Nick girland
JF-Expert Member
- Jan 13, 2020
- 291
- 200
Basi hapo wewe geuza iwe kinyuma chake. Fanya wa yanga ndiyo wengi na ndiyo wenye hiyo sijui purchasing power ili ufurahi.Usilalamike kama mo, jibu maswali haya kama una unaachokifahamu. Mnataka watu wa sympathise na mo kwakuwa eti Simba inaleta makombe anayedanganya watu eti kila mtu Tanzania ni Simba na mashabiki wa Simba Wana purchasing power kubwa kuliko wale wa Yanga. Huo utafiti aliufanya lini? Sample size yake ilikuwa watu wangapi? Ethical clearance aliipata wapi? Amelidanganya taifa. Lengo la uongo huo ni wivu wa Azam media kuipa Yanga 40b wakati yeye kasini hela kiduchu, pia anataka Sportpesa impe hela nyingi kuliko Yanga.