Aliyenibaka nikibahatika kukutana naye nimpe zawadi gani?

Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
630
500
Nikiwa na miaka 13 waliingia majambaji nyumbani hawakuchukua kitu chochote bali walimbaka mama wakamalizia na mimi, baba hakuwepo alikuwa masomoni uingereza, siwezi kuisahau siku hiyo iliyoninyang'anya ubikira wangu tena kwa maumivu makali. Sasa hivi nasoma digree ya sheria na malengo yangu nufikie kuteuliwa kuwa jaji natamani sana nikutane na mtu huyo aliyenipufua, wana Jf nisaidieni nitakapokua jaji na huyo aingie kizimbani nimfanyeje?
 
Smile

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
15,367
1,250
pole sana jamani
kubakwa bila ridhaa yako inauma sana kwa kweli,
naomba mungu anipitishie mbali maana wanawake tuna majaribu mengi.
akiletwa mbakaji yoyote hapo mpe hukumu ya ...
 
Nivea

JF-Expert Member
May 21, 2012
7,461
2,000
nikiwa na miaka 13 waliingia majambaji nyumbani hawakuchukua kitu chochote bali walimbaka mama wakamalizia na mimi, baba hakuwepo alikuwa masomoni uingereza, siwezi kuisahau siku hiyo iliyoninyang'anya ubikira wangu tena kwa maumivu makali. Sasa hivi nasoma digree ya sheria na malengo yangu nufikie kuteuliwa kuwa jaji natamani sana nikutane na mtu huyo aliyenipufua, wana jf nisaidieni nitakapokua jaji na huyo aingie kizimbani nimfanyeje?
pia kumbuka hayo sio maadili ya kazi yako unatakiwa uhukumu sawasawa NDUGU YANGU POLE KWA MKASA HUO ,SWALI JE UTAMPATA WAPI ,JE KAMA UNAMFAHAMU WALA USIMFIKISHE MAHAKAMANI MTAFUTIE WATU WAMPIGE MITI MBELE YKO ,MSHUKURU MUNGU SANA PIA KWANI KUNA JIRANI YANGU ALIVAMIWA NA MAJAMBAZI WAKAMBAKA HOUSEGAL SASA HIVI NI MUATHIRIKA !!!MSHUUKURU MUNGU TU BIKIRA KITU GANI BANA HATA KUKU,MBWA, MENDE, BATA, WANAZO LOL
 
Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
66,077
2,000
Pole sana kwa kupoteza ubikira ukiwa kinda.
Usihukumu kwa hisia zako, hukumu kwa kufuata kanuni, sheria na taratibu za mahakama.
 
COURTESY

JF-Expert Member
Jun 16, 2011
2,008
1,225
Nikiwa na miaka 13 waliingia majambaji nyumbani hawakuchukua kitu chochote bali walimbaka mama wakamalizia na mimi, baba hakuwepo alikuwa masomoni uingereza, siwezi kuisahau siku hiyo iliyoninyang'anya ubikira wangu tena kwa maumivu makali. Sasa hivi nasoma digree ya sheria na malengo yangu nufikie kuteuliwa kuwa jaji natamani sana nikutane na mtu huyo aliyenipufua, wana Jf nisaidieni nitakapokua jaji na huyo aingie kizimbani nimfanyeje?
Usilipize baya kwa baya,ukikutana na mtu kama huyo mpe hukumu according the law,au ikiwezekana mpe second chance,am sure this time utasikia raha (joke)
 
KANCHI

JF-Expert Member
Sep 3, 2011
1,533
1,225
Nikiwa na miaka 13 waliingia
majambaji nyumbani hawakuchukua kitu chochote bali walimbaka mama
wakamalizia na mimi, baba hakuwepo alikuwa masomoni uingereza, siwezi
kuisahau siku hiyo iliyoninyang'anya ubikira wangu tena kwa maumivu
makali. Sasa hivi nasoma digree ya sheria na malengo yangu nufikie
kuteuliwa kuwa jaji natamani sana nikutane na mtu huyo aliyenipufua,
wana Jf nisaidieni nitakapokua jaji na huyo aingie kizimbani
nimfanyeje?

