Moshi: Aliyepigwa kwa kudaiwa kufumaniwa amliza Mkuu wa Mkoa

Acha sheria ichukue mkondo wake alifumaniwa hakufumaniwa haijalishi kwa namna walivyompiga na kumdhalilisha waende wakapambane magereza kwa walioazima akili maana watawatenda kweli

Mwanaume akicheat tambua kuna mahali unakosea kama Mama Mwenye Nyumba
Ona sasa wawili hao wanaishi kama digidigi
Asilimia kubwa ya wanaume hucheat hata kama hakuna tatizo lolote kwenye ndoa zao.
Kucheat ni hulka ya mwanaume. Mwanamke yakubidi umdhibiti mmeo asifanye hadi iwe kituko mtaani.
Udhalilishaji wa aina ile kwa mwanamke mwenzie ni ulimbukeni kwasababu hata yeye ndoa inaweza kumshinda muda wowote na akajikuta nayeye baadae anakuwa na mpenzi ambae ni mme wa mtu.
Kanuni inasema genye ni shurti zitulizwe kwa me na ke kupiga game.

Atalipishwa mamilioni kwa ushamba wake.
Anza na hiyo laki tisa + kuumizwa + kudhalilishwa + kuharibiwa biashara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaomlaumu huyu mama kwanini mwanzoni alikiri ku cheat na mume wa mtu vile alimuambia hajaoa.Niwaambie hivi kuna stage binadamu inabidi akiri jambo kuokoa maisha yake.Mtu anaweza kukiri jambo polisi kuogopa kipigo mahakamani akageuka akamuambia mhe hakimu nililazimishwa maana nilikuwa kwenye kipigo hakimu wanajua haya.
Nimeona video ya udhalilishaji wa huyu mama nimeumia mno.Enyi wanawake ukiona mumeo ana cheat jitathimini wewe kwanza.kibiolojia mwanaume hakuumbiwa mke mmoja na ndio maana kwenye zizi dume mmoja wa ng'ombe anahudumia majike 30 ni vitabu vya dini tu ndio vimekataza.Nabii Selemani asingeoa wake wengi wengine tusingekuwa duniani.
Kwanza wanawake wa kabila la huyu mama aliyemdhalilisha mwenzake ni hopless kabisa kwenye mambo ya mapenzi wao wanawaza tu hela na viwanja na waume zao wengi wana michepuko hilo alijue kwanza alikuwa anasaidiwa angemshukuru yule dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HASIRA HASARA, TAFAKARI MATOKEO NA ATHARI ZA MATENDO YAKO KABLA KUTENDA, MAJUTO NI MJUKUU

Wakati mnajadili hili jambo wekeni hisia zenu pembeni na muangalie ukweli na uhalisia. Kabla kufanya jambo lolote ni vema kutafakari matokeo na athari zake kabla, vinginevyo utakuja kujuta. Jiulize nikifanya hivi napata faida gani na ili iweje? Hata una hasira kiasi gani, jiulize sana sana, sio kwa hili tu hata maisha yako ya kawaida.
Ukiitazama video kwa makini utagundua kwamba ' mwanamke mwenye mume' alikuwa na hasira kali sana, hata kuna wakati aliishiwa maneno ya kuongea na inaonekana asingezuiliwa alikuwa tayari 'kufanya lolote', kwa maelezo yake ana hasira na mume wake, ana hasira na maisha yalivyo magumu, na pia 'mgoni' wake, yaani ana 'frustrations' nyingi, alikuwa na hasira iliyosababisha awe na jazba kali, na yawezekana anashindwa hata kufikri vizuri.

Hasira, mihemko na frustrations zake halihalalishi kufanya alichofanya. Kosa alilofanya ni kumdhalilidha mwanamke mwenzake kwa kumpiga, kumtishia uhai wake, na sio tu kumpiga picha ya video bali hadi kuirusha duniani kila mtu aione, hili ni kosa la jinai na bahati mbaya ushahidi upo tena kauweka yeye mwenyewe - yaani kafanya kosa halafu akaweka na ushahidi. Yaani hasira zake za fumanizi (ingawa hakuna ushahidi wa moja kwa moja) zinalingana kweli na udhalilishaji alimfanyia mwenzake?. Sawa, tunaweza kumuonea huruma sana tu, lakini ukweli unabaki kwamba amechukua sheria mkononi, hivyo sheria inabidi ifuate mkondo, si ndio?

Kwa sasa haijalishi kama kweli alilala na mume wa mtu ama la, haijalishi kama alikiri kwenye video ama la, (Anaweza kusema, alikiri ili kuokoa maisha yake kwasababu ya pressure ya kipigo na vitisho, , lakini si kweli na hakuna ushahidi), ili uthibitishe 'ugoni' unahitaji ushahidi wa mwanaume na mwanamke wakitenda tendo, sasa yule mwanaume yuko wapi??!!

Nafasi ya mumewe kwenye tatizo hili iko wapi hapa?
Je udhalilishaji alioufanya utafuta kilichotokea kati ya mumewe na huyu mwanamke?
Je, litamzuia mumewe kutotafuta mwanamke mwingine? Si ajabu tangu tukio mwanaume ameshapata mwingine ili apooze machungu!
Alichofanya kitamfanya mumewe amrudie kwa mapenzi moto moto kama walivyokuwa zamani?
Alichofanya ni njia sahihi ya kutatua mgogoro wa ndoa kati yake na mumewe?

