Aliyenipa jina la Mreno

Mreno17

Member
May 13, 2013
8
3
Huyu jamaa anaitwa Ally a.k.a Pwiru au 50 Cent.. Huyu jamaa ndiye aliyenipa jina la Mreno akiwa katika hali hiyo hiyo kama anavyoonekana kutokana na uwezo wangu wa kupachika mabao. Jina likapata Exposure kubwa tu na ya kutosha ktk medani ya soka. Jamaa alikuwa "boxer" mzuri sana, Thomas Mashali anamjua vzr na hawezi kusimama nae ulingoni kutokana na uzito wa ngumi zake. Dah! Kipaji hiki kimepotea.. ROHO INANIUMA SANA.
 
8aedfecdd10514cc535a7f8c80381357.jpg
 
208bb445a403c8ea65c1dbb953063628.jpg
 
amepatwa na uchizi au imekuaje? Ulimfahamuje? Anapatikana wapi? Unahisi ana tatizo gani na kwa muda gani? Hebu weka details huenda akatokea mtu akamsaidia kimatatibabu bhana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom