Aliyenibaka nikibahatika kukutana naye nimpe zawadi gani?

Nikiwa na miaka 13 waliingia majambaji nyumbani hawakuchukua kitu chochote bali walimbaka mama wakamalizia na mimi, baba hakuwepo alikuwa masomoni uingereza, siwezi kuisahau siku hiyo iliyoninyang'anya ubikira wangu tena kwa maumivu makali. Sasa hivi nasoma digree ya sheria na malengo yangu nufikie kuteuliwa kuwa jaji natamani sana nikutane na mtu huyo aliyenipufua, wana Jf nisaidieni nitakapokua jaji na huyo aingie kizimbani nimfanyeje?

Uwe mpenzi wangu halafu nitamtafuta mimi nakuapia kwa jina lako kuwa nitampata uniambie tu ilikuwa wapi na mwaka gani, nitakutunza pia!
 
Usilipize baya kwa baya,ukikutana na mtu kama huyo mpe hukumu according the law,au ikiwezekana mpe second chance,am sure this time utasikia raha (joke)

Mkuu, hii kauli ya usilipize baya kwa baya kwangu imepitwa na wakati.
Mfano huyu dada hadi leo hajaweza kusahau kitendo alichofanyiwa!!
Kuna baadhi ya watu huwa wanadhamiaria kutendea wenzao ubaya. Je hao utawaweka kundi gani?!
Kwangu if you cross my line..,ni mwendo wa jicho kwa jicho au jino kwa jino!
All in all usimtendee mwenzio kile ambacho hutaki/hupendi kutendewa!
 
Mshukuru Mungu kwa kila jambo. Mungu angetuhukumu kama unavyotaka unafikiri tungekuwa wapi? Ni kweli unaumia ila lazima utimize sharti kuu la kusamehe ili na wewe usamehewe.

Huyo alishapata adhabu yake hata kama hukumuona akifanyiwa.

Mungu akutie nguvu. SEMA AMEN
 
Nikiwa na miaka 13 waliingia majambaji nyumbani hawakuchukua kitu chochote bali walimbaka mama wakamalizia na mimi, baba hakuwepo alikuwa masomoni uingereza, siwezi kuisahau siku hiyo iliyoninyang'anya ubikira wangu tena kwa maumivu makali. Sasa hivi nasoma digree ya sheria na malengo yangu nufikie kuteuliwa kuwa jaji natamani sana nikutane na mtu huyo aliyenipufua, wana Jf nisaidieni nitakapokua jaji na huyo aingie kizimbani nimfanyeje?

Pole mdada kwa yaliyokukuta, ukimpata aliyekubaka unamfunga miaka 30 kama kawaida, ila kule magereza atakapokuwa unahakikisha kila siku na yeye ANABAKWA!!!!
 
Bahati mbaya sana mahakama ZOTE hugawa HAKI lakini hazigawi AMANI. Hata angehukumiwa adhabu mbaya kiasi gani that will not leave you at peace. Na ndiyo maana naikubali FALSAFA ya YESU ya KUSAMEHE maana mtendaji wa kosa hilo in the real sense hajui alitendalo. Wanaojua wanayoyatenda hawafanyi ushenzi kama huo. Nawasilisha!
 
Nikiwa na miaka 13 waliingia majambaji nyumbani hawakuchukua kitu chochote bali walimbaka mama wakamalizia na mimi, baba hakuwepo alikuwa masomoni uingereza, siwezi kuisahau siku hiyo iliyoninyang'anya ubikira wangu tena kwa maumivu makali. Sasa hivi nasoma digree ya sheria na malengo yangu nufikie kuteuliwa kuwa jaji natamani sana nikutane na mtu huyo aliyenipufua, wana Jf nisaidieni nitakapokua jaji na huyo aingie kizimbani nimfanyeje?
Pole sana bibie;
Itabidi utende haki kulingana na shauri litakalokuwa mbele yako. Ukikumbuka ya zamani ukatoa hukumu kwa hasira jamii haitakuelewa hata kidogo kwa kuwa si kila mtu utamtafuta na kumwambia kuwa ulibakwa utotoni.

