BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 7,465
- 16,752
Kati ya vitu ambavyo havijawahi kunifikirisha ni shikamoo.. Kwa wadogo kwangu aniamkie, asiniamkie yote saw na kwa wanaonizidi ntakuangalia kwanza kama una umri sawa na wazazi wangu ntakuamkia ila ukiwa chini ya hapo ntakwambia za hizi ukishtuka ukanambia we kijana em nipe heshima yangu mi silingani na wewe hapo ntakuamkia.. Niko hivo kwanza mi ni wale jamaa ambao utotoni tulikuwa tunasifika kwa kutosalimia wageni