Aliyemuua askari Arusha adaiwa kufa akijaribu kuwatoroka polisi

Yani askari wanataka tuamini kuwa wanazidiwa nguvu na mtuhumiwa aliyefungwa pingu mpaka anapata chance ya kuruka kwenye gari?
Mmh, jambazi naye ana mbinu hata pengine za kuwazidi Askari wetu.
Utakuta majamba wengine wamefuzu mafunzo ya kijeshi pia. Kwa hiyo ndugu, usishangae Askari kuuawa au kutorokwa na jambazi.
 
Hapa akili kichwani ukiua hawa watoto wa Samia na wewe lazima watakupeleka kaburini ...hiyo ni danganya toto...dawa ya moto ni moto...Yan umuuwe afante wenyew wakuache tuuuuuu

Umewahi shabikia kuwa wale police wanaotuwa na risas na wao wauliwe?
 
Huenda askari aliuawa kwenye fumanizi au hata akiwa kwenye harakati za yeye kufanya Ujambazi. Na huyo anayeitwa mtuhumiwa wala siyo mhusika kiuhalisia Ila amebambikwa, akapigwa, akafa kisha tunakuja kuambiwa amejirusha ili mambo yaishe na kusiwepo na mwendelezo utakaofichua ukweli wa kilichomuua Askari mwenzao.

Polisi wetu sina imani nao hata kidogo.

Kuna watu wanashabikia ujinga. Hao police ni waharifu kama huyo wanaesema muharifu
 
Kama pepo ipo baada ya kufa na polisi wataingia hiyo pepo basi hakuna mdhambi yeyote mwingine atakayeikosa hiyo pepo.
 
Back
Top Bottom