Moshi: Aliyepigwa kwa kudaiwa kufumaniwa amliza Mkuu wa Mkoa

Ila kwenye video alikiri kuwa alikuwa na mahusiano na mume wa mtu, sasa sijuikama sheria zetu zinakataza mtu kuwa na mahusiano na mume au mke wa mtu.

Ila kumpiga mtu ni kosa kisheria.
 
Maelezo ya video ni tofauti , ila bado Ni kesi ya jinai kwa aliye mpiga.

Sent
 
Acha sheria ichukue mkondo wake alifumaniwa hakufumaniwa haijalishi kwa namna walivyompiga na kumdhalilisha waende wakapambane magereza kwa walioazima akili maana watawatenda kweli
Mwanaume akicheat tambua kuna mahali unakosea kama Mama Mwenye Nyumba
Ona sasa wawili hao wanaishi kama digidigi
Paukwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kwenye video yeye mwenyewe anakiri kuwa huyo Mwanaume alimwambia kuwa hajaoa?

Sent using Jamii Forums mobile app
huyu bibie atakuwa msanii.alichoongea kwenye video nitofauti kabisa...
Basi tufanye ni kweli. Sasa, mnadhani basi hata kama ni kweli.... Je, ule udhalilishaji alio fanyiwa ni adhabu sahihi?

Hata basi Kama ni adhabu sahihi, je huyo mwalimu anahaki ya kumuhukumu ama kuadhibu mwenye makosa?
 
I smell something fishy...sikubaliani na udhalilishaji aliofanyiwa huyu dada but huyu dada nae anaonekana ni muongo na msanii...ukiangalia maelezo aliyotoa kwenye ile video na ichi anachoongea hapa ni vitu viwili tofauti,sijui kwanini mi mtu akifanyiwa ukatili alafu akaanza kuongea uongo na nikigundua huwa naanza kumchukulia tofauti
 
Pale alikuwa amebanwa ndiyo maana. Lakini huyu dada hana tabia hiyo ya kutembea na wanaume za watu.
mbona kwenye mazungumzo ya kwenye video ilionekana alilala kabisa hapo nyumbani ndo akakutwa na mwenye mume akadakwa na ni kutokana na maelezo yake...kwanini abadilishe maelezo,maelezo yake ilitakiwa yabaki vilevile kuwa hakujua kama ni mume wa mtu so sio kosa lake..hii kuanza kubadilishabadilisha maelezo inaanza kuonesha kuwa ni msanii na wakati anatembea nae huenda alikuwa anajua kabisa huyu ni mme wa mtu
 
Jitu linalobadiri badiri maneno kama kinyonga linastahili kabisa kibano

Kutetea jitu linalolala na mke/mme wa mtu ni kuhalalisha uzinzi

Yeye si wa kwanza kutendewa hivyo vitu na ndio mfumo wa maisha yetu watizedi yani hivi vihuruma huruma vya hawa wakina KIRIA ambao ndoa zimewashinda tutaharibu jamii... Aachwe augulie kwasababu hayo ndio malipo ya uzinzi
 
Back
Top Bottom