Aliyepanda treni ya Dar - Moshi aje atupe mawili matatu

Haswa wenye mabasi wajipange mno
Nadhani mzuka wa watu kupanda na huduma bora ni sababu ya kipindi cha mwanzo. Mi sidhani kama hawa wataleta eti competition ya kutisha kwa mabasi, labda kuyasaidia tu kipindi hiki cha mwisho wa mwaka
Kwa sababu gani? Ukicheki nauli zake hazijatofautiana sana na za mabasi halafu zinasafiri masaa 19
 
Wanafunzi wanaosoma mkpani humo ni marufuku kupanda mabasi tunataka watumie treni zetu tutakuwa na behewa special rha wanafunzi :p
 
Kwani mpaka treni za saivi haya mambo bado yapo mkuu ya kujisaidia kinyesi kinaenda ardhini na kama bado yapo huo si ni uchafuzi wa mazingira, maana zamani walikuwa wanavizia treni ikifika porini ndio watu wanaruhusiwa kujisaidia ila saivi mapori hakuna watu wanaishi takribani kila sehemu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe nashangaa, uchafu mtupu..ptuu
 
Back
Top Bottom