Mpe mzigo,sasa mfanye kwa hiari au makubaliano uone ...........raha.
 
Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,806
2,000
ndio.. unakuta mtu kabakwa but 95% ni ridhaa yake.. hujawai kukutana na ubakaji huo wewe?

Hiyo inaitwa NIANGUSAGE au CHAGULAGA...
Dr, Riwa hajapitia hizo mambo, kakulia ughaibuni bana..............LOL
 
Last edited by a moderator:

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
17,988
2,000
pole sana jamani
kubakwa bila ridhaa yako inauma sana kwa kweli,
naomba mungu anipitishie mbali maana wanawake tuna majaribu mengi.
akiletwa mbakaji yoyote hapo mpe hukumu ya ...
point of correction Smile hakuna kubakwa kwa ridhaa!!
 
Last edited by a moderator:

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,563
2,000
pole sana jamani
kubakwa bila ridhaa yako inauma sana kwa kweli,
naomba mungu anipitishie mbali maana wanawake tuna majaribu mengi.
akiletwa mbakaji yoyote hapo mpe hukumu ya ...

kumbe kuna wanaobakwa kwa ridhaa?
 
Joseph

JF-Expert Member
Aug 3, 2007
3,520
1,225
Fanya yaliyo mema na usilipe ubaya kwa ubaya kwani kuishi kwa kisasi unaweza jikuta badala ya kufanikiwa katika maisha unabaki kuharibikiwa,huwezi kuishi kwa kivuli cha mbakaji na huwezi kuishi kwa kutaka kuhukumu wabakaji,inawezekana Mungu akakuwezesha kila unalolitaka na ukaja mhukumu mtu ambaye hana hatia kwa kuwa tu utakuwa unaendeshwa na kisasi ulichonacho kwa wabakaji.
Pole kwa yaliyokutokea na natumai hukuwahi kupata mtu wa saikolojia wa kukufanya uwe sawa na uchukulie ni kama changamoto za maisha.
 
Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,666
2,000
ukikutana nae mpe tena kwa upendo ili mufaidi tundi mkiwa na raha pamoja,ths is wat is meant by life,series of events..
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,521
2,000
Nikiwa na miaka 13 waliingia majambaji nyumbani hawakuchukua kitu chochote bali walimbaka mama wakamalizia na mimi, baba hakuwepo alikuwa masomoni uingereza, siwezi kuisahau siku hiyo iliyoninyang'anya ubikira wangu tena kwa maumivu makali. Sasa hivi nasoma digree ya sheria na malengo yangu nufikie kuteuliwa kuwa jaji natamani sana nikutane na mtu huyo aliyenipufua, wana Jf nisaidieni nitakapokua jaji na huyo aingie kizimbani nimfanyeje?

mpaka upate huo ujaji lazima ubakwe kwanza na hiyo degree yenyewe ndo kama ya yule wa Lushoto kwa mzee wangu mrisho gambo
 
Wimbo

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
630
500
Najua wakati huo nitakapokuwa nimemaliza degree ya uzamili na miaka kumi yangu ya uwakili itakuwa ni ndani ya awamu ya sita ya uongozi wa taifa letu, naamini pia itakuwa ni serikali inayofuata sheria na haki za binadamu, hapa siyo suala la kisasi mbakaji yeyote atalipiza maumivu niliyoyapata, huo ulikuwa ni unyama kwani mama hakuwa amemtosha tena tunabakwa mbele ya kaka zangu wakiona na wakiwa wameshikiwa pisto sikioni, walahi asitokee mbele yangu atakuwa halali yangu.
 
Lisa

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
1,549
1,195
kama unaweza ukawa na ushahidi wa kutosha , ambao unaweza ukawacomvise majaji wenzio, mm kwa upande wangu nafikiri mpandishe kizimbani naye aonje joto ya jiwe kwisha jua kama mjusi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom