Elections 2015 Aliyemuibua Magufuli anastahiliki sifa za kipekee!!

Ni nani aliyemjua John Pombe Magufuli kabla ya mwaka 1995?

Hili ni swali muhimu sana kwa wale wanaofikiria na kufuatilia siasa za Tanzania toka enzi na enzi.

Ilikuwaje Mkapa akamteua kuwa mmoja wa askari wa miamvuli just from nowhere?

Ilikuwaje kamati ya maadili ya CCM ikakubaliana kuja na jina la Magufuli kwenye tano bora ya CCM mwaka 2015 bila kujali mbwembwe za watia nia wakongwe na wakiojinadi kwa mbwembwe kwa miaka zaidi ya sita?

Ilikuwaje Magufuli akaweza kuepuka scandals za kumuangusha kama Waziri katika kipindi kilichokumbwa na scandals nyingi?

Inakuwaje au ilikuwaje Magufuli ameweza kuhimili mikikimikiki ya wizara zote alizopelekwa na kuibuka hero?

Unapojiuliza maswali haya ni lazima ujiulize ni nani hasa aliyemuibua John Pombe Joseph Magufuli.

Pia ni lazima umuheshimu aliyemuibua the coming president of URT.

Isitoshe ni muhimi kumuheshimu au kuheshimu chombo kinachoibua watu wa namna hii!

Mimi nina mjua maana ni jirani yangu
 
Hana kisaikolojia ni mtu mwema Trust me. Au uliza psychologist aliye karibu. Lowasa mm ni nature kali sanasana sio kishabiki bali ni watu wale wakali kama simba. Mfano Iddi Amin na lowasa kitu kimoja. Uliza psychologist jirani atakusaidia.

Nyie endeleeni kujitwisha gunia la misumari,huyo magufuri anajua kuwa lowasa ndiye rais wake ajaye
 
Itabid tuseme msemo mmoja wa marekani ** Haijalishi Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua Obama Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Marekani Ni ya Kila Mtu.*** na sisi tunasema*** Haijalish Kama Ataleta Maendeleo au la! Tutamchagua LOWASA Kutoka UKAWA Kuuonyesha Ulimwengu Kuwa Tanzania Siyo ya ccm Pekee. Tuma ujumbe huu kwa wadau wasiopungua hamsini ili kuleta mabadiliko ya kweli. Lowasa oyeeeeee. Samahani kama utakwazika Lkn Tunaonesha Uzalendo Kwa Taifa Letu LA miaka 54 ya Uhuru likipitwa Na Kenya iliyochelewa kupata Uhuru kimiundo mbinu, elimu, utalii, kilimo, Katiba Mpya, Na hata Rwanda iliyotoka vitani inatupita sisi tuliojaliwa rasilimali adimu duniani.

Mkuu mimi nimeshautuma kwa zaidi ya watu 500
 
Ni nani aliyemjua John Pombe Magufuli kabla ya mwaka 1995?

Hili ni swali muhimu sana kwa wale wanaofikiria na kufuatilia siasa za Tanzania toka enzi na enzi.

Ilikuwaje Mkapa akamteua kuwa mmoja wa askari wa miamvuli just from nowhere?

Ilikuwaje kamati ya maadili ya CCM ikakubaliana kuja na jina la Magufuli kwenye tano bora ya CCM mwaka 2015 bila kujali mbwembwe za watia nia wakongwe na wakiojinadi kwa mbwembwe kwa miaka zaidi ya sita?

Ilikuwaje Magufuli akaweza kuepuka scandals za kumuangusha kama Waziri katika kipindi kilichokumbwa na scandals nyingi?

Inakuwaje au ilikuwaje Magufuli ameweza kuhimili mikikimikiki ya wizara zote alizopelekwa na kuibuka hero?

Unapojiuliza maswali haya ni lazima ujiulize ni nani hasa aliyemuibua John Pombe Joseph Magufuli.

Pia ni lazima umuheshimu aliyemuibua the coming president of URT.

Isitoshe ni muhimi kumuheshimu au kuheshimu chombo kinachoibua watu wa namna hii!

....kamanda..! chambilecho, wazungu wa "wingereza''....samaki wa dhahabu, hana pa kujificha......
 
Hivi kuna mtanzania anae fikiria Lowasa atakuwa Rais. Huyo ni lofa na hatari.

Watanzania mamilioni matumaini yao yoote ni kwa lowasa
 
Attachments

  • 1442127970341.jpg
    1442127970341.jpg
    7.9 KB · Views: 407
Magufuli hafai kuwa Rais huwezi kuwa rais kama huna vision na mtu mwenye maamuzi ya pupa na ya visasi kama katika shauri lile la shell ya mafuta ya Mwanza na pia kwenye suala zima la meli za samaki ambapo serikali iliingia hasara ya bilioni 2.8 kwa kesi ambayo jaji took only 45 minutes to render his final decision. Magufuli was/is not a presidential material. He has no team in place to run the govt. when asked who are you going to be on your team when elected he replied it is up to ccm to pick people for him. i wouldn't want such individual to be near the state house let alone work inside.

You are such a big victim of the theory of HERD MENTALITY.
 
Kwa hali tuliyofikia sasa tunahitaji kiongoz aina ya Magufuri.... Hakuna kubembelezana kazi kazi hutaki kazi kaa pemben... Wapinzani zile ziara zenu za kwenda kupata Chai ikulu msahau kabisa huyu sio Jk..... #hapa kazi tu.

Kazi huku tumemaliza vyuo mwaka wa tatu tupo tu vijiweni ??? Ukiwa unapiga kelele hapa ufikirie na nduguzo jobless na wenye hali duni na za kimaisha
 
Similar Discussions

16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom