Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 752
- 1,810
Kijana Dickson Mosses mkazi wa Olmatejoo jijini Arusha, anayetuhumiwa kumuua mwanajeshi MT 94293 ,TEKILI ISRAEL OBAS amefikishwa mahakamani kwa kosa la kumuua kwa kisu , wakati askari huyo akijaribu kumwokoa MTU mmoja waliokuwa wakimpora pochi yenye fedha na simu.