja japo yaweza kuwa maudhui tofauti.

Anasema yule bwana alimwambia hana mke. ( huku anasema aliambiwa hivyo baada ya kuuliza kutokana na mipango yao ya biashara kitu ambacho kiko sawa ) mm kwa mtizamo mpana zaidi endapo Polisi watatulia na kukusanya ushahidi kwa kina kupitia simu kujua mawasiliano yao toka mwanzo.

Wakiwapata watuhumiwa nao pia kuchukua simu zao kwa ajili ya kufanya upelelezi naamini kuna kitu kikubwa kitabainika hapo maana nikimsikiliza huyo mama jinsi alivyosisitizwa kuchukua pesa na yule bwana, jinsi yule bwana alivyochoropoka, jinsi huyu mama alivyochukuliwa pesa, mmmmh naiona mipangomipango ya utafutaji pesa kila kukicha.
 
Kesi ya kijinga kabisa, mkuu wa mkoa na hadhi yake tena akiwa na yeye ni mwanamke ameuvaa kabisa mkenge na kutamka kuwa walikuwa wanafanya biashara. biashara gani inafanyika chumbani kwa wanandoa wengine?

Hii imekaa vibaya na ni aibu mno kwa upande walioamua kuuchagua. Bora wangeyaacha yaishe kimya kimya.

Kwangu mimi ingekuwa ni vyema hao wanawake RC na huyo Kiria wangejaribu kwanza kuvaa viatu vya huyo mwalimu kabla ya kuamua kuchagua huo upande wa huyo muuza bar.
Atleast wangebalance pande zote mbili na kumuona Mwalimu Agnes kama binadamu mwingine yeyote hilo lingeweza kumfanya akafanya maamuzi yeyote ya hasira hata kupelekea kuua.

Mimi ningemshauri Mwalimu Agnes kama wameamua kumwaga mboga na yeye amwage ugali. Kama kweli alimkuta huyo mwanamke ndani kwake anaweza pia ku claim wizi umetokea ndani kwake. Vip naye akisema aliacha milioni 30 chumbani kwake alikomkuta huyo mwanamke na sasa hazipo?
Badala wamuulize biashara gani ndani chumbani kwa mtu tena usiku, labda hawajahi olewa kama huyo mdada ndoa yake si alishasaidiwa na wajanja mbona kashindwa kuipambania iwe imara kaamua kudeal na wachepukaji kwenye ndoa za watu, mara nyingi amabao huolewa na waume za watu hajawahi olewa huwa mbele kutetea ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanaharakati wa Haki za Wanawake hapa nchini Joyce Kiria the super woman pamoja na Juma Raibu diwani wa Boma Mbuzi Manispaa Moshi wamsaidia mwanamke aliye daiwa kufumaniwa na mume wa mtu kupata matibabu

Akizungumza Mara baada kutembelewa nyumbani kwake Msaranga wilani Moshi Mkoani Kilimanjaro mwanamke Huyo Venna Esau Kimaro amesema kwamba Kwa jitihada za Joyce na Raibu zimefanikisha yeye kupata matibabu Mara baada kufuatilia jambo hilo kwa umakini na ukaribu zaidi

Amesema kwamba Joyce na Diwani huyo walifika kwa mwenyekiti wa kamati ya ulizi na usalama Mkoa kilimanjaro ambaye pia ni mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Mama Anna Mghwira na kumtembelea nyumbani kwako eneo la Msaranga Moshi Kilimanjaro kwa lengo la kumjulia hali na baadae kuagiza kupelekwa hospital ya Rufaa Mawezi kupata matibabu ambapo ameagiza mganga mkuu kumuhudumia mpaka apone

Venna alikanusha mbele ya mkuu wa mkoa na kamanda wa polisi wa mkoa wa kilimanjaro kwamba akufumaniwa na mume wa mtu Bali kilicho jitokeza Kwa mwanamke Huyo ni kumvamia wakati akiwa eneo la nyumba ya Biashara Bar akiwa na mwanaume uyo wakipanga biashara ya kumpangishia eneo la kufanyia biashara ya vinywaji bar

Amesema kwamba bila kuulizwa chochote alivamiwa na mwanamke alijulikana kwa jina la Agnes Mushi ambaye pia ni Mwalimu wa Shule binafsi itwayo Norther Highland iliyopo Moshi Mkoani Kilimanjaro

Wakati naendelea kuongea na mwanamke huyo alinivamia na kuanza kunipiga huku akishirikiana na mwezie walinipiga na kunivua Nguo zote na kubaki uchi na kunipigia Picha za video nikauliza kosa langu nini na kusema kwamba natembea na mwanaume wake jambo ambalo sio kweli nilikua na mazungumzo na Huyo bwana Juu ya kufungua Biashara ya bar na kusema kwamba mwalimu huyo pia alimwibia fedha kiasi cha shilingi laki Tisa na elfu saba alisema Venna

Mara baada ya kueleza tukio hilo alipelekwa hospital na gari la Polisi huku kamanda Polisi Mkoa Kilimanjaro aliwataka watuhumiwa kujitokeza kwani tuko hilo ni la jinai na msako wa kuwatafuta walipo kimbilia mwanamke Huyo na mumewe unaendelea

Amesema walio husika katika tuko hilo kumdhalilisha mwanamke huyo na kumpiga video wote watakamatwa na kuwaonya wananchi kujichukulia Sheria mkononi

Kwa upande wa mkuu wa mkoa amewataka Wanawake kuacha tabia ya kuisi Wanawake mwezao kwamba muda wote wakiwa na wanaume wanaendekeza mapenzi kwani kilicho tokea Kwa Mwananchi Huyo sio fumanisi Bali ni mazungumzo ya kibiashara

Mkuu wa Mkoa ameagiza Polisi kuwatafuta watuhumiwa wote wawili usiku namchana na kufikishwa mahakamani na kujibu tuhuma za kumpiga na kuzalilishaji ktk mitandao ya kijamii

View attachment 1459485View attachment 1459486View attachment 1459487View attachment 1459488View attachment 1459489
Dh
 
Back
Top Bottom