Jingine kuna uwezekano huyo alokubaka alishakufa, labda la kuongelea hapa ni kubadili adhabu ya wabakaji.
 
Najua wakati huo nitakapokuwa nimemaliza degree ya uzamili na miaka kumi yangu ya uwakili itakuwa ni ndani ya awamu ya sita ya uongozi wa taifa letu, naamini pia itakuwa ni serikali inayofuata sheria na haki za binadamu, hapa siyo suala la kisasi mbakaji yeyote atalipiza maumivu niliyoyapata, huo ulikuwa ni unyama kwani mama hakuwa amemtosha tena tunabakwa mbele ya kaka zangu wakiona na wakiwa wameshikiwa pisto sikioni, walahi asitokee mbele yangu atakuwa halali yangu.

i smell, ulipizaji kisasi hapa...muulize mama yako vizuri, inawezekana hao wabakaji walikuja kwa lengo moja tu la kulipiza kisasi kwa jambo fulani...pole sana hata hivo. Jitahidi kusahau haya..maana yataendelea kuku-umiza moyo wako.
 
Aisee, wanaoleta masihara/matani humu ndani please exit to the left. Huwezi kulinganisha maumivu ya kubakwa na maumivu ya kufanya mapenzi kwa hiari yako. Kumbuka kwamba alikuwa na umri mdogo , mama yake alibakwa, na ilikuwa mbele ya kaka zake so hapo tena unakuwa traumatized zaidi.
Whether or not this is a true story (sababu huwezi kuwa jaji kwenye kesi yako mwenyewe) I am a firm believer in karma. Angalieni sana msije leta matani hapa wakati una dada zako, mama, shangazi na mabinti nyumbani. Huwezi kumuambia mtu aache kulalamika kisa alipona (hakupata UKIMWI). Kimwili alipona ndio, lakini kupona kisaikolojia ni kitu kingine kabisa.
 
Do you know him?, will you recognize him in case you meet him by chance?

Kama ndio sioni sababu ya kusubiri mpaka uwe jaji
 
Nikiwa na miaka 13 waliingia majambaji nyumbani hawakuchukua kitu chochote bali walimbaka mama wakamalizia na mimi, baba hakuwepo alikuwa masomoni uingereza, siwezi kuisahau siku hiyo iliyoninyang'anya ubikira wangu tena kwa maumivu makali. Sasa hivi nasoma digree ya sheria na malengo yangu nufikie kuteuliwa kuwa jaji natamani sana nikutane na mtu huyo aliyenipufua, wana Jf nisaidieni nitakapokua jaji na huyo aingie kizimbani nimfanyeje?

Ukimuuliza baba yako intelligently utawajua tu waliopanga mchongo huo........maana hiyo ilikuwa ni salam kwake! Haiingii akilini watu kuja nyumbani na bastola kisa kugonga 'k' tu. Ni dhahiri mzee wako alihusika kwenye deal ambalo either liliwauza wenzake au alidhulumu. Laiti wangemkuta yeye, yote yangeishia kwake au wangemvunja fuvu la kichwa...!
 
Wimbo please naomba tutete PM!please mamie!
Snowhite umesema tutete honesty both Mama nor Dad we do not know them and why did they do that. After O' level I went to Malian High school, my combination was science in PCM and I did well but I opted to take law and due to my good performance in O' level in art subjects thank God they accepted me. In future nataka niwatetee wanawake dhidi ya unyama huu. Kwamba sintokutana nae au la Mungu ana miujiza yake hukuonalast Sunday Mama aliyemtelekeza mwanae ndani ya daladala anamkuta yuko kwenyeMaisha plus tena very successful. Mtume Paulo anasema furahini kwa kila jamboPhilipians 4:4 lakini ubinadamu uko pale pale. mnanifanya kulia ninyi mnaosema nikikutana naye nimlazimishe anioe Mhuuu, sawa bwana na ninyi yatawatokea siku moja.
 
Back
Top Bottom