Kwa hapa ilipofika kosa alilofanya yeye kwa mwanamke mwenzake lina uzito zaidi na linaweza nkumtia hatiani kuliko alilofanyiwa yeye.

Kuna mengi ya kujifunza lakini kubwa ni; 'Hasira Hasara 'tutafakari matokeo na athari zake' kwanza kabla kutenda, vinginevyo itakuwa 'majuto ni mjukuu'
 
Huyoo dada alimbaka huyoo mume wa mtu??? Yani mwanaume amtongoze huyoo dada ampeleke adi nyumbani anapoishi walale alafu ujee usemee huyoo mfumaniwa ndo anamakosa??? Kwanini asingemdhalilisha na mumewe??
Hakumbaka lakini kitendo cha kwenda kulala na mwanaume kwenye nyumba ambayo ni matunda na mke wake ni dharau

Kwajinsi alivyobadiri maelezo yake mwenyewe kwa Millard Ayo imethibitisha ni muongo na muongo haaminiki inathibitisha alikuwa anajua yule ni mme wa mtu lakini DHARAU ikamponza

Mwisho niseme sijaona cha ajabu yeye kupigwa(Ashukuru Agnes anahuruma ajamuua) kitaa wezi wa wake/ume wa watu hicho ndio hukipata na akome
 
HASIRA HASARA, TAFAKARI MATOKEO NA ATHARI ZA MATENDO YAKO KABLA KUTENDA, MAJUTO NI MJUKUU

Wakati mnajadili hili jambo wekeni hisia zenu pembeni na muangalie ukweli na uhalisia. Kabla kufanya jambo lolote ni vema kutafakari matokeo na athari zake kabla, vinginevyo utakuja kujuta. Jiulize nikifanya hivi napata faida gani na ili iweje? Hata una hasira kiasi gani, jiulize sana sana, sio kwa hili tu hata maisha yako ya kawaida.
Ukiitazama video kwa makini utagundua kwamba ' mwanamke mwenye mume' alikuwa na hasira kali sana, hata kuna wakati aliishiwa maneno ya kuongea na inaonekana asingezuiliwa alikuwa tayari 'kufanya lolote', kwa maelezo yake ana hasira na mume wake, ana hasira na maisha yalivyo magumu, na pia 'mgoni' wake, yaani ana 'frustrations' nyingi, alikuwa na hasira iliyosababisha awe na jazba kali, na yawezekana anashindwa hata kufikri vizuri.

Hasira, mihemko na frustrations zake halihalalishi kufanya alichofanya. Kosa alilofanya ni kumdhalilidha mwanamke mwenzake kwa kumpiga, kumtishia uhai wake, na sio tu kumpiga picha ya video bali hadi kuirusha duniani kila mtu aione, hili ni kosa la jinai na bahati mbaya ushahidi upo tena kauweka yeye mwenyewe - yaani kafanya kosa halafu akaweka na ushahidi. Yaani hasira zake za fumanizi (ingawa hakuna ushahidi wa moja kwa moja) zinalingana kweli na udhalilishaji alimfanyia mwenzake?. Sawa, tunaweza kumuonea huruma sana tu, lakini ukweli unabaki kwamba amechukua sheria mkononi, hivyo sheria inabidi ifuate mkondo, si ndio?

Kwa sasa haijalishi kama kweli alilala na mume wa mtu ama la, haijalishi kama alikiri kwenye video ama la, (Anaweza kusema, alikiri ili kuokoa maisha yake kwasababu ya pressure ya kipigo na vitisho, , lakini si kweli na hakuna ushahidi), ili uthibitishe 'ugoni' unahitaji ushahidi wa mwanaume na mwanamke wakitenda tendo, sasa yule mwanaume yuko wapi??!!

Nafasi ya mumewe kwenye tatizo hili iko wapi hapa?
Je udhalilishaji alioufanya utafuta kilichotokea kati ya mumewe na huyu mwanamke?
Je, litamzuia mumewe kutotafuta mwanamke mwingine? Si ajabu tangu tukio mwanaume ameshapata mwingine ili apooze machungu!
Alichofanya kitamfanya mumewe amrudie kwa mapenzi moto moto kama walivyokuwa zamani?
Alichofanya ni njia sahihi ya kutatua mgogoro wa ndoa kati yake na mumewe?

Kwa hapa ilipofika kosa alilofanya yeye kwa mwanamke mwenzake lina uzito zaidi na linaweza nkumtia hatiani kuliko alilofanyiwa yeye.

Kuna mengi ya kujifunza lakini kubwa ni; 'Hasira Hasara 'tutafakari matokeo na athari zake' kwanza kabla kutenda, vinginevyo itakuwa 'majuto ni mjukuu'
Umeishi kwenye familia ambayo baba au mama anatoka nje ya ndoa?
Unajua matokeo yake huathiri mpaka watoto?
Kuwa na uhusiano na mme/mke wa mtu ni halali?
Unajua matokeo ya fumanizi ni nini?
Wanasheria uchwala mshaanza umate tulizeni tu huyo malaya alichokuwa anakitafuta kakipata na
Alichokipata huyo malaya mzee ni kidogo ilitakiwa afe kabisa ashukuru Agnes anahuruma kamuachia
 
mkuu kama hamjui ni hivi,yule aliyempiga anasukiwa kosa,hii iwe funzo hata kwa sisi member katika jamii unayoishi usijichukulie sheria mkononi maana mwishowe unayemshambulia anaweza kukugeuzia kibao

Sent from my iPhone using JamiiForums
Na mipango imekamilika atakula miaka 3 ama....
 
Back
Top Bottom